wasalaam ndugu zangu
Niende moja kwa moja kwenye mada :Je, ni ipi asili au mila za mwafrika ? Kumekuwa na maneno utasikia ''sisi tuna mila zetu '' ''Tuna tamaduni zetu kabla ya kuja wakoloni "...
Mzee Kibao alitekwa kwenye bus la kwenda Tanga, @godbless_lema ametekwa kwenye ndege na shirika la ndege likaa kimya na ABIRI wenye iPhone zao wakakaa kimya na wakaficha taarifa
halafu kuna...
1. Bunduki
2. Vilipuzi vya aina mbalimbali
3. Sumu za aina mbalimbali
4. Sitafuga nyoka wa biashara (sumu ya nyoka ni biashara nzuri)
5. Sitafuga nge kwa ajili ya biashara
6. Sitafuga samaki aina...
Na Mwandishi wetu.
TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora nchini (THBUB), imebaini kuwa tuhuma za ukiukwaji wa haki za binadamu zilizotolewa na shirika lisilo la kiserikali la Mining Watch la...
Mzee Butiku anasema IGP, Mkuu wa Usalama wa Taifa, na hata CDF "wasitwambie hawajui". Lakini huenda hawajui! Ingawa kama ni kweli kwamba hawajui, maana yake ni kwamba hali ya Usalama wa taifa letu...
Watu watatu wamekutwa wamefariki dunia kwa kuchomwa moto na watu wasiojulikana eneo la msitu wa Hifadhi ya Korogwe Fuel, uliopo Kijiji cha Sindeni wilayani Handeni mkoani Tanga.
Akizungumza na...
JKT LAWAITA VIJANA WA KIDATO CHA SITA MAKAMBINI
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa, Meja Jenerali Rajabu Nduku Mabele, tarehe 24 Mei 2024, ametangaza nafasi za Kujiunga kwenye Mafunzo kwa Vijana wa...
Medusa ni mojawapo ya wahusika maarufu katika mitholojia ya Kigiriki, ambaye alikuwa mwanamke mwenye nyoka kwenye nywele badala ya nywele za kawaida. Kulingana na hadithi, yeyote aliyemtazama...
Wakubwa shkamooni wadogo habari zenu.....
Tujifunze ku normalize kuwaambia watu kwamba wana tu inspire kwa matendo yao au style ya maisha yao, kuliko kujaribu kuwa kama wao na kuanzisha...
Vijana wenzangu tukiwa ndo tunauanza mwaka 2023 si vibaya kupeana mbinu za utafutaji maana ujana wetu ndo utakao amuwa uzee wetu uweje.
Watu wengi wamekuwa wakisema kuwa yakwamba ukitaka...
Kwema Wakuu!
Nimesoma Uzi WA ndugu Covax unaowakataza kama siô kuwatahadharisha Wanaume kutokuwaanzishia Wake au Wenza waô biashara kwani lazima itafilisika.
Ushauri wa Covax siô Sahihi Kwa...
Achana na wale unaokutana nao pembeni ya barabara wakihitaji msaada wa chochote, sikuhizi kuna ombaomba hawa ambao ukiingia kwenye mahusiano tu basi utaletewa matatizo chungu nzima.
Nashauri...
Juzi nilienda kununua nyama maeneo fulani Dodoma. Nilipofika nilikuta bucha safi na la kisasa lakini nilishangazwa kuona hakuna tena lile gogo la mti la kukatia nyama muda huu nilikuta kifaa kama...
Hello!
Mimi ni mtumishi wa Mungu, I know God. Sio mtumishi wa kuenenda kwa hisia. Hata nikimwombea mtu jambo siishii tu kumwambia amini utaponywa au utatendewa. Nitamwombea mpaka nipate jibu...
Najua wengi wenu mtakuja na majibu ya wazungu ni wezi mara mabeberu wanaonea Waafrika.
Ila mnasahau adui na mwizi wenu namba moja ni yule aliyeko pembeni yako na licha ya kukuibia bado anakutoza...
Wadau mada yajieleza.
Jumatatu ijayo nitakuwa igunga hadi alhamisi.
Sasa kwa waijuao Igunga, nile na kunywa wapi na nilale wapi?
Maeneo yawe mazuri sana.
Asanteni.
Jana nilivyoona stori za mmoja ya mwanaharakati wa chadema kakamatwa na polisi kwenda kukagua nyumbani kwa jamaa naamini kabisa wale polisi waliokua wanakagua Ile nyumba na polisi wengine Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.