"USIPOKUWA MAKINI UTALALAMIKA MPAKA UNAZEEKA"
1. Umelala kitandani unalalamika MAISHA NI MAGUMU - Usijali maisha mazuri unayoyataka yatakufuata papo hapo kitandani.
2. Unacheza bao saa 24/7...
Ripoti ya UNESCO "The Chilling: Global Trends in Online Violence Against Women Journalists" inaeleza kuwa wanawake wanaojulikana hadharani kama waandishi wa habari, watetezi wa haki za binadamu...
Kwenye ugomvi wa maneno.
Kama hauna uhakika kama hilo jambo ni ukweli.
Mtu mwingine akiwa anaongea.
Unapokosolewa.
Unapotaka kuweka umakini kwenye jambo fulani.
Wafamasia kama nguzo muhimu Katika sekta afya, kipi mnatuasa wanajamii?
========
World Pharmacists Day, organized by the International Pharmaceutical Federation (FIP), a WHO partner, is a day to...
Naanza na mmakonde hawa jamaa ni kama Wachina Tu hawali Kinyonga tu hicho kimewashinda. Ila Mzoga wowote akiokota lazima uingie tumboni.
Wahadzabe, hawa jamaa ni hatari porini hadi nyoka akiwaona...
Hili jambo limekuwa linaniumiza sana Moyo wangu. Imebidi nije humu JF niiambie dunia yanayousibu moyo wangu. Mtoto huyu moyo wangu unatembea nae. Jana nimatafakari kwa kina na kuona liwalo na...
Rais Samia akiongea na wananchi wa Peramiho mkoni Ruvuma amewataka watanzania kuendelea kudumisha amani, utulivu na usalama katika maeneo yetu.
Ni wajibu wetu (CCM) kuhakikisha Tanzania inabaki...
Majuzi nilifika kwenye hili TAWI Kwa ajili ya kutoa fedha ATM cha kushangaza hapakuwa na option ya kutoa pesa zaidi ya ile ya kuangalia Salio nk.
Ikabidi niwe mpole nikakimbilia kutoa Kwa...
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika, Wakili Boniface Mwabukusi, amesema kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa, Jeshi la Polisi halipaswi kuingilia michakato ya Kidemokrasia isipokuwa tu kwa...
Nahitaji kufungua website kwa ajili ya biashara.
Nimepitia baadhi ya nyuzi tofauti tofauti kuhusiana na maswala ya website na aina zake nimepata mwanga angalau kidogo.
Ila bado nina maswali kwa...
Watu wengi mnatapeliwa na madalali eti atakufanyia mchakato upate visa ya kwenda marekani kanada na ulaya. Mtapigwa sana washamba nyie, visa inatoka embassy sio kwa agent
Sasa huyo agent kama...
Emmanuel Kalungwana mkazi wa Mbezi Africana, amefikishwa katika mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kujibu shtaka la kuingilia miundombinu ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam...
Wanabodi,
Mwandishi wa EATV ambaye jana alikamatwa kwenye maandamano ya CHADEMA siku ya jana, amezungumza kwenye kipindi cha The Drive ambapo alisehoji kuhusu kukamatwa kwake na jinsi ambavyo...
Hebu tafakari kidogo – miaka 10 ijayo, jiji lako litakuwaje? Unafikiria majengo marefu zaidi? Magari yanayopaa? Well, sio mbali sana na uhalisia! Sasa hivi, tunazungumzia smart cities – miji...
Habari za leo,
Ninatokea Mbezi mtaa wa Luis kitongoji cha Upendo.
Hivi karibuni kumeibuka wizi wa mita za maji hapa mtaani kwetu bila kujua wanaoiba wanazipeleka wapi, Dawasa tumewapa taarifa...
Kwema Wakuu!
Namna Bora ya ku-deal na vijana wa sasa ambao Asilimia 90% ni Vijana wa hovyo ni kuwa na roho ngumu tuu. Kama unahitaji mahusiano mazuri yenye furaha na vijana hawa na hautaki kuumia...
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), kwa kushirikiana na Jeshi la polisi kikosi cha Usalama Barabarani imefanya kikao na wasafirishaji wa mabasi ya Mkoani ili kuwakumbusha kuzingatia...
Habari!
Mara nyingi nasema kuwa ni ngumu sana kuwa mzalendo kwenye nchi ya Tanzania. Serikali inaponyesha nia ya kuwa upande wa wananchi roho ya uzalendo inachipua yenyewe mioyoni mwa wananchi...
Ijumaa tarehe 20 saa 1:15 asubuhi haikuwa siku njema kwangu, nilifika stesheni ya SGR nikiwa na furaha ya kuanza safari ya kuelekea Dar es Salaam, baada ya kukaguliwa tikiti yangu nikaambiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.