Empty container for sale
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 2,616
- 2,125
Yaani moja ya mambo nilikuwa naamini naweza kufanikiwa ni kuwa hard worker.
Kumbe kuwa hard worker bila kuwa mtoaji =nothing.
Baada ya kuanza kuwa mtoaji nimeona mtiririko wa riziki hausui sui Kama zamani.
Wakati naanza kutoa nilikuwa naumia moyo nahisi napungukiwa kumbe ndo naongezeka.
Nawashauri masikini ambao riziki inasua sua aanzeni kutoa hasa kwa wazazi na watoto, wazee.
Hata Kama mzee wako kajipata wewe mpe utaona mabadiliko makubwa.
Zingatia: Kutoa, Saving
Kutoa na kuweka akiba ni muhimu sana.