Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sasa hv kumekuwa na ongezeko kubwa sana la omba omba mijini na hata kwenye baadhi ya vijiji,cha ajabu sasa hv ni kama wana mfumo fulani ambao ni rasmi. Kwanza maeneo wanayopendeleea kuomba...
6 Reactions
12 Replies
778 Views
Septemba 21, 2024, tutayatambua Maandiko yaliyoibuka kidedea kwenye Shindano la Uandishi wenye Tija Mtandaoni la Stories of Change ambapo mwaka huu (2024) maandiko yalitoa mapendekezo kuhusu...
3 Reactions
4 Replies
893 Views
Jinsi ya kuboresha mipangilio ya usalama ya kivinjari 'Privacy Settings' kwa hatua zifuatazo: A. Safari (Mac/Iphone): Ingia Preferences > Privacy tab na chagua ‘Prevent cross-site tracking’. B...
3 Reactions
4 Replies
814 Views
Natambua wengi wetu hapa unapotaja habari za ushirikina na mambo ya giza watakwambia hayo ni mambo ya waafrika. Tena wasioelimika. Lakini katika dunia hii hakuna binadamu asiyekuwa na haya mambo...
8 Reactions
130 Replies
15K Views
Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Salaam bado linaendelea kuwashikilia Boniface Jacob na Godlisten Malisa. Wanatuhumiwa kwa makosa ya uchochezi na kuzua taharuki katika jamii. Polisi...
7 Reactions
118 Replies
8K Views
LATRA wametoa taarifa kwa umma kuhusu kufungia leseni ya usafirishaji Abiria ya Kampuni ya KATARAMA kwa kigezo kuwa wanachezea vidhibiti mwendo. Sina tatizo na hilo. Ila kama ni kweli basi...
12 Reactions
102 Replies
5K Views
Habari wakuu, mida ya saa12 asbh nipo zangu Kituoni pale Miyuji nasubiri basi la Machame niende zangu 'R Chuga' saa12 kama na dakika 20 hv Shabiby likapita, dakika km ishirini bdae Machame...
4 Reactions
116 Replies
20K Views
Nataka Leo niongee na wazazi Kama mpo. Sisi katika familia yetu upande wa babu yangu wamefanikiwa wote . Je, ilikuaje wakafanikiwa familia nzima? Kwanza Babu yangu alikuwa MTU mwema Sana...
23 Reactions
57 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Huu ndiyo utaratibu wa kufuata inapotoea mtu ameuawa kwenye maeneo yenu na aliyemuua mtu huyo hajulikani Kumbukumbu la Torati 21:1- 9 1 Aonekanapo mtu ameuawa katika...
2 Reactions
2 Replies
443 Views
Kuna video inatrend mitandaoni ya msichana akishambuliwa na nyuki Mbweni huku jamaa wakiwa ndani ya gari ya chumba wanarekodi. Kwa mlioiona na kujua hatma yake tunaomba mtujuze nini ilikuwa hatma...
8 Reactions
174 Replies
10K Views
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia mwanafunzi wa kidato cha pili (miaka 17) kwa tuhuma za kumuua rafiki yake, John Lema (18) chanzo kikielezwa kuwa, mabishano ya umri. Mwanafunzi...
2 Reactions
11 Replies
889 Views
Ujenzi wa uwanja wa arusha kwa ajili ya afcon ni fursa adhimu kwa waandaji kwa maana kwamba africa iko mikononi wa east africa 2027 Nimekuwa nikufuatilia mijadala ya wadau wa michezo na...
3 Reactions
7 Replies
644 Views
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Nurdin Babu amezindua msimu wa tano wa Tamasha la Kahawa(Kahawa Festival) na kutoa wito kwa wananchi kujikita kwenye uzalishaji wa zao la Kahawa. Amesema zao la Kahawa...
2 Reactions
0 Replies
420 Views
Maisha ya binadamu awali yalikuwa ni ya mjumuiko(umoja) kitu ambacho kinampezesha Mungu sababu ndani ya maongezi ya watu wengi Mungu anakuwepo(yanazungumzwa mema tupu) lakini imekuwa tofauti na...
2 Reactions
3 Replies
256 Views
Ni vigumu sana binadamu kukwazana mpaka kufikia hatua ya kupigana hasa katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia, sishangai Marekeani na washirika wake wanaweka vizuizi kuzalisha VILIPUZI kwa...
1 Reactions
0 Replies
345 Views
Kwa sisi wa kitambo kidogo wakati wa mwalimu sote tunaukumbuka utaratibu wa detention. Ilikuwa endapo umeikera serIkali basi kilichokuwa kikifanyika ni kukukamata kwa siri na kukuficha pahala...
2 Reactions
6 Replies
332 Views
AFRO Centric view Ni mtazamo wa kupinga unyonyaji, ukatili na uharibifu wa tamaduni za kiafrika ambapo umetolewa na wanazuoni wengi akiwemo Water Rodney, Prof Lumumba na Mandela. Kimsingi hakuna...
1 Reactions
1 Replies
430 Views
Scene 1: Mji wa Dar es Salaam, Usiku Maelezo ya eneo: Usiku wa Dar es Salaam, mitaa yenye mwangaza mkali kutoka kwa biashara za usiku na vilabu vya michezo ya kamari. Sativa ni kijana maarufu...
0 Reactions
4 Replies
927 Views
Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) inatarajia kufanya onesho la nane lijulikanalo kama Swahili International Tourism Expo (SITE) litakalofanyika Oktoba 11 Hadi...
0 Reactions
0 Replies
282 Views
Kwa hali inayoendelea kwasasa kwenye hii nchi kusema za ukweli nipo kwenye taharuki kweli aliyezaliwa na mwanamke siku zake si nyingi aisee na hali inayoendelea kwenye hii nchi hata sijui...
5 Reactions
8 Replies
397 Views
Back
Top Bottom