Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hivi nani aliipa hadhi Tanga kuwa jiji? Hivi nikuulize Kati ya Tanga na kahama wapi kuna mishemkshe? Jibu ni kahama Sasa Kwanini mpaka Leo kahama imebakia kuwa wilaya? Kiukweli sijaona mkoa au...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Unakuta mwanafunzi wa Shule iliyoko kabisa mjini(Dar) wa kidato cha NNE anaulizwa Jua ni Sayari ya ngapi anajibu ya tatu, mwingine akasema ya pili. Wengine wakaulizwa Amiri Jeshi mkuu wa Awamu ya...
4 Reactions
32 Replies
4K Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imezitaka Halmashauri zote nchini kutotumia Shule za "English Medium" za Serikali kama vyanzo vya mapato. Mwenyekiti wa kamati hiyo ya...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu naomba kuelewa imekaaje unakuwa na mwanamke akawa nuksi unaweza kumtambuaje?
7 Reactions
22 Replies
1K Views
Afisa wa LHRC, Tito Magoti pamoja na mwenzake (kama wanavyoonekana pichani) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mchana huu Hata hivyo bado haijafahamika wamefikishwa Mahakamani...
18 Reactions
375 Replies
42K Views
Wachoraji wa picha za Yesu akiwa msalabani mnatakiwa kuelewa historia ya ile adhabu ya kifo enzi zile. Misumari ilikuwa inapigwa hapo mahali unapovaa saa ya mkononi siyo katikatiya kiganja kama...
12 Reactions
69 Replies
4K Views
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inaendelea kutoa huduma kwenye sekta ya Ardhi kwa Watanzania katika maeneo mbalimbali nchini kuhakikisha kila kipande cha ardhi kinapangwa, kinapimwa...
0 Reactions
1 Replies
352 Views
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Masasi bwana Hashim Hashim amesema Mji wake una Kiu ya Kuwa Manispaa kwani Wana vigezo hivyo wanatarajia kuanza kutuma maombi mapema na Kupitia hatua zote Ili...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita niliwahi kuposti thread nikihoji kwa nini wanazuoni wetu UDSM mtaala wa Uhandisi (Mechanical Engineering) hawajiongezi na kuunda hata mfano wa gari. Majibu...
4 Reactions
2 Replies
401 Views
Muswano mdau. Pichani ni moja ya ndizi tamu sana ijulikanayo kama malindi, ndizi hii ambayo huwa inakuwa na vidoadoa vidogo hutofautisha ndizi hii tamu na zile nyingine pichani chini. Nchini...
1 Reactions
1 Replies
540 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amezindua Bodi ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi huku akiipa majukumu bodi hiyo kulisimamia shirika ambalo linaenda...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Salam.Juzi nililipia azam kucheki ligi.ilipoisha sioni cha kuangalia ikarudi nilipie dstv angalau content zimeshiba Azam movie zao za Mbc sio HD,Picha zao sio nzuri,huo ndio ukweli. Sitangazi...
13 Reactions
80 Replies
5K Views
Watoto 30 kati 50 waliofanyiwa uchunguzi katika kambi ya siku 10 iliyofanyika katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) wamefanyiwa upasuaji wa moyo. Akizungumza wakati wa kufunga kambi...
0 Reactions
0 Replies
324 Views
Mapema leo Septemba 13, 2024 hapa Manispaa ya Songea, Mhe. Dkt. Damas Daniel Ndumbaro (PhD) amesalimiana na wanachama wenzake wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama cha Mapinduzi, UWT, na UVCCM. Mbunge wa...
0 Reactions
0 Replies
302 Views
Sherehe ya Tuzo za Stories of Change 2024 inakaribia, tufuatilie ili usipitwe. Septemba 21, 2024, Maandiko Bora yaliyoshinda katika Msimu wa 4 wa Stories of Change katika kuipendekeza Tanzania...
6 Reactions
12 Replies
899 Views
Wadau hamjamboni nyote? Naambiwa kuwa Kisa hiki Al-BaKisa cha Al-Baqarah (Ng’ombe)i kimetokea miongoni mwa Wana Israel enzi za Nabii Mussa nduguye Haruni Kwamba yupo Muisrael mmoja tajiri...
5 Reactions
15 Replies
966 Views
Leo nimetoa Tshs 575,000 kupitia mtandao wa Airtel na nimeshanga kukatwa Tshs.8,000. Ndugu zangu Serikali iko wapi tunaibiwa mchana kweupe. Nimesikitika sana na makato hayo. Serikali chukueni...
5 Reactions
7 Replies
362 Views
Mwaka huu Apple imebadilisha utaratibu wake wa kurekebisha simu na vifaa vya kutumia simu. Wiki hii katika mfumo mpya wa iOS 18 wakaguzi na mafundi wa simu wamegundua Apple imeweka mfumo mpya wa...
10 Reactions
8 Replies
1K Views
https://youtu.be/3DxH0NUxzRY?si=xZRKgw9HtibCALQv Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimeibua taharuki kubwa baada ya kupokea taarifa za kutishiwa maisha kwa mawakili watatu maarufu nchini...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Sasa hv kumekuwa na ongezeko kubwa sana la omba omba mijini na hata kwenye baadhi ya vijiji,cha ajabu sasa hv ni kama wana mfumo fulani ambao ni rasmi. Kwanza maeneo wanayopendeleea kuomba...
6 Reactions
12 Replies
778 Views
Back
Top Bottom