Naomba kirefu cha PHTS na PUTS? kuna tofauti yoyote kati ya scale hizi za mishahara?

M

majeshi 1981

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2013
Messages
1,861
Likes
287
Points
180
M

majeshi 1981

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2013
1,861 287 180
PUTS na PHTS zote ni salary scales za wahadhiri wa vyuo vya elimu ya juu hapa Tanzania. Naomba kujuzwa virefu vyake na tofauti ya malipo kwa wahadhiri wawili wenye rank sawa mfano; Junior Lecturer anayelipwa PUTS na mwingine rank hiyo hiyo anayelipwa PHTS.
 
C

cilla

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2011
Messages
525
Likes
289
Points
80
C

cilla

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2011
525 289 80
SCALE NIN
PUTS na PHTS zote ni salary scales za wahadhiri wa vyuo vya elimu ya juu hapa Tanzania. Naomba kujuzwa virefu vyake na tofauti ya malipo kwa wahadhiri wawili wenye rank sawa mfano; Junior Lecturer anayelipwa PUTS na mwingine rank hiyo hiyo anayelipwa PHTS.
SCALE NINAZO ZIJUA MIMI NI PSOS,PSS,TGOS,TGS,TGHOS,TGTS,TJS,AGCS,TGRS,SAIS,LSS, HIZI ZA KWAKO SIJAWAHI KUZIONA
 
E

educator2025

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2013
Messages
334
Likes
165
Points
60
E

educator2025

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2013
334 165 60
Msaada kirefu cha PUTS (Kwenye mishahara ya wahadhiri wa vyuo vikuu vya serikali je kirefu chake ni nini?
 
Forum statistics

Threads 1,215,487
Members 463,205
Posts 28,550,349