Baada ya kuingia madarakani serikali mpya ya somalia ya bwana, Hassan Sheikh Mohamud
Serikali ambayo imeonesha uahueni wa kuitoa kutoka mgogoro na mdororo mkubwa wa nchi hiyo Africa.
Wakati huu...
Wanyama huonyesha aina tofauti tofauti za uwezo wa kiakili na baadhi yao hutenda kulingana na silika yao. Katika ulimwengu wa wanyama, Pweza, Pomboo, na jamii kuu za nyani kwa ujumla huchukuliwa...
Picture this🙌: Umekaa ndani ya basi liitwalo X, siti namba X ,unaenda mkoa X kumsalimia X.
Mara ghafla unashtuka basi ulilomo linaanza kuyumba yumba kwa nguvu isivo kawaida na abiria wale...
Wana JF ninapoishi mimi sina access na maji ya bomba ambayo unalipia bili kwahiyo nimeamua kuchimba kisima na maji nimepata tatizo vyura wamegeuza ndio makazi yao wapo wengi hadi kero, sasa kuna...
Waafrika wenzangu,
Tupo katika enzi ambapo, kama Waafrika, tunapaswa kufikiria Afrika kwa ujumla badala ya vipande vipande. Tunahitaji kushirikiana, kujadiliana, na kujenga mustakabali wetu kama...
Kuna rafiki yangu kanifuata siku ya leo jioni nimsajilie laini ya vodacom, sikutaka kuhoji, tukaingia kwa wakala nikamtolea laini, ni kwa vile tu yeye hana NIN.
Baada ya kumsajilia ndipo kuanza...
P. L. O. Lumumba, mwanasiasa na mwanaharakati wa haki za kijamii kutoka Kenya, ni mmoja wa wasomi wachache ambao wamejitolea maisha yao yote kupigania Uafrika na kujenga ufahamu wa kina kuhusu Pan...
Burudani kwa wote
Kauli mbiu haitaweza kuleta effect ikiwa mtakosa ubunifu wa kuwapa wananchi vifurushi kwa bei ya malipo ya aina tofauti/grades what i mean lazima muweke grades au madaraja ya...
Wakuu habari za leo,
Natarajia kupokea wageni kutoka Malawi kama wanne hivi na wana budget ya chini sana.
Sasa na watakaa mwezi mmoja hapa sasa naomba kufahamishwa sehemu ambayo nitapata hostel...
Wasalaam ndg,
Nianze kwakusema kuna binadam wanateseka na magonjwa ile mbaya analazwa hospital hadi anazoeana na kila mfanyakazi wa hospital kuanzia walinzi, wafanya usafi, manesi na madaktari...
Kuna wakati kila binadamu anapochukua hatua kwenda hospital kwenda kufanyiwa upasuaji Fulani uwe uvimbe mwilini au kitu kingine hpo ameamua Kwa dhati kuwaamini wataalamu ssa wakamponye ugonjwa Kwa...
Ameandika Godbless E. J. Lema kwenye mtandao wa X kuwa:-
"Naambiwa vijana wengi leo wa boda boda wamepata ajali mbaya ktk mashindano haya na wengine watatu wamefariki wakitokea ktk mashindano...
Msajili wa Hazina Nehemiah Mchechu amesema kuwa kuna wimbi la watumishi ambao wanakimbilia kuomba uhamisho kutoka katika taasisi zao kwenya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Shirika la Umeme...
kuna elimu hapa japo niligusia ila sikuona watu kuweka maanani ila ni ukweli kwamba roho za watu kama zijatakiwa kufa ni ngumu kuondoka.
Huyu dada alisimulia kuhusu mdogo wake alitoweka na...
Habari zenu wakuu, naomba msaada hapa jinsi ya kufile kwa ajili ya kuomba visit visa.
Mfano: Ikiwa mtu muda huu hana kazi wala biashara yoyote, yaani hayupo vizuri kichumi, ikiwa ina maana...
Habari zenu bhana
Naomba niende moja kwa moja najua ntapata wajuzi wa kunishauri.
Baba yangu alikua mwalimu kabla hajastaafu. So alikua anapokea penshen ile ya kila mwezi mpaka alipofariki mwaka...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema maboresho ya Elimu yaliyofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita yamechangia kuongeza ufaulu kwa...
SOMO
UFUGAJI WA FUNZA
funza ni nini?
Funza hawa ni moja tu kati ya hatua za ukuaji za wadudu walukao, watu wengi hufikili hao funza hubaki kuwa funza mpaka mwisho jambo ambalo si la kweli hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.