Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Cane Growers wakionyesha maboksi ya pedi za kike zilizotolewa na Kampuni ya Kilombero Sugar leo wilayani Kilombero. Mchango huu, ambao ni sehemu ya mpango wa...
2 Reactions
1 Replies
455 Views
Nimesikitishwa hii mitihani kutofanyika online badala yake wanafanya mtihani kwenye makaratasi. Kada nyingine zimekuwa zikifanya mtihani online na kwa kiasi kikubwa ni mitihani inayoaminika zaidi...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kauli ya aliyekua mkuu wa wilaya ya Loliondo mkoa wa Arusha Marco Ng’umbi kua serikali iliwezesha ushindi wa madiwani na baadhi ya wabunge nchini katika uchaguzi uliopita, imetibua kidonda cha...
0 Reactions
2 Replies
637 Views
Raha ya ujinga ni kushare na wenzako kama ambavyo nami nashare huu ujinga na nyinyi. Ilikuwa way back nakumbuka tuko shule ya msingi,ilikuwa kitaani kwetu kwa washua katika kota za wafanyakazi...
6 Reactions
12 Replies
709 Views
Habari zenu watumishi wenzangu, Naomba kufahamu tamko kutoka kwa vyama vya wafanyakazi kuhusu kwamba mwaka huu kuna annual increment au laa ili watu tujue hamsini zetu tunaziomba vipi, na mkataba...
0 Reactions
4 Replies
854 Views
MTU mmoja ameuawa huku polisi wawili wakijeruhiwa katika vurugu kubwa zilizotokea kijiji cha Ilagala wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma wakati polisi wakijaribu kuzuia zoezi la wananchi wa kijiji...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Kila siku watu watatu mpaka watano hutelekezwa kituo cha mabasi cha Magufuli kilichopo jijini Dar es salaam wengi wao wakiwa ni watoto wenye umri chini ya miaka 18. Ofisi ya ustawi wa jamii...
2 Reactions
8 Replies
747 Views
Mchungaji avamiwa na wananchi na kupigwa vikali baada ya kugoma kukubali watu wenye imani potofu kuingia kwenye viwanja vya kanisa kutoa uchawi. waganga hao wa kienyeji wanakusanya 5,000/ kwa...
14 Reactions
122 Replies
8K Views
Anonymous
Well and good tunashukuru Serikali kwa kuanzisha huduma hii hakika inaleta unafuu na kukuza uchumi wetu as well kuipa sifa nchi yetu. Ingawa kuna changamoto kidogo ya baadhi ya wahudumu kutokua...
7 Reactions
37 Replies
3K Views
Hivi ni kweli kwamba baadhi ya wanaume nao wanapitia bc hangamoto ya rushwa ya ngono pale wanapotafuta kazi maofisini au katika fursa mbalimbali? ni kweli kwamba wakiombwa rushwa ya ngono wanafrai...
1 Reactions
2 Replies
634 Views
Kumbuka kila unapo post Ticket yako ya Ndege unahatarisha usalama wako kama ifuatavyo a. Kwa kutumia Msimbo Pau (Barcode) ya tiketi, Wadukuzi wanaweza kupata taarifa zako na kuzitumia kukufanyia...
5 Reactions
5 Replies
896 Views
Habarini, Anasa na ufahari umezidi kwa watu hawa kiasi kwamba wanajiona wao ni special hapa diniani kwa kuishi kwa nguvu na hela za watu. Iweje wanaopeleka hela kanikani na miaokitini walipe...
3 Reactions
7 Replies
400 Views
Aiseh nimeangalia hii mahojiano ya Dakika 45 na mwambukusi aiseh nakuomba uende ukatazame.
9 Reactions
8 Replies
1K Views
Natumai mko salama. Ningependa kushiriki nanyi wana Jf kuhusu hali yangu ya kifedha na biashara yangu. Biashara yangu imekuwa ikifanya kazi kwa mwaka sasa, lakini mapato yameanza kupungua kutoka...
4 Reactions
12 Replies
868 Views
NAKUPENDA SANA KIJIJINI KWETU Tulio wengi Tumetokea kijijini kama sio sisi basi wazazi wetu na kama sio wazazi wetu basi hata babu na bibi zetu. Sisi ni wale watoto wa tabaka la walio wengi...
7 Reactions
18 Replies
1K Views
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imesema moja ya Wajibu wake ni kuendelea kuhamasisha ikiwemo kutoa Elimu ya Mlipakodi kwa Watanzania ili watambue thamani na Umuhimu wa Kufanya hivyo ikiwa ni kwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Huwa nafuatiilia mafundisho yako redioni kuona nini unafundisha. Jana kuna mafundisho kuhusu amri ipi iliyo kuu umeteleza. Jibu la Yesu ni: KATIKA AMRI HIZI HUTEGEMEA TORATI YOTE NA MANABII. Wewe...
6 Reactions
63 Replies
3K Views
#AFYA: Wataalamu wa Afya wameonya kuhusu matumizi makubwa ya Dawa za Kuondoa Maumivu zikiwemo Diclopar na Diclofenac na kueleza kuwa yanasababisha madhara kwenye Figo ambapo mtu anayepata athari...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Mshukiwa wa mauaji Kevin Kang'ethe amesafirishwa kutoka Kenya hadi Marekani kujibu mashtaka ya kumuua mpenzi wake Margaret Mbitu. Kupitia idhini ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP) Renson...
2 Reactions
7 Replies
635 Views
Huu sio ushauri wa maisha! Ama niseme kwa lugha 'tata' kidogo kwamba, hiki ninachoandika - ambacho wewe unakisoma, sio lazima ukizingatie. Sijalenga kutoa ushauri kwa mtu yeyote, ila nimeamka leo...
6 Reactions
8 Replies
814 Views
Back
Top Bottom