Tunaishi katika kizazi ambacho dalili alizozitaja Yesu za kuja kwake zinadhihirika mbele ya macho yetu wazi wazi. Yesu alipoulizwa kuhusu ishara za kuja kwake na za mwisho wa dunia, alitaja mambo...
Mtangazaji: ukisikia elimu Bure wew unaelewa nini?
Mtanzania genius: naelewa ni kitanda ambacho wamenitandikia na kukaa na kuongea ongea kikawaida
Lissu kazi anayo , kutukomboa sisi nyumbu yataka...
✈️ 17/9/2026: Air Tanzania yaanza rasmi safari za Dar es Salaam > Musoma > Mwanza > Dar
hatua hii inayoongeza muunganiko wa usafiri wa anga kati ya Dar es Salaam na mikoa ya kanda ya Ziwa.
Licha...
Taarifa iliyochapishwa kwenye ukurasa wa TRC
Shirika la Reli Tanzania (TRC) linaendelea na zoezi la utwaaji wa ardhi linaloambatana na uhamishaji wa makaburi katika Kipande cha Sita cha mradi...
Leo jumamosi Sept 19 nasafiri na treni ya sa nane mchana,baada ya kuscan nikaelekea eneo la VIP ila nikakutana na hewa nzito mno na harufu kali.
Nikaenda washroom nikakuta ile harufu kali...
Sijui tunatakaga Nini tu, watu MAARUFU waja Zanzibar lakini huoni media kubwa kama clouds wasafi eatv wanapeleka presenters Kwa AJILI ya mahojiano nao, mfano alikuja cucurella mchezaji wa Chelsea...
Toka asubuhi nimekuwa nikijaribu kufanya malipo kupitia Control Number, lakini kila ninapojaribu malipo yanashindikana. Nimejaribu mara kadhaa bila mafanikio, hali ambayo imenifanya nikose huduma...
Wakuu habarini....
Bila kuwapotezea muda kwa salamu....
Ningependa kusema mimi kwa upande wangu naona hizi mvua za el nino hazitakuwepo japokuwa ni kweli mvua lazima zinyeshe lakini sio kubwa ivo...
Dereva wa gari kubwa amelalamikia vikali hatua ya askari wa usalama barabarani kuwakata pointi kwenye leseni zao kutokana na ubovu wa magari ambayo ni ya kampuni. Amesema kuwa adhabu hiyo...
Mimi ni mmoja wa wamiliki wa maeneo ya viwanja na nyumba yaliyopo Kata ya Mbezi, Kijiji cha Msufini Kidete, Wilaya ya Mkuranga, Mkoa wa Pwani.
Maeneo yetu yamekuwa yakihitajika na wawekezaji...
Wathamini wamemuaga kwa heshima Mthamini Mkuu Bi. Eveline Mugasha kwa mbio maalumu (jogging) ya kilomita tano, ikiwa ni sehemu ya kumuenzi na kumpongeza baada ya kustaafu utumishi wa Umma...
Samsung imeamua kumchagua Google Photos badala ya onedrive 👋.
Samsung imeanza kuruhusu kutumia Google Photos kama backup moja kwa moja ndani ya Samsung Gallery, hatua inayokuja baada ya Samsung...
Kiongozi Mkuu wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un, ametangaza pigo jipya kwa wapenzi wa michezo ya video nchini humo baada ya kupiga marufuku rasmi mchezo unaosubiriwa kwa hamu mkubwa duniani wa Grand...
Naibu waziri anapitia wakati mgumu sana kwenye hiyo wizara.
Hana furaha kabisa. "Ana miss" enzi za mwenye kifua kipana.
Katengwa yuko yuko tu kama mkiwa.
Kinachomsaidia ni elimu yake nzuri...
Baadhi ya wanafunzi wa UDOM tunapata shida kuyaona matokeo yetu kwenye mfumo wa Sr2 kwa sababu ya madeni ambayo hatuyaelewi.
Baada ya matokeo kutoka Hali ilikuwa shwari watu tuliona matokeo yetu...
Wana-JF, boma linauzwa moja kwa moja kutoka kwa mmiliki. Limefikia kozi 11 na lina potential nzuri kwa mwekezaji anayehitaji kuendeleza ujenzi kulingana na matumizi yake.
🏠 Vyumba 5 – 4 Master
🛋️...
Wanamichezo wanaoshiriki Mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara, Idara na Taasisi za Serikali nchini (SHIMIWI) 2026 inayotarajiwa kufanyika Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro kuzingatia...