Mwanaume ni ujasiri wa kupokea majukumu na mara nyingi kipimo cha uanaume ni ndoa ikiwa huna ndoa wewe ni mvulana tu, vijana mnapenda kuchovyachovya lakini ukiingia kwenye ndoa unakutana na mke...
Dkt. Mpango aagiza wasakwe awataka NMB kumsimamisha kazi Mtumishi wake aliyekula njama, asikitishwa mtendaji kuuwawa kikatili.
Watumishi wa umma na wengine 15 matatani, ataka taarifa zao zifike...
Ikiwa zimebakia siku chache kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Mwanaharakati wa haki za binadamu nchini, Dk Ananilea Nkya amasema kuwa zipo changamoto mbalimbali ambazo upelekea Wanawake...
Taharuki ya Mvutano wa CHADEMA huko Ikungi Mkoani Singida kwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu. Chazo cha mzozo kinaelezwa kuwa ni mgongano ya kimaslahi miongoni mwa wananchama...
SERIKALI KUANZA MAHOJIANO RASMI NA WAKIMBIZI - NAIBU WAZIRI DANIEL SILLO
Serikali ya Tanzania inatarajia kuanza mahojiano ya kina na wakimbizi wa Burundi wanaoishi nchini ifikapo 2025. Mahojiano...
------------
MAMLAKA ya Mapato Tanzania(TRA) imezindua ofisi ya walipa kodi binafsi na wenye hadhi ya juu 158 ilikuongeza ufanisi wa ukusanyaji mapato.
Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato...
Wakuu mko poa?
Nimefanya mtihani wa IQ mtandaoni na nilitarajia kupata matokeo yanayoonyesha namba ya kiwango changu cha IQ. Hata hivyo, badala ya namba hizo, nimeshangazwa kupata matokeo...
Nawasalimu popote mlipo
Tuje kwenye hoja
Nimejaribu kutafakari kitu
Mnaweza kuwa na watu mnafahamiana katika hizi harakati zetu za kusanga tonge🫰, gafla ikitokea mwana kutusua unaanza kuona...
Licha ya viongozi wa vyama na serikali kuhamasisha Wananchi kwenda kujiandikisha kwenye Daftari la Kupiga Kura, hali ni tofauti na matarajio yao.
Wananchi wamekuwa na mwitikio mdogo sana katika...
Wafanyakazi wa TRA ofisi za Sido & Mwanjelwa mnakera sana wateja wenu.
Watu tumeacha shughuli zetu ili tuje tulipe hizo kodi mnazozihitaji lakini huduma zenu zimekuwa mbovu sana.
Wahudumu...
Separatus Fella
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imetoa Mafunzo Elekezi ya Awali kwa Watumishi wapya 80 ambao wameajiriwa hivi karibuni ikiwa ni Mpango unaoandaliwa na Idara ya Utawala na...
Nianze kwa kusema nimeishi Arusha, Mwanza, Dar Moshi, na sasa hivi nipo Dodoma unaelekea Mwaka sasa nipo huku kwa sababu za kikazi.
HALI YA HEWA
Huu mji toka nifike sijaona mvua, mchana kuna jua...
Kwa tafiti ndogo niliyofanya nimeona ndoa nyingi za wasomi watupu hazifanyi vizuri. Zimejaa dharau na viburi na mwisho huwa ni separation.
Kama umesoma sana kama ni mwanaume tafuta msichana...
Leo Oktoba 16 ni Siku ya Chakula Duniani, licha ya umuhimu wa chakula kwa afya ya Binadamu, kuna dhana Potofu nyingi kuhusu chakula katika Jamii
Kama mdau wa JamiiCheck.com, tujuze ni dhana gani...
Habari wanaJF,
Najua kwenye safari zetu za kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwa usafiri wa basi ni mambo mengi ambayo watu hukumbana nayo aidha kama dereva au abiria.
Hivyo nawakaribisha...
Pesa X jamn hawa watu wa mikopo hawana lugha nzuri wanatumia lugha chafu vitisho mtu anaambiwa atalipa tar 28 yote na apo imepita siku 2 sms za vitisho kama vyote.
Mimi naomba mamlaka husika hawa...
Nilimsikiliza Bwana Madaraka Nyerere akilalamika kwamba muda Huwa awanapiga simu na viongozi wa serikali kama DC, RC, DED, mawaziri n.k hawapokelei simu
Hadi analalamika wasanii kutumia jina la...
Hello guys, mimi ni mtanzania mwenye kipato cha chini, nimeona Vodacom M-pesa app kuna kipengere wameanzisha cha kununua bidhaa kwa kulipia taratibu TUNZA APP nikaona huenda ni jambo zuri maana...