Sometimes kuna kampuni zinakuwa zinakupa huduma Bora Sana lakini unashindwa kuona Hadi unapoenda kwingineko ukapata huduma mbovu ndo unagundua kumbe wale wengine wako class's ya juu sana...
Imeelezwa kuwa milango ambayo iling’olewa na Mkandarasi katika Kituo cha Afya cha Bulige, Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga, ilirejeshwa na shughuli zinaendelea kama kawaida.
Awali Mkandarasi...
MAPAMBANO YA SIRINI.
Jambo la msingi sana kutambua kwenye haya maisha ni kwamba haijalishi unamuona mtu yuko vizuri ama amefanikiwa kwa kiasi gani tambua yuko na mapambano yake sirini, na...
Wafanyabiashara wanaokota nguo jalalani na kwenda kuziuza tena masokoni wametaja baadhi ya changamoto ambazo hukutana Nazo huko majalalani.
Maiti za watoto wachanga walioviringishwa kwenye nguo...
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema kwamba shambulizi la Urusi limeua zaidi ya watu 40, na kujeruhi wengine 180, katikamji wa Poltava wa Ukraine.
Rais Zelensky, ambaye anasema ripoti ya...
Hili wimbi la watu kulawiti watoto mbona limeanza kua kama fashion, saizi kila mtu anaona sifa kuonekana mitandaoni, mimi nashauri serikali ijaribu kufanya namna yoyote ili adhabu kali iwepo...
Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi ililipa fidia jumla ya Shilingi 2,576,081,789.00 kwa wananchi 142 waliopisha ujenzi wa barabara ya Kidatu - Ifakara (km 67) ,kwa Wananchi ambao nyumba zao zipo...
Serikali Mkoa wa Tabora imekamata shehena ya vitabu vyenye machapisho ya kufundisha na kuhamasisha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja kwa wanaume na wanawake ambavyo vilikuwa mbioni kuanza...
Wakuu na Imani ni wazima wa Afya swali langu hivi Mtu ambaye Hana Dini akiteuliwa huwa anaapa kwa namna gani ?
Kwa Mfano pale Mahakamani anaitwa kutoa ushahidi anaapa vipi
Kwanza, tafadhali isome barua hii kwa niaba ya watanzania wote wanaotumaini katika ukuaji wa sekta ya posta nchini.
Tarehe: 2Sept2024
Kwa:
Bw. Macrice Daniel Mbodo
Postamasta Mkuu, Shirika la...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa anatokea Wilaya ya Bariadi, Kijiji cha Mwasinasi kulalamika kuwa kuna kero ya kukatwa Umeme bila taarifa na shida hiyo imekuwa...
Kwa tupangieni content na sio na watu wazima? Kisheria mtoto harusiwi kuwa na simu sasa kutuzimia huduma maana yake nini? Kama wanahofia watoto wana simu hayo waachie wazazi wao.
More...
Wale wanaoijua Vizuri Kurasini, Wanazifahamu kota za Bandari, hizi zilikuwa ni nyumba za serikali walizopewa Wafanyakazi wa Bandari ili waishi humo, karibu na Bandari ya Dar es Salaam ili...
Kuna hii tabia ya mitandao ya simu kushikilia pesa za wateja pindi miamala inapofeli huwa inakera sana
Ijumaa iliyopita nilifanya muamala toka akaunti yangu ya Tigopesa lakini cha ajabu pesa...
Wengi hufikiri haya mambo ni ya kufikirika ,hasa kizazi cha leo.
Nimekuwa kwenye hii field kwa miaka kadhaa nimejifunza mengi sana na nimeshuhudia mambo ya kutisha sana,siyo mimi mtarimbo Bali ni...
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Cane Growers wakionyesha maboksi ya pedi za kike zilizotolewa na Kampuni ya Kilombero Sugar leo wilayani Kilombero. Mchango huu, ambao ni sehemu ya mpango wa...
Nimesikitishwa hii mitihani kutofanyika online badala yake wanafanya mtihani kwenye makaratasi.
Kada nyingine zimekuwa zikifanya mtihani online na kwa kiasi kikubwa ni mitihani inayoaminika zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.