Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema mfumo wa usaili kwa njia ya kidigitali utapunguza gharama kwa kiasi kikubwa kwa wasailiwa...
7 Reactions
79 Replies
7K Views
Habari wanajf, Kula ugali kuna faida kadhaa za kiafya zaidi ya zile nilizozitaja awali: 1. Kontrola ya Uzito: Ugali unaweza kusaidia katika kudhibiti uzito kwa sababu ya ukamilifu wake na uwezo...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Salaam kwenu, Jana nilienda kwenye kituo flani Cha afya(private) nikiwa na kesi ya vipele kwenye ngozi. Baada ya maelezo yangu daktari aliniandikia dawa za aina 3 ila akasema hawezi kunipa za...
0 Reactions
6 Replies
537 Views
Mwandishi wa EFM, Gerald Hando ameshangazwa na majibu ya sukari yaliyotolewa na Prof. Janabi yaliyoungwa mkono na mkuu wa mkoa wa Dar. Hando amesema ni mtazamo finyu kuwaza sukari ni chai pekee...
24 Reactions
90 Replies
6K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Profesa Mohamed Janabi amesema utumiaji wa sukari kupita kiasi haufai kwa afya ya mwanadamu. “Ukinywa glass moja asubuhi machungwa matano...
9 Reactions
31 Replies
2K Views
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo na Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Prof. Mohamed Janabi amesema Wajawazito wanaojifungua Watoto Wanene wasidhani Watoto wao wana Afya njema. Amesema...
11 Reactions
149 Replies
13K Views
Nafikiri kuna haja ya Mahakama kuweka taratibu fulani za kuhakikisha mavazi wanayovaa watuhumiwa na washitakiwa wakiwa mahakamani hayana maandiko, picha au nembo yoyote. Nimeona kuna mtuhumiwa wa...
10 Reactions
19 Replies
1K Views
Napenda kujua kwa nini staff wa TANESCO wananunua umeme ofisini? Mimi nilikwenda pale TANESCO Ilala mkoani kuna dirisha la Teller ambapo Wafanyakazi wote wananunua umeme pale Jumatatu na Jumatano...
4 Reactions
84 Replies
8K Views
Yanayoendelea katika sakata la ubakaji na ulawiti la clip iliyosambaa mitandaoni yanatafakarisha inawezekanaje haya kutokea katika nchi ambayo kiongozi ni mwanamke, Waziri wa ulinzi mwanamke...
5 Reactions
13 Replies
769 Views
Habari za muda huu. Watumishi walioajiriwa 2009 wamesahaulika katika taratibu za upandishwaji vyeo.Hebu angalia mfululizo huu wa upandaji katika vyeo kwa kada ya ualimu. Mtumishi kaajiriwa...
1 Reactions
3 Replies
616 Views
Wanajamvi habari za muda huu, poleni na majukumu ya kutafuta ridhiki. Niende kwenye mada moja kwa moja. Nimepangisha fremu kwenye NYUMBA moja mjini kwa lengo la kufungua biashara ya pombe Kali...
6 Reactions
87 Replies
4K Views
Tangazo la coca cola kwenye kombe la dunia la mwaka 2010 (sina hakika sana) Jamaa (mchepuko) yuko ndani na mke wa mtu, mwenye mke karudi ghafla, akajificha kwenye kabati la nguo, mwenye mke...
11 Reactions
47 Replies
11K Views
Hello great thinkers, Kuna mwenye anajua utaratibu wa kusafirisha mizigo kwa kutumia treni, kutokea Dodoma hadi Dar? Nmejaribu kupitia kwenye website yao sijapata majibu Naomba mwenye maelekezo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kazi iendelee It's me Foffana Mama Samiaaaaa Mi5 tenaaaaaa
3 Reactions
3 Replies
436 Views
Wapendwa katika Bwana.amani itawale.ndugu zangu naamini katika Dunia hii hatupo sawa kabisa.na sisi sote ni waja wa mwenyezi Mungu.naamini pia Kuna watu Wana hela kiasi kwamba wao wanachotumia kwa...
6 Reactions
22 Replies
576 Views
Mimi binafsi naona ni ubabe wa usiofaa wa baadhi ya wanajeshi, mtu anakuja ofisini kwako kavaa kiraia. Mnafanya biashara vizuri, Ikitokea biashara imeenda kinyume siku akija kueleza matatizo...
12 Reactions
23 Replies
1K Views
Navuta picha miaka ya nyuma kidogo jinsi mahusiano ya mtu mmoja mmoja bila kujuana dini wala kabila kwenye vyombo vya usafiri hasa hasa safari za mikoani yalikua hayana kutiliana shaka kamwe. Cha...
0 Reactions
0 Replies
208 Views
Wakuu, Nimekusanya mahitaji yangu na kwend sehemu ya malipo na kufanya malipo kwa njia ya TIGOPESA MASTERCARDS. Nikapokea msg ya kukatwa kwa malipo niliyofanya na nikawa najiandaa kuondoka na...
2 Reactions
8 Replies
582 Views
Je, huwa ni Protokali tu za Kawaida za Kijeshi ( Polisi na Magereza ) au ni Mtindo Wao tu?
2 Reactions
7 Replies
420 Views
TUYAONDOE MAJAMBAZI YA KISIASA KWENYE VYEO YALIKOJIPENYEZA KWA RUSHWA YAKAPATA VYEO ILI TUBAKI NA WATU WAAMINIFU NA WAADILIFU WENYE UCHUNGU WA KUWAINUA MAFUKARA Nilisikika nikiunguruma katika...
0 Reactions
175 Replies
9K Views
Back
Top Bottom