Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Asilimia kubwa ya watu wengi wanaishi vijijini, Vijiji ambavyo kwa asilimia kubwa bado havijaendelea kiasi cha kuzijua Sheria vizuri sana. Sheria zipo lakini watu wengi hawazijui na hata adhabu...
1 Reactions
16 Replies
722 Views
Kama unavyojua kuna haiba kadhaa kwa sisi wanaume. Mfano Alpha na Beta. Unaelewa nini kuhusu Sigma Male ? ( Are you a sigma?)
2 Reactions
2 Replies
549 Views
Wahitimu wa Diploma Chuo cha DIT hatujapata AVN Namba, tunashindwa kuomba Mkopo, tunaomba Bodi iongeze muda wa maombi KUONGEZWA KWA MUDA WA MAOMBI YA MIKOPO 2024/2025 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii ndio tofauti ya masikini na tajiri katika utoaji wa sadaka Masikini anaamini ukitoa sadaka unabarikiwa unapata pesa Lakini kwa upande wa tajiri katika utoaji wa sadaka na kusaidia...
1 Reactions
2 Replies
921 Views
Jamani tuwe makini na vyakula vya njiani! Kuna Jamaa alikuwa katika Bus, yaani yeye kila stend anaagiza chakula mara mahindi, sambusa mara karanga za kuchemsha, mara chipsi Alipofika Mombo...
2 Reactions
6 Replies
707 Views
Nimekuwa mara nyingi nikitumiwa ujumbe wa WIZI na ULAGHAI kupitia simu yangu ya mkononi. Kutokana na kero hii TCRA wameweka utaratibu wa kureport kadhia hii kupitia no 1540 na wanajibu kwa sms...
2 Reactions
3 Replies
358 Views
Habari za muda huu wakuu, Kwa wenyeji au waliowahi kufika Tabora mjini, Ni ukumbi upi unafaa kwa ajili ya semina itakayokuwa na idadi ya watu wasiopungua 150 mpaka 300 hapo, Nimepewa jukumu la...
0 Reactions
2 Replies
368 Views
Kufuatia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kumteua Balozi Adadi Mohammed Rajab kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, na Bi. Fatma...
32 Reactions
87 Replies
13K Views
Na kwa Marais mara kwa mara hupenda sana kuwapa ama Pete au Mkufu wauvae na kama wakikupa Pete yao basi itakulazimu mara kwa mara uwe unaishikashika. Kwa Mfano GENTAMYCINE ningekuwa Rais wa...
1 Reactions
5 Replies
818 Views
My take. Hii ndio Habari mpya kwa siku ya leo, kwamba vijana hao wamependekeza awanafunzi wenzao wanaochaguliwa kuwa Viongozi wa Serikali za Wanafunzi wawe wanalipwa mishahara na serikali, (Yaani...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Wakati Serikali ikiwa katika mpango wa kununua mabasi mapya zaidi ya 100 kwa sababu zinazoelezwa kwamba ni jitihada za kuboresha mradi wa Mwendokasi, kuna jambo linashangaza, kuna mabasi...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari GTs, Naomba kujuzwa gharama na utaratibu wa kutembelea hifadhi ya mbuga ya Serengeti, kwa raia wa Tanzania wenye umri pungufu na zaidi ya miaka 18. Vile vile gharama za malazi kwa usiku...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Maisha yamebadilika sana, watu wameongezeka sana, utandawazi nk. Vyuo, vimeongezeka na wahitimu wameongezeka maradufu. Hali ya Ajira ni changamoto sana kwa vijana hawa. Hali hii imepelekea...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Hakuna usiri wala faragha katika mitandao ya kijamii au jukwaa la mtandao kwa ujumla. Wakishindwa kupata mawasiliano yako katika mtandao fulani wanaupiga vita. Mliona CEO wa Telegram amekamatwa...
7 Reactions
3 Replies
539 Views
Tuwape Pongezi wale wote wanaofanya kazi walizosomea. Nadhani wanafurahia wanachokifanya na wana amani pia. Lakini kama unafanya kazi huku ukiwa na kinyongo basi mafanikio hutayaona. Wengine...
10 Reactions
69 Replies
2K Views
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ametembelea na kukagua eneo la ujenzi wa kituo cha umahiri katika michezo mbalimbali hususani mchezo wa riadha kwa kanda ya kaskazini...
0 Reactions
1 Replies
334 Views
BUNGE LAPITISHA MUSWADA, MAREKEBISHO YA SHERIA ZA ULINZI WA MTOTO. Na WMJJWM, Dodoma Bunge la Tanzania limepitisha muswada wa marekebisho ya sheria zinazohusu ulinzi wa mtoto wa mwaka 2024 leo...
20 Reactions
37 Replies
2K Views
Soma Pia: Nini kinachangia ongezeko la matukio ya Ukatili dhidi ya Watoto? Takwimu za Hall ya Uhalifu Januari - Desemba 2023. Makosa ya Ukatili wa Kijinsia kwa Watoto Makosa haya ni yale yote...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Tufanye nini ili tuweze kuendelea na kutoka hapa tulipo? Tufanye mjadala serious.
0 Reactions
6 Replies
372 Views
Back
Top Bottom