Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Manake naona sasa kila Siku tu lazima kuna Taarifa ya Treni ya SGR Kukwama njiani. Iwekwe katika Kubeti tule Fedha.
1 Reactions
2 Replies
417 Views
Wakuu mimi nipo Bariadi mitaa ya Gamboshi huku. Ningependa kujua kwa mlio tumia SGR by experience Dar to Moro na Moro to Dodoma ni masaa mangapi? Na nauli ni Tsh ngapi ? Watu wa Mwanza Bariadi...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Hizi ni tamaduni za kiafrika kabla hatujaletewa dini ngoja niwape point yangu. Mganga wa kwanza anakwambia utakuwa na ela sana lakini sharti utakiwi kulala na mwanamke nje ya ndoa ukifanya ivo...
5 Reactions
26 Replies
1K Views
Huwa nakaa najiuliza kwanini watu wanamchukia tajiri mtoto Chief Godlove ndio nikaamini kweli masikini huwa mnakuwa kama wachawi yaani juzi kawasaidia kina mama ila masikini baadhi wanampiga...
9 Reactions
65 Replies
4K Views
Nimejiuliza sana, mawakili wa serikali wana umoja wao unaitwa TPBA (Tanzania Public Bar Association) yaani umoja wa mawakili wa serikali Tanzania, na wana Rais wao. Upande wetu TLS ukiongea...
1 Reactions
10 Replies
721 Views
Yaani ukiwa na kiwanda au kmpuni uliyowekeza mabilioni ukitaka kufilisika wewe weka Ma CEO wabongo utaona chamoto Mwendokasi tokea inaanza pale wangetafuta CEO Muhindi, Kitengo cha mapato unaweka...
14 Reactions
38 Replies
1K Views
Habari naomba kuuliza au kupata msaada kutoka NMB kadi kutoka wilaya moja hadi nyingine inachukua muda gani kufika na mnazisafirisha kwa njia ipi? Nime-renew kadi nikaambiwa niende baada ya siku...
0 Reactions
0 Replies
524 Views
Madereva wa mabasi ya kwenda mikoani katika Mkoa kilimanjaro wameeleza ya kuwa hawajui kwanini hadi sasa hawajaamishiwa kwenye stand mpya. Baadhi ya Madereva ambao nimezungumza nao wanaeleza...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Manake si kwa Kujikomba na Kujipendekeza huku. Mara amuite Malkia mara ampe Sifa zingine za Uwongo na Ukweli hadi Rais kamshtukia na kamkata Maini kabisa kwa kumwambia kuwa ampumzishe kidogo...
12 Reactions
68 Replies
4K Views
Nimekuletea kitabu hichi Cha darasa la saba utakubaliana na mimi shughuli nyingi zinazofanywa na watanzania wengi kwa sasa Napendekeza somo hili lingeanza kufundishwa wanafunzi wa secondary...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Wapendwa asubuhi hii nawaletea mojawapo ya salaam Bora za siku ya leo ya ijumaa tukufu: "Jumma hii iliyobarikiwa na ikuletee amani, furaha, na baraka nyingi maishani...
0 Reactions
2 Replies
396 Views
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavojieleza, tunaomba msaada kutoka kwa wajuzi wa mambo
5 Reactions
43 Replies
3K Views
Shalom, Professor Tibaijuka asante kwa kuweka jambo bayana ambalo awaye yeyote ni anafahamu ya kwamba mkataba mbovu, jambo chafu, jambo la aibu hufichwa. Bora lawama kuliko fedheha, taifa lolote...
1 Reactions
10 Replies
653 Views
Ifike hatua tuwe na adabu, Jakaya kikwete ndio Rais mstaafu tuliyenaye, huyu ni msaada Kwa nchi yetu, angeamua kua kama uhuru anaweza lakini katulia na amebaki akiambiwa panda pikipiki wala...
16 Reactions
95 Replies
4K Views
Walaghai wa Mitandao ni watu wanaofanya uhalifu wa mtandaoni kwa kuwasiliana na mlengwa kupitia barua pepe, simu, au ujumbe wa maandishi (SMS), wakijifanya wanatoka taasisi halali. Lengo lao ni...
0 Reactions
2 Replies
581 Views
Baadhi yetu huwa tunaogopa kutumia kile kidogo tulichonacho kuanza kujitafuta kutokana na woga usio na maana. Unakuta fursa unayo kabisa lakini unaogopa wanachuo wenzako watakuonaje ukianza...
9 Reactions
25 Replies
937 Views
Mimi ni single mother umri wangu ni miaka 34. Kwa ufupi Nina watoto wawili wa kiume wa kwanza ana miaka tisa wa pili ana miaka saba. Huyu kwanza yupo darasa la 4 na wa pili yupo darasa la 3...
11 Reactions
138 Replies
9K Views
Leo katika olympics mwanamke Angela Carini amelia baada ya kupigwa K.O ndani ya sekunde 46 na mwanaume anayejitambulisha kama mwanamke Imene khelif. Pichani. Hata hivyo shirikisho la michezo la...
10 Reactions
63 Replies
4K Views
Nimewasiliana na wakala wa Bank ABC juu ya mkopo Tazameni wenyewe, naomba ABC bank mtolee ufafanuzi huu ni mkopo au kausha damu? Hivi mtu ukope milionin14 urushe 39 huu si wizi kabisa? Ndugu...
3 Reactions
23 Replies
5K Views
Mama ntilie, machinga, bodaboda na dada poa wamezeeka na wameanza kupata wajukuu. Hivi sasa mitaani kuna wazazi ambao ktk maisha yao hawajawahi kulala chumbani (bedroom). Tangu wazaliwe mpaka...
17 Reactions
32 Replies
1K Views
Back
Top Bottom