Mji wa Mangaka na maeneo jirani sasa kunufaika na mradi wa maji wa mji 28 uliofanikishwa na Serikali ambapo hali ya upatikanaji wa maji kwa wananchi ni hakika asilimia 100 kutoka asilimia 20...
Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa...
🔥 KWANINI WATU WANATESEKA NA ROHO ZA MADENI?
Andiko la Msingi:
📖 Mithali 22:7 — “Tajiri humtawala maskini, naye akopaye huwa mtumwa wa akopeshaye.”
1️⃣ Laana au Misingi ya Familia
Wakati...
Kwa zaidi ya miaka 20 mfululizo, shule za Kwema Modern Secondary School na Kwema English Medium Primary School zimeendelea kung’ara katika 10 bora za kitaifa, zikijipambanua kama taasisi za...
Polisi hawajijui.
Na hawajui kuwa katika miaka ya karibuni jeshi la Polisi limejijengea sifa hasi mbele ya jamii.
Utekaji, ubambikaji kesi na taarifa zisizokuwa na ukweli dhidi ya wananchi kwa...
1.Kigogo
2.Mboe
3.Zito
4.Shangazi
Daaah, hii miamba ilimshambulia sanaa marehemu maghufur
Cjui kwa sasa Nini Kimetokea.
Asali tamu sana
Mtume Kuna miujiza?
Nini kimetokea ,,,,,,,>mama...
Nilikuwa nimeandaa 3m mwaka huu niweze kuingia PT
Ila nazidi kufunguka akili kutokana na maoni ya wananchi juu ya polisi
Lakini pia hali ya uchumi na mishahara naona kabisa hii kazi
Ngoja...
Nakuandikia ujumbe huu kwa nia ya kuonyesha hisia zangu za dhati na pongezi kubwa kwako. Hakika umekuwa kielelezo cha mwanamke shujaa, mwenye akili nyingi, msimamo thabiti na uzuri wa kipekee...
Wanaume Waogope Wanafunzi Kama Umeme: Siri ya Kupunguza Mimba Shuleni na Mtego wa "Wavaa wa Suti
"Wakuu salamu, Kila alfajiri, mabinti maelfu kote nchini wanajifunga mikanda ya sketi zao...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameitaka Afrika kujenga uwezo wake wa ndani wa kugharamia, kusimamia na kuzalisha mahitaji muhimu ya huduma za afya, badala ya kutegemea misaada na mifumo ya nje...
Mimi sipo nchini ila mnapo futa ila tambueni mpo kwenye list.
Na hawa mnao wapa nafasi kwenye jukwaa ndio waliopo kwenye list.
Tupo mbali ila list ya watu ni nyingi nyie bisheni ila mwisho wa...
Ukosefu wa weledi katika kutekeleza majukumu ya kusimamia usalama barabarani yaliyowahi kuleta majanga:
Mamlaka za usalama barabarani zipo chini ya kikosi cha usalama barabarani (Trafiki)
Pamoja...
Kama ulikua hujui kuna aina ngapi za BIKRA wacha nikufahamishe;-
Najua unafahamu kuwa BIKRA ni kitu gani,
Ila hujui kama BIKRA zipo za aina mbalimbali,
Sasa leo wacha nikufahamishe ya kuwa...
Chanel zote za michezo hadi Uefa kwa 43000/= kwa lugha ya kifaransa ukitaka channel za kiingereza unaongeza ten inakua 53000/= unapata super sport epl 473 na na super sport Liga 473 kwa...
WAZIRI MKUU ASHIRIKI HITMA YA MAREHEMU HAFIDH AMIR HASSAN KIZIMKAZI
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumatano, Septemba 09, 2026, ameshiriki Hitma ya kumuombea marehemu Hafidh Amir Hassan...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumatano, Septemba 09, 2026, ameshiriki Hitma ya kumuombea marehemu Hafidh Amir Hassan, aliyekuwa mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt...