Habari njema Matajiri Wawekezaji,
Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza na kufanya uwekezaji kwa hatua ndogo ndogo na kujenga utajiri kwa...
Kumekuwa na kero Halimashauri ya jiji la Ilala kitengo cha Ardhi kinachosababiswa na huyu mtumishi mmoja
Huyu mtu amekuwa akitumika kwa maksudi kuminya haki za Wananchi kupata Hatimiliki...
Nimekuta wadau mtandaoni wanalia kuwa Huwa wanaota ndoto wanafanya mitiani either necta form 4,shule ya msingi ,chuo au 6 ilihali hiyo hatua waliivuka kitambo sana ,hizi ni baadhi ya comments zao...
Wakati Beijing ikiwa inaendelea na maandalizi yake ya mkutano mpya wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) ambao unatarajiwa kufanyika kuanzia Septemba 4 hadi 6 mwaka 2024...
Hivi kuna tume inayoweza kufwatilia upatikanaji wa hivi vitambulisho vya nida
Yaani vimekuwa kama passport ya kuingia mbinguni
Unambiwa njoo wk 2 upate namba unafika wiki ya tatu unaambiwa hamna...
Ni siku tatu zilizopita nimelalamikia nida Kawe na uhuni nilioona.
1. Siku naenda kujiandikisha nilifika saa nne nkaitwa saa tisa kupigwa picha.
Unaweza hisi ni makusudi ama wewe pekeyako lakini...
Habari Tanzania,
Kwa muda sasa kumekuweko mijadala mbalimbali kuhusu Ndugu yetu Apostle Bonface Mwamposa almaarufu kama Bulldozer.
Apostle Bonface Mwamposa anahudumu katika madhabahu...
Nyie usiombe kuachwa na Mabasi ya Mikoani hasa kipindi kile Stendi kuu ilikua Ubungo 😅.
Kuna siku nilikua naenda Mbeya sasa nimefika ubungo kumbe nimesahau Tiketi, ikanibidi nirudi kufuata...
Wakuu tupo Morogoro na train yetu pendwa ya SGR ila ni mateso.
Kabla ya kufika Morogoro tulisimama kama saa zima kwa kisingizio kuwa wanabadili njia. Tumefika Morogoro mpaka sasa tuna dakika 20...
Enzi zile umaarufu wa Mtu uliwafanya madereva wa UDA na baadae Daladala kuwa wanawashusha majumbani mwao wale walioishi pembezoni mwa barabara
Kwa mfano ukitoka Posta kuja Mwananyala Mzee Matola...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Hili ni pendekezo Kwa viongozi wa Serikali,najua wengi wenu mko humu na mtapitia huu Uzi.
Sababu za Kituo hicho Kipya kitakachokuwa kizuri kupita...
Surah Al-Qasas (28:76-82):“Hakika Qarun alikuwa miongoni mwa watu wa Musa, lakini alijitenga na wao kwa kiburi. Tulimpa mali nyingi sana, na funguo za hazina zake zilikuwa nzito kubeba na watu...
Huyu mnyama anaongoza kwa kuzushiwa na kutungiwa mambo mengi sana ya uongo hapa bongo, mara ana minyoo ya kifafaa, mara hachinjiki, mara ana mapepo n.k.
Kwa nini afanyiwe propoganda nyingi hivi...
Walaamu,
Wakuu, tunazidiana kwa kila namna
Tupia wazo lolote ambalo laiti mtu akiligundua kuanzia kiuchumi,kimwili kiroho.....n.k ataacha kulalamika kwa namna yoyote
Toeni ya moyoni, japo...
Wakuu, kichwa cha habari hapo juu chahusika.
Kwanza naomba nieleze kwamba, taarifa ninazozitoa hapa ni za uhakika maana nimepewa na mtu wa uhakika kabisa ndani ya ASA MICROFINANCE. Nitajitahidi...
Mi sijawai ona kiongozi yyte wa dini ya kiislam hapa tz au vijana mitandaoni wakipambana kupinga haya mauaji ambayo yanalenga kumuondoa kama si kumfuta mtu mweusi Sudan.
Na hawa ni waislam wenzao
Wadau, huku kwetu sinza A ni changamoto, siku haibadiliki bila umeme kukatika sio chini ya mara mbili, sasa hatuelewi ni mgao au ni uamuzi wa wenye nchi kutufanyia hivi.
Angalia hapa utajua.
Mtu Kwa siku anapiga lakha tano na bado ana mwezi wa toba lakini kila leo anaenda kutubu, ina maana huyu mtu ni mtenda dhambi, na anafanya dhambi makusudi ili aende kutubu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.