Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimechaguliwa kusoma Bsc of science in human nutrition ,naomba nishaurini chochote kuhusu hii course kama ni nzuri # Natanguliza shukrani zangu za dhati wakuu#
2 Reactions
1 Replies
293 Views
Kuna wazazi hawataki watoto wao waongoze darasani kwa kuogopa kulogwa! Kuna watu wakichomoza katika biashara watagundua adui wake wa kwanza ni shetani baada ya kuanza kutupiwa majini na ndoto za...
4 Reactions
6 Replies
813 Views
Kuna hii app ya mikopo ya online, inayoitwa Swift Fund, hawa ni wezi kabisa.. Unakopa, wakati wa kulipa wanakutumia link, unalipa, na Deni lako linaendelea kuwepo, hakuna kinachobadilika...
1 Reactions
4 Replies
662 Views
Anonymous
Wahudumu wa zahanati ya Msoga hasa baadhi ya madaktari hawako serious na wagonjwa, Leo nimefika kutibiwa hospitalini hapo kilichotokea ni kwamba wagonjwa wote tulipoingia chumba cha Daktari...
1 Reactions
2 Replies
333 Views
Katika jitihada za kukuza mashirikiano yenye tija, Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete(JKCI) imeanza kushirikiana na Hospitali ya Medanta iliyopo nchini India katika kubadilishana ujuzi wa fani...
0 Reactions
1 Replies
394 Views
Aliwahi kuandika mwana fasihi MBUNDA MSOKILE kwenye kitabu chake cha USIKU UTAKAPOKWISHA, kwamba; Ukikosa Kware mawindoni rudi na bundi. • Msemo huu uwakumbushe wale ambao wanasubiri kazi za...
2 Reactions
2 Replies
422 Views
Ni mtoto labda ndio hajui kuwa hamas na hezbollah ni midori ya Iran. Iran atafanikisha lolote lile liendalo na utapeli wake hata kwa gharama ya damu ya watu wake wenyewe. Nini haswa madhumuni ya...
1 Reactions
1 Replies
370 Views
Wale watoto nadhani wa Peramiho Songea wametupa Somo watanzania tusiwe jamii ya kupenda kila kitu tusaidiwe. Ni vema tukiwa jamii ya kupenda kutoa au kuchangia. Tuache dhana ya kuona kila jambo...
1 Reactions
1 Replies
389 Views
Kama mambo aliyofanyiwa na Diddy hayaelezeki, kwa nini tusiamini kama kati ya hizo chupa 1000 ya futa, kuna chupa 1 inamuhusu?
9 Reactions
33 Replies
4K Views
Jinsi ya Kujua Namba ya IMEI ya Simu Yako 1. Njia ya Kupiga Namba: Fungua programu ya simu kisha piga *#06#. Namba ya IMEI itaonekana moja kwa moja kwenye skrini. 2. Njia ya Mipangilio...
6 Reactions
3 Replies
4K Views
Hiki ni kisa kingine, Nimewahi kupita shule flani ya msingi siku ambayo darasa la saba wamemaliza mtihani, nilikuwa na chenji nyingi za elfu mbili mbili nikapata wazo niwazawadie wataoweza kujibu...
15 Reactions
25 Replies
1K Views
Kwa kweli, hiki ni kitu ambacho hakijawahi kutokea! Mishahara ya watumishi imetoka, maajabu ni kuwa kuna waliopata annual increament mwezi uliopita(wa nane) na wengine hawakupata wakitarajia...
15 Reactions
50 Replies
3K Views
Rais alikuwa anaongea na wale watoto wa shule ya msingi akawaita " malaika" Hili ni jambo ambalo napinga sana. Ni kama mtu akinunua glasi mpya au sahani mpya,haoni sababu ya kuiosha. Mtoto...
2 Reactions
4 Replies
660 Views
Huyu kijana ni Mkenya, graduate wa Education. Anasema alisoma education kwa kumridhisha mzazi wake tu. Kamaliza kapewa certificate yake kumkabidhi mzazi wake na yeye anataka aanze safari ya...
4 Reactions
11 Replies
968 Views
Serikali iingilie manyanyaso haya Wilaya ya Uyui. 1. Wilaya ambayo watumishi wake hawajalipwa pesa zao za likizo. Ikumbukwe likizo hiyo watumishi hizo hiyo walioomba tangu mwezi wa 12. Imekuwa...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
AHADI za fedha kutoka mataifa tajiri kwenda mataifa masikini kwa ajili ya kuhimili na kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi ni tamu, lakini kiuhalisia ni mtego wa madeni. Uchambuzi wa...
2 Reactions
2 Replies
681 Views
poleni na hongera kwa majukumu ya kila siku, naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Kimsingi nahitaji kusoma "masters" ila sijuwi ni kozi gani itanifaa na kuleta tija kwangu. Ndugu wadau...
5 Reactions
61 Replies
9K Views
I mean existential crisis Angalia ndugu yake na kurwa sasa hivi kwa mtaani anatamba na ubaya ubwela Vijana mtandaoni wanahangaika na uwepo wa mungu, they feel his death Viongozi wa serikali na...
0 Reactions
0 Replies
255 Views
Wadau,kipato changu wastan wa kum na tano kwa siku,kulingana na kipato nalazimika kujibana kwa kuacha hom kum ulfu na dala lililobak natumia km nauli na mengineyo. Utata unakuja kwenye kutoa...
5 Reactions
202 Replies
15K Views
Back
Top Bottom