Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Iko hivi, Nimetoka zangu kwetu Musoma huko nimeuza vimoro vyangu vya kutosha, kwenye ka NMB kangu nina balance kama ya 100m hivi. Afu kwa Tigo Pesa, salio ndiyo kama linavyosomeka hapo chini...
3 Reactions
18 Replies
856 Views
Kulikuwa na haja gani kujenga stand ya gharama kiasi kile pale Mwenge, Kinondoni-DSM halafu hakuna cha maana kinachoendelea zaidi ya gari mbili tatu zinazopakia abiria?...
1 Reactions
4 Replies
581 Views
Uchaguzi wa Chama cha Walimu huwa ni Aibu tupu, hebu wajifunze kutoka TLS. HONGERA TLS Hongera Mwabukusi
18 Reactions
87 Replies
3K Views
Maisha ya bindamu yamebakia kuwa siri na kama ilivyo matendo ya kibinadamu mengine hufanywa kwenye ulimwengu ambao sisi binadamu wengine hatuuwezi kuona kwa macho ya kawaida ila wapo baadhi ambao...
1 Reactions
8 Replies
8K Views
Akizungumza wakati akiendelea na ziara yake Mkoani Morogoro, Rais Samia amesema mbali na uzinduzi wa Miradi mbalimbali ya Maendeleo katika Mkoa huo, amefika pia kujionea hali ya Miundombinu ya...
1 Reactions
5 Replies
768 Views
Wadau hamjamboni nyote? Nimehudhuria sherehe za mahafari ya Ndugu yangu leo hapa Kinondoni hakika nimefurahi Tumekunywa na tunaendelea kula hakika ni tukio la furaha Ndugu yangu na mkewe wote...
0 Reactions
6 Replies
369 Views
Mabasi ya Sauli yanayofanya safari zake kuelekea mikoa ya Nyanda za juu Kusini hakika yalijipambanua ni ya uhakika na salama. Ajabu kwa siku za hivi karibuni ndiyo mabasi yanayoongoza kwa ajali...
15 Reactions
120 Replies
21K Views
Swalama aleko wakuu. Hivi karibuni nimekuwa mmoja wa tumiaji wakubwa wa huduma za mwendo kasi pamoja na vivuko mbalimbali vya maji(mapantoni) Kimsingi huduma ni kama hakuna maana nikisema ni...
0 Reactions
1 Replies
201 Views
Miaka ya hivi karibuni kuanzia 2018 hapa jukwaani Kumekuwa na ongezeko kubwa la watu ambao hawaamini uwepo wa Mungu (atheist) hii inaashiria Nini ? Hii hali nimeona ni tofauti na jamiiforum Ile...
9 Reactions
36 Replies
1K Views
Hello wakulungwa, Ninatafuta vidonge vya hallucinogens kama DMT, LSD, PCP au psychedelics kama Psilocybin, Salvia,Mushrooms etc. Kwa dar naweza kupata wapi hizi dawa? Asante
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwa wale ambao mlikuwa hamjui basi hiyo ndio taarifa kamili. Pamoja na sifa za watu wa Kagera na Serikali kuweka Nguvu kubwa Dodoma ila Bado haijasaidia kuitoa Mikoa hiyo kuwa kwenye orodha ya...
4 Reactions
43 Replies
5K Views
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema ni marufuku Mwanafunzi yeyote kufukuzwa kwenye shule za umma, kurudishwa nyumbani kwa sababu mzazi ameshindwa kuchangia mchango...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimekuwa nashindwa kuielewa serikali yangu kama kuna field ambayo ni muhimu kuitilia mkazo basi ni field ya uwekezaji. Kwa kulitambua ilo ndo maana waliamua kuitenga wizara ya fedha na mipango...
1 Reactions
5 Replies
514 Views
Habari zenu wakuu! Kuna uzi nilileta humu (jukwaa la afya) kuelezea namna mke wangu anavyopambania uhai wake kwa ugonjwa wa saratani ya matiti. Kwakweli matumaini ya mke wangu yanazidi kufifia...
89 Reactions
330 Replies
22K Views
Mafanikio ya pesa ni addictive, utahitaji zaidi na zaidi, leo upo middle class lakini unahisi unastahili kuwa upper middle class. Mafanikio ya pesa ni "very demanding", utahitaji vya gharama...
0 Reactions
3 Replies
429 Views
Takwimu za Hali ya Uhalifu nchini Tanzania zimeonesha kati ya Januari 2023 hadi Desemba 2023 kulikuwa na Matukio 3,778,908 ya Jinai na Usalama Barabarani yaliyoripotiwa katika Vituo vya Polisi...
0 Reactions
0 Replies
717 Views
Kufuatia mauaji ya watoto watatu nchini UK kwa kuchomwa visu mchana kweupe mjini Liverpool Kijana Axel Rakubana aliyezaliwa na kukulia Wales nchini Uingereza atajwa kama muhusika mkuu --- A...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Kama ukipata nafasi kutembelea wodi za wazazi pale Meta Mbeya utakuta kuna baridi kali katika wodi za wazazi. Lakin jambo la kushangaza ukienda kwenye vyumba vya manesi unakuta kuna heater za...
1 Reactions
2 Replies
401 Views
Wakuu, https://www.youtube.com/live/xowt9FmWrvQ?si=db2lZWYu079tIJb7 UPDATE: Mwabukusi ashinda Urais TLS kwa kura 1274 Jumla ya kura: 2218 Kura zilizoharikika: 3 1. Boniface Mwabukusi - 1274...
14 Reactions
442 Replies
35K Views
Tunakumbushana tu, ndivo ilivokuwa. Shule private maarufu enzi zetu kulikuwa Jitegemee, Vituka na sait Antony Mbagala huku tarime kulikuwa na Shirati sec school. Je wewe unakumbuka lipi? Gen Z...
10 Reactions
24 Replies
1K Views
Back
Top Bottom