Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika kitabu cha Waamuzi 11 kuna bwana mmoja alimtolea mungu nadhiri ahadi ya kwamba mungu akimsaidia akashinda vita dhidi ya maadui wake kiumbe chochote cha kitakachokuwa cha kwanza kuja...
-1 Reactions
4 Replies
89 Views
Leo nimeenda zahanati ya serikali bhana. Nikaandikiwa vipimo nilivyotakiwa kupima, nikapewa bili ya Sh16,000. Nikalipia na kwenda maabara. Huwezi kuamini, maabara wamechukua mkojo na damu, lakini...
26 Reactions
26 Replies
634 Views
Binti anayefahamika kwa jina la Irene, mwenye umri wa miaka (24), mkazi wa Mtaa wa Lemara, Kata ya Lemara, Jijini Arusha, amefariki dunia baada ya kudaiwa kujeruhiwa kwa chupa wakati akiwa pamoja...
0 Reactions
0 Replies
133 Views
Kijana MWENZANGU acha kukata tamaa maisha yanawezekana ni kuamua na kusimamia ndoto zako. Nilimaliza form 4 mwaka 2017 ndoto zangu ni kuwa doctor lakini matokeo yalipotoka Aiseee sikuamini...
4 Reactions
10 Replies
228 Views
Mchakato wa kujiunga na Freemasonry unafuata utaratibu rasmi na wa hiari, tofauti na dhana za mtaani kwamba watu hualikwa au kulazimishwa. Hatua Kuu za Kuingizwa Uanachama: Ombi la Hiari...
14 Reactions
83 Replies
1K Views
God bless lema , Sugu ,MMM, na kibonge boni yai ukiwatafakari kwa kina Kuna namna utaanza kupata mashaka juu ya uaminifu wao kwa chama chao cha chadema. Mienendo Yao ya kisiasa Haina tofauti na...
1 Reactions
4 Replies
162 Views
Anonymous
Kampuni ya mabasi ya RUKSA CLASS inayofanya safari za Kahama–Mpanda ina changamoto ya mende wengi kwenye baadhi ya mabasi yake. Kwa mfano, basi lenye namba T 237 DYM linalofanya safari ya...
2 Reactions
4 Replies
232 Views
Uwekezaji wa takribani Sh. bilioni 700 katika kiwanda cha sukari na shamba la miwa unaendelea kufungua fursa kubwa za kiuchumi kwa wananchi, huku ukizalisha ajira zaidi ya 5,000. Mradi huo...
3 Reactions
11 Replies
306 Views
Nicholas Waterbury kutoka Florida, Marekani, anadaiwa kuwa mtu wa kwanza duniani kufanyiwa upasuaji wa mafanikio wa kupandikiziwa uume wa farasi. Upasuaji huo ulifanyika Julai 16 katika Kituo cha...
4 Reactions
18 Replies
358 Views
Mama angu pole na msiba. Katika harakati za uvccm nimeshuhudia Jokate akipambana sana Kwa AJILI ya CHAMA hivo NAKUOMBA mama yangu mrejeshe KUNDINI maisha yaendelee sijui chanzo chake, ila naomba...
3 Reactions
32 Replies
547 Views
Mimi na rafiki yangu mmoja tulienda sokoni wote na kila mmoja alikuwa na shughuli yake japo wote tuliambatana katika safari Tulipofika sokoni tuliamua kila mmoja wetu amsindikize mwenzake sehemu...
1 Reactions
1 Replies
66 Views
Sasa hivi ni saa 18: 59 foleni ni kubwa sana gari za kutoka Morocco kuelekea kawe na kutoka kawe kuelekea Morocco hazitembei kabisa, Kama unaweza kutokupita barabara ya Mwai Kibaki usipite, tumia...
4 Reactions
9 Replies
153 Views
Kuondoka kwa Matagi kwazua shangwe Arusha: Bar zafurika, wananchi wafurahia uhamisho ARUSHA — Hatua ya kuhamishwa kwa aliyekuwa Mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Arusha (OCD), Georgina Matagi, imezua...
3 Reactions
7 Replies
345 Views
JOSE, DUME ZIMA UNARUHUSU VIPI MKEO AFANYE BAA, HALAFU UNATULILIA ANARUDI SAA NANE ZASIKU 👇 Hapa mtaani kwetu tuna kiumbe mmoja anaitwa Jose. Dume zima lenye ndevu na sauti nene, lakini kila...
7 Reactions
27 Replies
526 Views
Sioni faida ya hawa mapolisi kupiga kwata na mazoezi kila uchwao kama mtu tu wa kawaida ambaye amedhoofika vile amemtandika kisawa sawa askari. Najiuliza , je angekuwa mtu wa mazoezi / body...
17 Reactions
60 Replies
958 Views
Mtoto wa miaka 14, jina limehifadhiwa, anayedaiwa kusafiri kutoka Morogoro kwenda Zanzibar kumfuata mama yake mzazi, amedai kubakwa ndani ya Meli ya Azam Sealink namba mbili na mfanyakazi wa...
4 Reactions
24 Replies
711 Views
Leo ukitembelea magoli ya watu wenye biashara zao, ni machafu hakuna conducive environment na hospitality. Mm huwa nashangaa hivi nyie wamatumbi huwa hamwoni namna bora ya kumfanya mteja ajihisi...
8 Reactions
38 Replies
404 Views
Dodoma ni eneo ambalo serikali inahamia kwa kasi lakini wananchi wenyeji wake Wagogo na Warangi wanaonekana wamelala sana Huwezi kujivunia kwenu kunajengwa halafu hunufaiki nako, wanaonufaika ni...
7 Reactions
15 Replies
278 Views
Inajirudia Kila baada ya muda Ndege ni kubwa sana ya abiria.kama hizi za mashirika makubwa hizi Boeing Inapoteza muelekeo na kuangukia kuelekea chini na mlipuko wake mkubwa hauachi kitu. Ni...
12 Reactions
45 Replies
561 Views
Our African countries really have to watch out that they not be facing a new process of colonisation [ Sautman & Hairong l, 2007]
0 Reactions
0 Replies
23 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…