Sisi ni nani, Kwanini tuwe sisi, Kwanini tuwe kama wao.
Hivi kiundani ushajiuliza imekukuaje umekuwa wa dini hio? Kwa nini uamini kirahisi rahisi juu ya stori zao ambazo muda mwingine akili yako...
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) Raymond Mndolwa akimuonesha Waziri wa Fedha, Mhe Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb) ramani ya jiografia ya bonde la umwagiliaji...
Jipe nafasi kubwa katika maisha kwa sababu kampani yako kubwa ni wewe na siyo hao unaowaita rafiki ndugu, jamaa na wengineo. Watu wanasahau haraka sana, ni suala la muda tu.
Hata ukifa...
Matapel kila siku wanapiga simu na kudai ni watoa huduma kwa wateja na ukiwasanukia wanatukana sana matusi mabaya na ya nguoni, kama umekaa na watu wako au familia yako inakuwa ni aibu na inaleta...
Moja ya mtihani hatari katika maisha ya binadamu ni kufaulu KUOA / KUOLEWA na mtu sahihi. Ukifeli hapa hutaichukia hata elimu yako hata kama ni PHD. Unaweza chukia hata kwanini hupo duniani...
Pastor Daniel Mgogo anasema sadaka zinatolewa hili ziliwe na wachungaji, maana Mungu hana account ya kupokelea pesa za sadaka.
wachungaji ndio wawakilishi wa Mungu hivyo wana haki ya kuzila...
Nakusihi utumie muda wako kujielimisha kupitia mahojiano haya kwenye video hapa chini ambayo Zuby (gwiji aliyepata kumhoji Elon Mask) anamhoji Loay Alshareef, msaudia aliyezaliwa na kukulia Saudia...
Wananch wa Bagamoyo eneo la Mapinga Wamevamia Shamba la Nabii na Mtume Josephati Mwingira. Juzi Mwingira alikwenda huko akiwa na walinzi wa Kimasai walioambatana Na Mabounce na kuendesha operation...
Jeshi letu la police Sasa Watu wengi hawaliamini kama kweli lipo kutekeleza majukumu yake kikatiba ya kulinda raia na mali zao
Majeshi mengine yanakubalika Kwa uadilifi na kufanya kazi nzuri...
Yani wiki ya 3 hakuna mpunga wowote, ukiwauliza ni stori tu wanakupatia
Sasa ni kwamba hawa watu hawana liquidity nzuri au nini, basi hata kama ni wanafanya analysis juu ya mkopaji haiwezekani...
Tulikuwa na dili za asili kila pahala ulimwenguni.. Kwenye baadhi ya maeneo mpaka leo zipo na zinaheshimika sana!
Dini hizi ni dini zenye imani juu ya miungu.. Zisizoamini katika Mungu mmoja...
Toka hii dunia naifahamu nimeweza kujionea watu wanaoongea na simu mara nyingi sana, kwanza ni Hawa watu wa call centre /phone operators wa makampuni makubwa kama TANESCO na mitandao ya Simu, Hawa...
Mwaka 2023 ulikuwa mwaka ambao ulijaa changamoto na fursa kwa upande wangu. Nikiwa nimeamua kupanua biashara zangu, nilijikuta nikiingia China kwa mara ya kwanza. China ni taifa lenye nguvu kubwa...
Kanisa jipya la Anglikana lijulikanalo kama Episcopal Anglican Province Tanzania linatarajiwa kuzinduliwa Septemba 15 jijini Wilaya ya Kongwa jijini Dodoma.
Kuzinduliwa kwa kanisa hilo kunatajwa...
Mh Jaji Mkuu na Mtendaji Mkuu wa Makakama wamewahimiza Watanzania kutumia Tume ya Mahakama wanapotendewa vibaya na watendaji wa mahakama na wanasheria kwa ujumla.
Hii nimeipenda maana kumekuwa na...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA) imetekeleza Agizo la Waziri wa Maji Mh. Jumaa Aweso (Mb) la kuhakikisha huduma ya maji inarejea kwa wakazi wa Kata ya Mbokomu ifikapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.