Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni Iringa hapa, tena Regional Referral Hospital, nimeshangaa sana au ndio yale mambo ya Halmashauri hayo, miradi inajengwa kwa fedha zetu ila unalipia tena kuitumia. Inasikitisha sana yaani hii...
10 Reactions
39 Replies
2K Views
MAMBO YA KUZINGATIA UTAKAPOAMUA KUJIUNGA NA WAHUNI ÀU GENGE LA WANYWA DAMU ZA WATU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Sasa umekua Mkubwa. Ni kama maisha huyaelewi hivi. Umejaribu kufuata sheria...
12 Reactions
48 Replies
4K Views
Mkazi wa Mtaa wa Kota, Kata ya Mlandege Mkoani Iringa, Goodluck Mgovano aliyekadiriwa kuwa na umri wa miaka 33 anadaiwa kumuua Mtoto wake Alvini Mgovano mwenye umri wa miaka minne kwa kumnyonga na...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Hupaswi kumlazimisha mtu akuone wa thamani, lakini ni kosa kubwa sana kutokujithamini! Imeandikwa, "Mpende jirani yako kama nafsi yako". Kutokujipenda ni kosa. Ukijithamini, na wengine...
5 Reactions
6 Replies
664 Views
Heshima sana wana jamvi, NMB ABC branch ni kwajili ya wafanyabiashara.Huduma zake unaweza kuziweka daraja moja na CRDB Premier mahususi kwa wafanyabiashara wa kati na wakubwa. Huduma za CRDB...
0 Reactions
0 Replies
413 Views
Wapangaji wa Shirika la Nyumba zilizopo karibu na Manispaa ya Morogoro tunalalamika bar maarufu ya Ellis iliyopo karibu na Ofisi za Manispaa ya Morogoro, inapiga kupiga mziki mkubwa hadi asubuhi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa wakazi wa Kimara mwisho na maeneo yake maji hakuna kabisa, takribani siku 3 mpaka 4 sasa maji hayatoki, haijulikani sababu ni nini. Tunaomba mrejesho toka DAWASCO! ✍🏾 Pia soma - Kero ya maji...
1 Reactions
2 Replies
558 Views
Ukiwa unahitaji kuanza maombi ya kitambulisho cha utaifa(NIDA) ndani ya wilaya ya ubungo, ofisi zao zinapatikana wapi ? Na hivi jmosi hua wanafungua ?
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Naomba kujua kilichotokea baada ya Mheshimiwa Waziri wetu mpendwa wa Ardhi Jerry Silaa kusema kuna jaji anayeunga mkono wahuni kushinda kesi wanapoiba ardhi za watu. Je, mpaka sasa Tume ya...
1 Reactions
33 Replies
1K Views
Mungu anatuepusha na shari nyingi sana, Kuna kisa nakikumbuka sitakaa kukisahau maishani mwangu, maana niliona nakufa kabisa. Nilikuwa natokea makambako naelekea Mgololo kiwanda Cha karatasi...
13 Reactions
46 Replies
5K Views
Anonymous
Jamii Forums habari, Tunaomba mtusaidie wakazi wa Dodoma, barabara ya Hombolo ni mbaya sana, Kila siku tumekuwa tukipigwa danadana kuwa inawekewa lami lakini hakuna kinachoendelea kwamba kuna...
0 Reactions
1 Replies
594 Views
Aisee niwe tu mkweli sijui kuna masomo yalinipita au sikuyaelewa tu vizuri yaani Mpaka sasa hv nimeshindwa kuelewa kwanini shape ya mwezi inabadilika badilika kuna kipindi unauona nusu wakati...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Kwa sisi wapenzi watazamaji wa Azam Tv wapenzi wa tamthiliya hasa pale Azam Two hakuna tena burudani kwa wote bali burudani kwa Waturuki. Tamthiliya zinazorushwa na Azam Tv zinachosha mana...
27 Reactions
79 Replies
6K Views
Halooooo Nawasalimu watafutaji wenzangu wa Tanzania na pande zote za dunia.Kama ilivyo ada lengo ni kupeana mbinu za kivita na za kimapambano ambazo zitatusaidia kupata noti za Matajiri wengi wa...
1 Reactions
5 Replies
843 Views
Nimegundua nina Hili tatizo la kugairisha mipango yangu ninayopanga baada ya mda flani. Yaani naweza nikawa na mipango thabiti kabisa juu ya jambo flani ambalo ukiangalia Kwa mda huo nikilifanya...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Akiwa ni miongoni mwá marubani wachache wanawake, bi Neema Swai Ndiye rubani wa ndege ya mizigo ya ATCL (Air Tanzania cargo) inayotua nchini leo rubani aliyeleta ndege hiyo Léo, akiwa na uzoefu...
21 Reactions
440 Replies
33K Views
Zanzibar ni nchi ya kiislamu? === Maulid Hussein Abdallah maarufu kama Mauzinde (29) amefikishwa Mahakama ya Mwanzo katika Kijiji cha Mwera Wilaya ya Magharibi Unguja Kisiwani Zanzibar, kwa...
12 Reactions
143 Replies
12K Views
Na; Ahmed Omar UTANGULIZI Kwa takriban miaka kumi hivi tokea kufanyika kwa Mapinduzi ya 1964 palikuwa pakifanywa uhalifu mkubwa hapa Zanzibar kwa jina la Mapinduzi hayo. Moja ya eneo maarufu...
14 Reactions
39 Replies
4K Views
Huyu jamaa professionally ni mwongoza watalii (Tour Guide) ambapo hadi leo ndo kazi yake kuu inayomtambulisha. Jina lake halisi ni Kazen, kabila mpare ila kisanii anajulikana zaidi kwa jina la...
2 Reactions
6 Replies
722 Views
Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikiskia uwekezaji through UTT ila nikawa mzito sana wa kutaka kufahamu ni nini, inafanyaje kazi na faida zake ni zipi. Mwishoni mwa mwezi April mmojawapo wa mtu...
8 Reactions
19 Replies
11K Views
Back
Top Bottom