Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Inaelezwa kuwa mahali pa kazi Chuki imechukua nafasi kubwa kuliko uwajibikaji wenyewe. Hali hiyo imeleta msongo wa mawazo kwa baadhi ya watumishi. Pili inadunisha ufanisi wa kazi. Tatu watu...
9 Reactions
28 Replies
1K Views
Jeshi la Polisi mkoani Pwani linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kurekodi na kusambaza taarifa za uongo kwenye mitandao ya kijamii kuhusu gari aina ya Toyota Noah inayotumika kuwateka watoto...
2 Reactions
10 Replies
838 Views
Hata hivyo yawezekana kule wa Mataifa Masikini kabla ya Safari zao kuanza kulifanyika Matambiko makubwa sana tu.
4 Reactions
0 Replies
291 Views
ukweli ni kwamba watu wengi ukosefu wa ajira unaokumba vijana wengi unasababisha maovu kuongezeka ikiwamo,Wizi na mauaji. Vijana wengi wamechomwa moto, wengine wako Mahabusu, wengine Gerezani kisa...
2 Reactions
3 Replies
393 Views
Siku ya kwanza tuu Sgr imeasafirisha Abiria zaidi ya 900 kutoka Dar-Moro-Dom ambapo hapo ingekuwa ni zaidi ya Mabasi 15. Baada ya kuona hivyo Kampuni ya Mabasi ya Abood wameamua kujiongeza na...
28 Reactions
146 Replies
10K Views
Kuna jamaa yangu mmoja anapanga kuwafungulia mashtaka benki moja maarufu nchini kwa kufanya yafuatayo 1.Kutoa taarifa zake kwa mtu binafsi, ikiwapo benk statement, kuonesha kiasi alichonacho...
8 Reactions
21 Replies
4K Views
Tuna Mzee wetu hapa tunamuuguza kwa muda mrefu miaka mitatu sasa tunampambania nae alipata tatizo kuparalalaizi mpaka sana yupo ICU hali yake sio nzuri miguu yake imeanza kuoza Imenibidi kuandika...
32 Reactions
287 Replies
15K Views
Habari wana jukwaa.Leo nimeamua kulipanda jukwaa kwa kueleza na kukumbusha mengi wakati radio zikiwa zinavuma sana na nafahamu wengi tulikuwa wasikilizaji wazuri sana wa vipindi mbalimbali vya...
0 Reactions
55 Replies
7K Views
Kuna tatizo la ubonge linainyemelea nchi. Hasa kwa watu wa kipato cha kati. Kiufupi ubonge unatokea pale ambapo unakula chakula chenye nguvu nyingi kuliko unazohitaji. Matokeo yake chakula hicho...
10 Reactions
32 Replies
3K Views
Kimsingi sikuona sababu za hifadhi ile kuitwa CHATO, Ukiangalia kwa umakini vitu vilivyosababisha ile hifadhi kupandishwa hadhi havipatikani Chato Tunaijua Chato kama sehem ya kagera kabla ya...
10 Reactions
79 Replies
11K Views
Nijibuni haraka kwani kwa jinsi ilivyo, ilivyojengwa kwa haraka kuanzia tarehe 21 Machi, 2021 na inavyojaza Watu sasa na Huduma zake na Mimi GENTAMYCINE natamani kwenda, ila ili niende nikiwa na...
13 Reactions
54 Replies
9K Views
Watoto wawili wa familia moja wamepotea katika mazingira ya kutatanisha mkoani Arusha, baada ya kuaga wanakwenda shule jana Julai 24, 2024, lakini hawakurudi nyumbani na mpaka leo hawajaonekana...
9 Reactions
73 Replies
4K Views
Kwa msaada wa wawatumiaji wa App ya Jamii forum isiyo support picha kama mimi, hiyo hapo chini ni picha ya mti wa karanga zinamea juu ya matawi ya mti Juu kama Maembe, au korosho. Je, ni kwel hii...
9 Reactions
53 Replies
3K Views
Meneja wa Tarura mkoa wa Mwanza na mhasibu wake wamekuwa watu wa ovyo kwenye majukumu yao. Hawa watu wawili wanaifanya Tarura Mwanza iwe sehemu ya hovyo sana kwa sababu wana madudu mengi...
6 Reactions
21 Replies
3K Views
Enzi za Anko Magu TRC walikuwa na online system ya kukata tickets, ile system ilikuwa rahisi sana, simple yani unaenda station kupanda train tu. Ukienda kukatia ticket station basi umependa...
2 Reactions
1 Replies
349 Views
Anonymous
Sio tu serikali inaweza kujua matatizo yote kupitia kwenye mitandao ya jamii ila nimekutana na huyu anajiita sheik zaid makubul kuhusu maada za kibaguzi na makabari. Kwako waziri Doroth gwajima...
-1 Reactions
11 Replies
1K Views
BEAVERS ni jamii ya panya na niya pili kwa ukubwa kati ya jamii za panya wote waishio kwa sasa. Wanapatikana sana Katika ukanda wa kaskazini kama Amerika ya kaskazini na ulaya ya magharibi...
0 Reactions
5 Replies
510 Views
Kwa nini CCM iliupendelea huo utaratibu? Labda una manufaa kwa nchi? Naamini kungeitishwa kura ya maoni, wananchi wengi, mimi nikiwemo, wangependelea utaratibu wa mawaziri kutokuwa wabunge...
2 Reactions
1 Replies
559 Views
Ukiwa umewa-follow hakikisha hau-comment chochote kilicho kinyume na mawazo yao. Inatakiwa usapoti au upige kimya. Kwenye platforms zao mawazo mbadala hayatakiwi. Followers wao wapo kusifu na...
2 Reactions
5 Replies
540 Views
ANAYOFANYA CHRISTINA SHUSHO NI MATOKEO YA WANAUME WENGI KUOA WANAWAKE WATUMWA "WASIOHURU. SIKU WAKIPATA UHURU WAO HAYO NDIO HUTOKEAGA. Anaandika Robert Heriel Mtibeli Huwezi mfanya Mwanamke...
24 Reactions
281 Replies
15K Views
Back
Top Bottom