Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nashindwa kujua intelijensia ya ya hivi vyombo vyetu vya usalama na ripoti zao kwa viongozi na Rais wa nchi zina weledi kweli..? yaani inawezekana vipi kuiweka nchi kwenye hali ya taaruki kiasi...
0 Reactions
2 Replies
366 Views
Habari wakuu, Nahitaji kwenda msumbiji maputo kwa njia ya barabara (bus). Ushauri wenu wakuu na wazoefu huwa mnafanyaje fanyaje? au ni gari zipi zinaelekea huko? Naomba kuwasilisha.
2 Reactions
72 Replies
8K Views
Washiriki watano wa kike kwenye shindano la Prime Video lijalo, Beast Games, wameanzisha hatua za kisheria dhidi ya kampuni ya uzalishaji ya MrB2024 na Amazon huko Los Angeles. Jimmy Donaldson...
1 Reactions
0 Replies
493 Views
Unafahamu ni kwa nini gari jipya kabisa linatoka kiwandani na hook ya kuvutwa? Je watengeneza wa magari hawana imani na kazi yao? La hasha, watengeneze magari wanaelewa kuwa pamoja na upya wake...
9 Reactions
3 Replies
325 Views
Iko hivi baada ya kutoka mjini nikiwa na mke wangu nilienda nyumbani kwa wazazi wangu baba na mama, sasa pale kuna dada yangu ambeye namfuata yeye ameachika hivo yupo tu nyumbani anadanga...
10 Reactions
30 Replies
3K Views
WAZIRI DKT. NDUMBARO ATEMBELEA MAONESHO TAMASHA LA TAMADUNI Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro Septemba 22, 2024 amekagua mabanda ya maonesho katika Tamasha la...
0 Reactions
1 Replies
333 Views
Hivi kuna anayejua dawa hasa ya kuua hawa wanyama/ndege aina ya popo? maana naona wanakuwa kero kweli kweli kwenye nyumba. hivi wataalam kweli wameshindwa kutengeza dawa au sumu ya popo? Naona...
0 Reactions
46 Replies
45K Views
Wakuu, Pakistan hua hatuitaji kibiashara wala hata bidha zao hatuzitaji lakini kiuhakika jamaa kwa viwanda vidogo na vikubwa nao sio haba. Bidhaa zao nyingi ni bora na za kiwango cha juu hivo ni...
8 Reactions
74 Replies
6K Views
Ni karibu mwezi wa pili sasa Radio EFM haisikiki Morogoro, tatizo ni nini? Au labda hamjui kwamba matangazo yenu yamekatika Kwa muda wote huu? Mnatukatili wasikilizaji wenu. Au labda tukubaliane...
0 Reactions
2 Replies
335 Views
Hawa watu (rasta men) wanavuta sana bangi lakini bado wanabaki kuwa watu wa Amani na Utulivu sana katika Jamii. Hivi kuna nini mpaka haiwasumbui kichwa kama ilivyo kwa watu wengine?
4 Reactions
18 Replies
2K Views
FISTULA INATIBIKA EPUKA UNYANYAPAA , mpe taarifa ndugu , jamaa na rafiki kuhusu taarifa hii ili kurudisha tabasamu katika Jamii .
1 Reactions
2 Replies
115 Views
Katika harakati zangu za utafutaji nimejikuta nakodisha banda liliko lipo wazi msimu wa mwaka jana. Mtaa ninao kaa kulikuwa na mabanda mawili ya mpira ila msimu huu jamaa mmoja hakufungua...
13 Reactions
71 Replies
3K Views
Huyu mwamba ambaye katika Himaya ya Utwitani ni Maarufu kwa Id ya Msouth Madenge nilichokigundua huyu jamaa anauwezo Mkubwa wa kuchambua mambo kwa haraka zaidi yaani kwa lugha nyepesi ni mtu...
7 Reactions
120 Replies
7K Views
Binafsi sio tapeli ila nikiri kwamba niliamua kuwanyoosha hawa wakopeshaji wa mtandaoni baada ya mmoja wao kunichafua, Nilikuwa mkopaji mzuri wa app fulani jina nalihifadhi nikilipa walikuwa...
64 Reactions
304 Replies
18K Views
Picha ya kwanza ilipigwa mwaka 1958 na picha ya pili ilipigwa mwaka 1996 na watu wale na kila mmoja akapanga kukaa nafasi ile ile aliyokaa mwaka 1958. Nafasi zilizo wazi ni za rafiki zao ambao...
29 Reactions
64 Replies
3K Views
Wakuu nina imani mnaendelea kupambana. Nimeshangaa sana kukutana na watanzania wachovu kufikiria kama wale. Wale wazee ni watu wa pwani, wamefikishana mahakamani wanagombea mpaka. Eti...
12 Reactions
51 Replies
2K Views
Kanuni za uendeshaji waklabu na kanuni za fedha za klabu naombeni msaada jamani nataka kuzifahamu kwa anaejua anisaidie wadau
0 Reactions
0 Replies
171 Views
Kuna mdau wa JF karipoti kuwa kadinali Pengo amezungumzia habari za watu kuuwawa kupitia redio maria na zinazoshirikiana nao. Hii ni siku moja kabla ya tarehe iliyotangazwa na Chadema ya kutaka...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Kuna mambo nasoma asbh hii ya pdidy vs jb Kwa kweli nimewakumbuka sana kaka zethu walio nje Mungu awatunze wasijiingize kwenye hii michezo Nasema haya kuna mama jirani yetu kmr mwisho ana...
1 Reactions
0 Replies
364 Views
Salaam kwenu wanajukwaa. Ningependa kuwashukuru Jamii Forums (JF) kwa tuzo hii ya kipekee. Ni fahari yangu kutambuliwa kuwa kiongozi anayepokea maoni ya wananchi na kuyafanyia kazi kupitia...
95 Reactions
161 Replies
5K Views
Back
Top Bottom