Haiwezekani hata mwezi haujapita watu washaanza kulalamikia SGR, yaani uhamasishaji wote wa kwanini hii ni reli ya kisasa. Kumbe bado ina watu wa kizamani!! Wanafikra za kizamani.
Imenikumbisha...
Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kikidai kukamatwa na Jeshi la Polisi na kuendelea kushikiliwa kusikojulikana watu watatu wakiwamo viongozi wa wawili wa chama hicho wilayani...
ajali za barabarani zimekuwa zikiongezeka huku nguvu kazi kubwa ya taifa ikipotea kwa uzembe au uchovu wa madereva hivyo binafsi kama mdau naomba kutoa ushauri kwa serikali ili kukomnesha hili...
Licha ya Serikali kupitia Waziri wa Michezo, Damas Ndumbaro kutangaza kusitishwa kwa Mradi ambao kibao cha ujenzi wake kimeandikwa 'Mama Samia Primary School', Mradi huo umesimama lakini hali ya...
Luhaga Mpina anaunguruma muda huu Sakasaka Jimbo kwake Kisesa
Updates......
Mbunge wa Jimbo la Kisesa Luhaga Mpina amendelea kufanya ziara katika jimbo lake hilo kusikiliza kero za wananchi leo...
Habari!
Tulipopinga suala la mahari kwa kusema kuwa mahari ni biashara ya kitumwa watetezi mkasema mahari ni heshima, ni zawadi kwa wazazi kwa kumtunza binti yao. Kumtunza sawa, lakini ametunzwa...
Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Msangano wilaya ya Momba mkoani Songwe wameiomba serikali kuwasaidia kutatua changamoto ya upatikanaji wa maji wakidai kuwa wamekuwa wakitumia maji pamoja na...
https://youtu.be/m9WGFYVzCvU
Fuatilia yatakayojiri kwenye mkutano wa Rais wa TLS, Boniface Mwabukusi kwenye mkutano wake na waandishi wa habari, leo saa 4:00 asubuhi.
Mwabukusi anazunguzia suala...
Bila wizi hii mishahara tusingeweza kufanya jambo lolote
Ndo maana walimu wanalia Sana ni kwa sababu hawana sehemu ya kuokota .
Hakuna MTU ambaye haibi wala kupiga dili .
Habarini waungwana
Nimebadili mtindo wa mavazi lakini bado napewa salamu na wadogo zangu mtaani.
Uzi wangu wa kwanza hapa JF nilisema kwamba wengi wanakosea kutafsiri umri wangu mitaani...
Ameandika Dkt. Gwajima D katika Mtandao wa X.
Ndugu Wananchi, nimepokea 'Tags' nyingi za maoni na maswali kuhusu taarifa iliyotolewa na RPC mkoa wa Dodoma juu ya mwenendo wa shauri la 'Binti wa...
Kwa upande wangu madeni yamenifanya niwe na discipline ya hali ya juu, yaani extremely discipline kwenye pesa.
Pia yamenifanya akili iwe active kwenye kufikiri mipango na yamezidi kunipa courage...
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza,
Mimi ni mwenyeji wa Mbeya mjini, kwa muda mrefu lakini mi ukweli sioni sababu za msingi za kuipatia Mbeya hadhi ya jiji yaani mji upoupo tu labda wajuvi...
Nabii mmoja yule alikuwa anasema Dar itasombwa na bahari. Ninekaa mikoani muda mrefu sana naogopa kuja Dar.
Kumbe yule Nabii hajaona kitu chochote anasema,"Bwana kanionesha hivi usiku wa jana."...
Twende kazi.
Mustakabali mzima wa maisha ya mwanadamu ni kupambana na mazingira yanayomzunguka na mwisho kufa.
Ukiacha vitabu vya dini na ustahilishwaji kwa kutumia mema na mabaya ya nadharia ya...
Ninakumbuka siku moja nilikuwa nipo nipo tu wala sina kampani, ghafla wazo likanijia nikanunue fegi nijaribu mara moja tu nione ikoje.
Kuanzia hapo mdogo mdogo nikaanza kupiga paf kila jioni na...
Pamoja na mabaya mengi yanayotajwa kutoka kwa Magufuli lakini kuna mahali tunafikishwa na viongozi wetu tunadhubutu kusema yule bwana alikua zaidi ya kiongozi.
Kinachoendela sasa Amri ya serikali...
MWANAMKE INITIATIVE FOUNDATION (MIF) KATIKA KILELE CHA KIZIMKAZI FESTIVAL 2024, ZANZIBAR
KIZIMKAZI FESTIVAL 2024, KIZIMKAZI IMEITIKA, AGOSTI 18-25, 2024
Taasisi ya Mwanamke Initiatives...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.