Right Marker
Senior Member
- Apr 30, 2018
- 194
- 625
"USIPOKUWA MAKINI UTALALAMIKA MPAKA UNAZEEKA"
1. Umelala kitandani unalalamika MAISHA NI MAGUMU - Usijali maisha mazuri unayoyataka yatakufuata papo hapo kitandani.
2. Unacheza bao saa 24/7 huku unalalamika MAISHA NI MAGUMU - Usijali maisha utayatoboa papo hapo kwenye bao.
3. Unataka kuwamaliza wanawake wote wa Dar es Salaam kwa kufanya nao ngono? - Usijali kazana utawamaliza. Baada ya kuwamaliza kama umri utaruhusu njoo mtaani tujitafute.
4. Kila siku ukiamka unakwenda kushinda kwenye maduka ya wenzako unapiga stori na kucheza Drafti. Jioni mwenzako anafunga hesabu wewe unarudi kulala kwa wazazi - Usijali endelea vivyo hivyo maisha sio magumu kivile.
RIGHT MARKER
Mhadhara wa 15
Mbezi Louis DSM
24/09/2024.