Mbelajr2023
Member
- Nov 23, 2022
- 59
- 134
Ndugu Wana jukwaa wasalaam!!
Nimechungulia mtandao wa X almaarufu Twitter nimekutana na bandiko la BUYOBE akieleza tukio la Kijana raia wa Msumbiji kuhamia Afrika Kusini na kuwa kibarua mtiifu kwa Serikali ya makaburu kabla hajageuka na kuungana na wazalendo wenzake weusi kupigania haki zao.
Baadae ya hayo BUYOBE akaelezea sakata lake la kuibua ile kadhia ya binti wa Yombo na muitikio wake binafsi kwa jeshi la polisi katika kuwabainisha wahalifu. Na baada ya kueleza hayo ametuachia swali wasomaji je kosa lake ni nini?
Hapa ndio kwenye kiini cha thread yangu, nami niulize humu jukwaani. Kwani nini kimemsibu?? Mwenye kutusaidia atusaidie