Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili (MD 2) St. Joseph university tawi la Boko.
Hivi karibuni chuo kimeongeza 1.25m hela hiyo ikipewa jina la "CLINICAL ROTATION FEE" tofauti na ada ya 5.9m...
UTANGULIZI MISINGI YA KATIBA
KWA KUWA SISI wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tumeazimia kwa dhati na kwa dhati kujenga katika nchi yetu jamii inayozingatia misingi ya uhuru, haki...
Nitashangaa hadi leo kama bado tutaendelea kufanya debate kuhusu uwepo wa uchawi.
Wengi tuna downplay uwepo wa uchawi sio kuwa tuna uhakika kuwa haupo ila basi tu tujioneshe wenye status ya usasa...
Ebana najivunia kutimiza mwezi wa 3 leo bila kuonja pombe mdomoni mwangu. Nimegundua kampani za washkaji zinachangia sana mtu kuendekeza ulevi.
Nilikua na kampani moja ilikua kila weekend...
Kuna utafiti unaoendelea kuhusu dawa na teknolojia zinazolenga kupunguza kasi ya mchakato wa kuzeeka au kuboresha ubora wa maisha kadri watu wanavyozeeka. Baadhi ya dawa na tiba zinazochunguzwa...
Mu hali gani!
Kunamitazamo mingi kuhusu suala la mafanikio ya mtu, lakini kwaujumla kufanikiwa nikufanikisha kutekeleza mipango na malengo tunayojiwekea katika maisha.
Lakini asilimiakubwa ya...
Kama unapata shida kuandaa RIPOTI mbalimbali au nyaraka za kiofisi nipo hapa kukusaidia.
Kuandaa RIPOTI ya kiofisi ya kurasa 500 sio jambo rahisi kwa kila mtu. Lakini ni Jambo rahisi sana kwangu...
IMETAFISIRIWA
Jack Rynolds alitumikia kifungo kwa miaka zaidi ya 12 gerezani kwa kosa la kulawiti wavulana wadogo hasa wenye miaka 11 hadi 14, hapa anatoa ushuhuda wake kwa vigezo vonavyotumika...
Wachawi wanaweza kupanda mkuki, ufagio au ungi wakasafiri hadi nje ya bara kwa sekunde.
Wanaweza kuwaamrisha fisi, mamba, paka, mijusi hata mbwa kufanya wanachotaka wakati wowote bila kubisa...
Hapa mjini Dar es Salaam kumekuwa na mvua za hapa na pale na kama mnavyojua balaa lake ikinyesha hali inavyokuwa. Hapa ni Mwenge, karibu na kituo cha mabasi cha ITV, hali ilikuwa ya taharuki. Maji...
Msitu huo umegeka kuwa Shamba la Kuchoma Mkaa, Kuni na Mipini na hivyo kuhatarisha biodiversity iliyopo
Ni eneo pekee lililobakia kwenye Uluguru lenye Low land Miyombo, pia ni nyumbani mwa...
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inaufahamisha umma, Taasisi za Elimu ya Juu na wadau wa Elimu ya Juu ndani na nje ya nchi kuwa Awamu ya Kwanza ya udahili wa Shahada ya Kwanza katika Taasisi za...
Sisi Wafanyakazi wa Ujenzi wa SGR kwa hapa Lot 1 ambayo inahusisha Dar – Moro baada ya kulalamika kuhusu Mkandarasi Mkuu, Yapi Merkezi kuwaondoa watu kazini kwa gia ya likizo huku wakiwa...
UMEWAHI kusikia kanisa liitwalo KANISA HALISI LA MUNGU BABA? Wanavaa nguo nyeupe kanisa zima, ibada zao nyingi zinarushwa STAR TV?Hawataji jina MUNGU wala YESU wao wanaita CHANZO HALISI 😁Hapa...
Mkutano wa Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (Annual Non-Government Organizations Forums), Jijini Dodoma, unaelekea leo Septemba 5, 2024 ikiwa ni siku ya pili yhangu ulipoanza...
Jana asubuhi niliweka vocha za Tsh.15,000. Tsh 5000 nikaunga MB na kiasi kilichobaki nikakiacha nije niunge Salio maana nilikuwa bado na kifurushi.
Baada ya muda nakuta kwenye ile 10000 Kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.