Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu, https://www.youtube.com/live/xowt9FmWrvQ?si=db2lZWYu079tIJb7 UPDATE: Mwabukusi ashinda Urais TLS kwa kura 1274 Jumla ya kura: 2218 Kura zilizoharikika: 3 1. Boniface Mwabukusi - 1274...
14 Reactions
442 Replies
35K Views
Tunakumbushana tu, ndivo ilivokuwa. Shule private maarufu enzi zetu kulikuwa Jitegemee, Vituka na sait Antony Mbagala huku tarime kulikuwa na Shirati sec school. Je wewe unakumbuka lipi? Gen Z...
10 Reactions
24 Replies
1K Views
Kwa uelewa wangu, ni kweli kabisa ukihisi kutotendewa haki unaenda ngazi nyingine kutafuta haki. Lakini Cha mhimu ni kuangalia mazingira. Pia kuangalia kama...
1 Reactions
1 Replies
438 Views
Kila siku tunalia kuhusu kuadikika Kwa Dola licha ya juhudi za kukuza Uchumi lakini hakuna ambae anajadili jambo Hilo Kwa kuangalia sababu za msingi. Mojawapo ya vitu vinavyosababisha kuadikika...
10 Reactions
182 Replies
7K Views
JF ni maktaba ya Taifa, ni vizuri tukawajuwa maadui wa Taifa letu waliopo TLS walioshiriki kukata jina la Mwabukusi kugombea Urais wa TLS kabla Mwabukusi kutumia mahakama kupata haki yake ili...
0 Reactions
4 Replies
500 Views
Sheikh Ibrahim Bombo kutoka Mkoani Mbeya amependekeza Serikali iweke ukomo wa Vijana wa kiume kuoa na Vijana wa kike kuolewa ambapo ameshauri umri wa Vijana kuingia kwenye ndoa usizidi miaka 35...
1 Reactions
9 Replies
679 Views
Baadhi ya wanawake waliopata huduma ya kujifungua kwenye Zahanati ya Isevya iliyopo Manispaa ya Tabora wameiomba Serikali kujenga uzio mrefu kuzunguka zahanati hiyo ili kukomesha watu wasio na...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na...
70 Reactions
399 Replies
20K Views
Salaam, Shalom!! Kuna kiongozi mmoja amejiinua, Afrika mashariki, ameota mapembe, sasa anadhani anaweza kuingia Kanisani na kupanga Utaratibu juu ya jinsi Gani watu waabudu, Ni kama tu Mfalme...
4 Reactions
45 Replies
2K Views
Hili eneo limekua kero, na limeua watu wengi sana ndugu zangu, kwa mfano leo hii yenyewe ni foleni kubwa sana. Serikali fanyeni jambo,
0 Reactions
0 Replies
331 Views
Hii ni Post ya kuomba UELEWA. Kuna Mahali nilikua nimekaa na Wadau zikaanza story hapa na pale, Kuna jamaa akasema Polisi hasa wa rank ndogo na hawa akina kajamba nani HAWANA ajira za kudumu Hadi...
14 Reactions
68 Replies
9K Views
Prof.Janabi amesema umri huo wanawake wengi Huwa heshima inakata na kuacha kutoka Kwa sababu hormone ya testorine inakuwa imeisha hivyo huwapelekea kuwa na kisirani na wanaume pasikujua husema...
13 Reactions
83 Replies
5K Views
Hoja 3 zilizowekwa kwenye barua ya kufungwa kwa Huduma ya Kiboko ya Wachawi ni hoja mfu. Binafsi nachukia na kupata hasira ninapoona mtu anafanya kazi ya Kristo kwa kuwalipisha watu Senti...
4 Reactions
16 Replies
937 Views
Fredick Sumaye aliyekuwa waziri mkuu wa Mkapa aliwahi kusema. Ukitaka mambo yako yanyooke jiunge na CCM. Je, kiboko ya wachawi hakuzingatia huu ushauri? Pamoja na sababu zote zitakazosemwa ku...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kuendelea kutoa kipaumbele kwa Wakandarasi Wazawa katika...
3 Reactions
6 Replies
825 Views
Wadau ni balaa sasa, Taa zinazofungwa kwa sasa kuanzia Barabara ya Gerezani, Sokoine Drive na Kilwa Road sio za kawaida. Ni nyingi kupita maelezo, nauliza tu aliyefanya Tathmini ya kuweka hizi...
19 Reactions
129 Replies
4K Views
Nilimchukia magu pia nilimpenda kwa mazuri yake pia, kwa sasa mkoa nilipo zaidi naona wakirekebisha zile mbovu tu Ila mpya zinazoanza kujengwa Hanna lakini kipindi cha nyuma ukikatiza kilometer...
4 Reactions
12 Replies
571 Views
Hii hali sio maramoja imekuwa ikinitokea Mara kadha ya kusahau vitu sasa leo nikaenda mgahawani kula baada ya kumaliza kula nikarudi zangu ofisini na mguu. Baada ya kufika ofisini ndo nagundua...
14 Reactions
35 Replies
1K Views
(....Usipite bila Kusoma......) 1: Msitu wa Amazon ndio msitu mkubwa zaidi duniani unaopatikana huko America kusini. 2: kama ulifikiri msitu huu unapatikana Brazil pekee jibu ni hapana msitu huu...
19 Reactions
37 Replies
7K Views
Ikiwa bado hata nusu mwaka wa kalenda 2024 hatujafika na Hata darasa la 7 hawajafanya mitihani. Tayari shule kadhaa binafsi zimeanza kukusanya Ada kwa ajili ya wanafunzi wa Kidato cha 1 mwakani...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…