Kila ukifika umri fulani na hadhi fulani unapaswa kubadilika pia kwenye mtindo wa maisha na hata watu wanaokuzunguka ikiwezekana pia wabadiliilishe kama unaona kabisa wanaweza kuleta shida kwenye...
Mkuu wa Mkoa, Queen Sendinga amesema ajali iliyotokea jana Agosti 31, 2024 ikihusisha Costa iliyobeba Wanafunzi wa Shule ya Endasak Sekondari na Lori la mizigo lililokuwa linatokea Burundi...
Ajari mbaya imetokea leo asubuhi njiani kuelekea Dodoma mjini
Majeruhi ni wengi idadi ya vifo bado hijajulikana.
Ni kati ya coaster na kimbinyiko
MUNGU awape nafuu wote walio umia
1. Wanaoamini dunia sio duara bali ni tambarare(Flat earthers)
2. Wapinga chanjo(anti-vaxxers)
3. Wanaomini benki au pesa zote duniani ni mali za Rothschild au sijui Wayahudi gani fulani huko...
Straight to the point;-
Dah huyu mwamba Mshana Jr ..kuna mambo anaandika..and you guys need to read them in between the lines...
And i tell you what...kuna sentence yake moja niliisoma katika...
Mimi ni mwanafunzi nimemaliza Diploma katika chuo cha CBE, changamoto yangu kubwa hawataki kupeleka matokeo yangu NACTE ili niweze kuapply AVN namba niweze kuendelea na degree.
Nimejaribu kwenda...
Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza masuala ya Law school, ikiwemo wanafunzi wengi kufeli mitihani, anapaswa kuwa mtu Muungwana, Mtulivu, Msikivu na asiye na makuu, anapaswa kuwa mkweli, Mwakyembe...
Ndugu Wana jukwaa wasalaam!!
Nimechungulia mtandao wa X almaarufu Twitter nimekutana na bandiko la BUYOBE akieleza tukio la Kijana raia wa Msumbiji kuhamia Afrika Kusini na kuwa kibarua mtiifu...
Kuna mwamba mmoja nadhani ni yule tajiri wa mabasi Zakaria alitaka kutekwa na wasiojulikana kipindi cha JPM, jamaa alitembeza risasi ndio ikawa pona yake.
Mwanaume kamili kule kijijini nyumbani...
Habari wana JamiiForums, napenda kuiomba Serikali kufuatilia kero na kelele inayosumbua sana maeneo ya (Kahama/Lugera/Mnazi mmoja). Kumekuwa na makanisa mengi maeneo hayo, lakini kuna kanisa...
Wakuu kwema ,
Nimefungiwa laini yangu ya tigo kwasababu ety watu wengine hawajalipia huduma hio , kwanini wasifungiwe wao tu.
Wakuu mliowahi kupitia kero hii naombeni njia ya kusovu hili
TANESCO wilaya ya Tarime wamekuwa siyo waadilifu kutekeleza majukumu yao, inashangaza wateja wanalipia toka mwezi wa pili mwaka 2024 mpaka mwezi huu wa nane hawajaunganishiwa umeme!
Ukienda...
° Nimekuwa nikijiuliza, Masai wote hawa ni wakazi wa ngorongoro au wamewaita wenzao kutoka Kenya?
° Kwa wingi huu, je tuna urithi wa kujivunia pale ngorongoro?
° Tuweke siasa pembeni, twende na...
Mchungaji Kiporoza amewataka Wananchi kupendana na kutendeana Wema badala ya Watoto kupotea potea kama ilivyo sasa
Mchungaji amesema binadamu wote tumeumbwa na Mungu wa mbinguni hivyo wewe...
Ukitembea na kuongea na watu kwa unyenyekevu unapata vingi.
Alhamdulillahi baada tu ya kutoka msikitini mchana huu wa adhuhuri nimepitia kijiwe cha kahawa kutia joto mwili kabla sijaendelea na...
Kamati ya Mawasiliano, Ardhi na Nishati ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar imeridhishwa na Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Msalato jijini Dodoma ambapo ujenzi wake umefikia asilimia 72...
Wakuu habari za siku nyingi?
Bila kupoteza muda ni kwamba tunaishukuru Serikali yetu kwa kutusaidia kupata soko la mahindi lakini tunalia na NFRA.Siku ya jumanne iliyopita,tarehe 24/07/2024...
Kuna ishu inanchanganya kidogo Yani ukitaka ku apply green card lottery wanasema kama hujafika high school inabidi uwe na work experience ya miaka miwili, so naomba kueleweshwa zaidi iwasaidie na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.