Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa raia Mkuu wa Idara ya Mazingira Geoffrey Mosiria, ameliomba moja ya kanisa nchini Kenya, kudhibiti kiwango cha kelele ili kuepuka usumbufu kwa jamii...
1 Reactions
9 Replies
918 Views
Wakuu wapenda historia na investigative history! Je ni kweli Yoweri Museveni baba yake alitokea kwa abatwaa na mama yake alikuwa mtusi? Kama ni kweli je kwanini hawasaidii watwaa wenzie wanaokufa...
0 Reactions
9 Replies
650 Views
Habari wakuu, Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la kampeni kubwaa sana ya kupinga Vita dini na kusema dini ni vitu vya kuletwa na majahzi tu zisifuatwe, na maneno haya utakuta...
3 Reactions
63 Replies
3K Views
Salam wadau, Huwezi kutenga siasa na maisha ya mwanadamu. Naomba niruhusu mjadala kabla ya kutoa mchango wangu! Karibuni!
0 Reactions
2 Replies
292 Views
Katika kandarasi nyingi wafanyakazi wasio rasmi /temporary worker aka vibarua, huigarimu kampuni almost 7-10, ya fedha za mradi although bajeti hii huwa imeainishwa ndani ya mkataba, tunashuhudia...
1 Reactions
10 Replies
695 Views
Mkuu wa Mkoa amesema ana taarifa za baadhi ya wilaya kuwa na wawekezaji waliotakiwa kulipa fidia Sh400 milioni kwa wananchi takribani, lakini wameshindwa kulipa huku wakiendelea kushika ardhi ya...
0 Reactions
0 Replies
646 Views
Nimeajiriwa ngazi ya chini Serikalini lakini naona mambo hayaendi kabisa. Mwanzo nilipoajiriwa nilikuwa nafuraha lakini siku zinavyoenda mambo yanaenda ndivyo sivyo. Nina mawazo kuacha kazi...
30 Reactions
159 Replies
8K Views
The tale of Afande is somehow orchestrated by people inside the system, If you think well outside the box. Just try to remember when was the issue happened and it was in which situation a...
2 Reactions
17 Replies
833 Views
Dodoma mjini kati mitaa ya sokoni inanuka ushuzi kinoma, mitaro inayotiririsha majitaka kupeleka kwenye mtaro mkubwa iko wazi harufu mtindo mmoja.
1 Reactions
2 Replies
419 Views
Iko hivi, siku za nyuma kama wiki tatu zilizopita nilikuwa naongea na mama kweny simu, tulikuwa tunaongea kuhusu maswala ya kutumiana pesa, nikwambia ntamtumia muda si mrefu tukimaliza kuongea...
25 Reactions
85 Replies
5K Views
Raia wa Poland, Wojciech Zabinski, mmiliki wa hoteli za Pili Pili Zanzibar, anadaiwa kutafutwa nchini Poland kwa kosa la udanganyifu. Inadaiwa aliendesha shughuli zake za ulaghai Zanzibar kwa...
1 Reactions
0 Replies
979 Views
USALAMA WA KISAIKOLOJIA (Chanza cha maisha bora) Usalama wa kisaikolojia ni hali ambayo watu wanajisikia huru kutoa mawazo, kushiriki katika mazungumzo, na kuchukua hatari bila hofu ya adhabu au...
0 Reactions
0 Replies
293 Views
Wapendwa habari zenu Napenda ku-share nanyi hiki kitu kinatokea kwenye simu yangu anytime. Simu yangu kila wakati inaleta neno juu ya screen " SENDING SMS" kisha inatoweka, simu inaweza kua muted...
5 Reactions
47 Replies
4K Views
Nimeshindwa kusimamia lakini nimeona pikipiki zaidi ya 200 zimepaki na Vijana kwa mamia wanachungulia kule kwenye Mto Genta unaweza kutujuza yaliyojiri maana Wasiwasi ndio akili Yasijejirudia ya...
16 Reactions
107 Replies
9K Views
Nina hamu ya kuonja maziwa ya Ngamia; najua Tanzania hatuna ngamia wengi kama Kenya au Somalia na Ethiopia ila wapi hapa Dar naweza nunua maziwa ya Ngamia? Msaada wana Jamii
5 Reactions
39 Replies
2K Views
Nadhani naingia kwenye msongo wa mawazo, nahitaji neno la faraja kwenu wa TANZANIA wenzangu, ndugu, kaka, dada, mama na baba zangu. Wakuu juzi, niliwashirikisha juu ya dhiki ya njaa Inavyotaka...
3 Reactions
41 Replies
2K Views
Wakati mwingine Mtazamo, Hisia au Itikadi juu ya jambo huweza kuathiri maamuzi wakati wa kutafuta Ukweli wa jambo. Unapofanya Uhakiki wa Taarifa yakupasa udhibiti Hisia, usiwe na Upande au...
3 Reactions
6 Replies
562 Views
Rais Samia amewakumbusha wanahabari kuwa Urais ni taasisi hivyo kuna masuala ambayo yeye kama Samia hahusiki. Amelalamikia suala la waandishi kuandika story kama Tanzania Ikishtakiwa Umoja wa...
8 Reactions
52 Replies
2K Views
Kila nchi ina lugha ya Taifa, lakini pia ina lugha za Makabila. Mfano kama Tanzania unakuta kunamakabila zaidi ya 100 na China hivyo hivyo. swali linakuja je, kunauwezekeno wa kisukuma ukakuta...
0 Reactions
6 Replies
403 Views
Ohaaaaaa, Kama wewe ni dereva soma hapa kwa makini, Hasa kama unabeba abiria ,Uliembeba kila mmoja ana sababu zake kwa nini amesafiri. Bahati mbaya dhamana ya uhai wao iko juu yako. Kuna...
0 Reactions
1 Replies
612 Views
Back
Top Bottom