Ni karibu mwezi wa pili sasa Radio EFM haisikiki Morogoro, tatizo ni nini? Au labda hamjui kwamba matangazo yenu yamekatika Kwa muda wote huu? Mnatukatili wasikilizaji wenu. Au labda tukubaliane na maneno ya Yule msanii Mzee Onyango aliyekuwa anasema kuna Radio mwisho Chalinze!! Ebu tafuteni ufumbuzi wa Baraka, Nawasilisha.