Mfano ona hapa majina ya baadhi ya Watoto wa Rais Museveni ni ,
1.Muhoozi Kainerugaba
2.Patrice Rwambogo
3.Natasha Museven Karugire
Kwa sheria za Tanzania unaonekana hauna mtoto sijui mpaka...
Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini, Ibrahim Mohamed Shayo (maarufu kama Ibraline), ameishukuru na kuipongeza Serikali kwa kuimarisha uhusiano wa kibiashara na utalii kati ya Urusi na Tanzania kupitia...
Mtaani kwetu hapa Kimara Mwisho karibu na Ukumbi maarufu wa Noble kuna ghorofa ambalo limetelekezwa na sasa lina dalili ya kuanguka.
Tumeshawahi kuripoti katika Serikali ya Mtaa walifika na...
Sehemu ninayokaa hamna bomba kuna mtu wa nyumba ya pili alikuwa amevuta maji akawa anatuuzia maji ila baadaye akaja kuzuliwa na DAWASA DAWASA kuwa hana kibali cha kuuza maji lakini pia sisi...
Kuna taasisi inaitwa Information Systems Audit and Control Association ISACA Audit Association wanaendesha mafunzo ya CISA (Certified Information System Auditor).
Sijajua kwa wengine lakini...
Nipo Mkoa wa Mbeya - Wilaya ya Chunya (Mamlaka ya Mji mdogo Makongolosi), Kata ya makingolosi, changamoto kubwa ya eneo hili ni kukatika katika hovyo kwa umeme.
Unawaka dakika 3 then unakatika...
Mabwepande kuelekea Bunju B ni Shilingi 1,500 kwa Bajaj kitu ambacho ni gharama kubwa kwa wananchi wa hali ya chini, ushauri wangu zipatikane daladala zitoke Mabwepande ziende Tegeta Nyuki, ambapo...
Hospitali ya Mkapa Dodoma inatakiwa kuboresha huduma zao hasa katika suala la watendaji, kwanza haina wauguzi wa kutosha, vitanda vya ICU vipo 14 tu, madaktari wawili, manesi wanne tu.
Yaani...
Kumekuwa na ongezeko kubwa mno la wauzaji wa simu refurbished, Simu hizi ni original zimetumika marekani na ulaya, watu wa huko wakizichoka au zikiharibika kuna viwanda vimeona fursa ya...
Kwa maoni yangu tatizo linaweza kuwa kwa mteja au kwenye duka
1. MADUKA
Kuna uwezekano mkubwa ni simu used au refurbished,
Simu zenye brand kubwa kama Samsung, Google Pixel, Iphone, Samsung ni...
Habari ndugu zangu, naombeni msaada wa maoni na ushauri, eti utaratibu wa MAOMBI ya kiroho kama huduma ya matibabu unagharimu kiasi gani Cha fedha. Na je malipo Huwa ni kabla au baada ya huduma...
Habari zenu wakuu, naomba kufahamu juu ya matumizi ya solar za majumbani, hasa ukubwa na udogo.
Ninahitaji kufunga ila natamani kujua ni solar yenye ukubwa gani ambayo itanifaa, vitu vyakutumia...
Kwenu watu Wazima, Mnaowalaumu vijana Kwa Utoto
Kuna (baadhi) ya watu wazima
wale ambao umri umeenda, wamekuwa na tabia ya kuzodoa vijana wadogo au watu ambao bado hawajafikia umri wao...
Ili watanzania baada ya miaka miwili wafaidi kitoweo hiki adhimu sana na kinono?...
Bila kufanya biashara ya kuwalisha na kupata gharama za ziada,
yaani waishi katika misingi ya asili,
je...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Arusha inamshikilia raia wa Romania, Constantin Catalin Podoleanu, mwenye umri wa miaka 39, kwa tuhuma za kutumia taarifa za kadi za...
HABARI Mtu mmoja anayedaiwa kuwa na tatizo la ugonjwa wa akili amechoma moto kwa jengo la zamani la Mahakama ya Mwanzo Moshi, mkoani Kilimanjaro, na kusababisha vyumba vinane (8), nyaraka za...
Ipo hivi 😑😑
Taarifa za awali za habari hazikusema jambo moja muhimu kuhusiana na ajali hiyo: Mmoja wa waliokufa hakuwa mtalii. Jina lake lilikuwa Michele Sensi-Contugi Ycaza.
Kwa Wakenya wengi...