matemabi
Senior Member
- May 2, 2017
- 103
- 125
Juzi nilienda kununua nyama maeneo fulani Dodoma. Nilipofika nilikuta bucha safi na la kisasa lakini nilishangazwa kuona hakuna tena lile gogo la mti la kukatia nyama muda huu nilikuta kifaa kama plastic hivi, yaani kina material kama yale ya chopping board... halafu kime chambuka/ kimelika haswaa...
Nikamuuliza jamaa vipi tena magogo ya mti yameenda wapi!?
Yeye Akajibu wamezuia
Mimi: Kwanini!??
Yeye: Hajui ila anafikiri kwamba ni ukataji wa miti umeongezeka ndio sababu magogo yamekatazwa.
Mimi: mbona hicho kama kiplastic
Yeye: Ndio ni plastic na mtakufa sana mwaka huu
Tukaishia kucheka...
Jamaa akaongeza kusema usipo kutwa na hicho kibao unapigwa fine japo kuwa kuna machine za kukata nyama na kile kibao utatakiwa kuwa nancho kama mbadala wa gogo la mti.
Yaani jamaa anasema kile kiplastic kinawahi kuisha haraka sana ukiringanisha na gogo la mti.
Nikajiuliza kwahiyo tunakula plastic kiasi gani!?
Sent from my SM-N976N using JamiiForums mobile app