Mungu kupitia Nabii Musa alitoa maelekezo kuhusu uchanganyaji wa mbengu ili kupata kiumbe kimoja.
Kizazi kiovu baadae walichanganya mbegu za wanyama tofauti wakatoa viumbe wa ajabu kina Godzila...
Ripoti mpya iliyotolewa na Tume ya Kimataifa ya Uchumi wa Maji GCEW, inasema kutochukuliwa hatua za kutosha za kumaliza tatizo la maji, kunaweza kusababisha zaidi ya nusu ya uzalishaji wa chakula...
Juzi usiku nilikuwa kijiweni kwangu nikitoa huduma kama kawaida, mara akaingia dada mmoja ambaye namfahamu akiwa ameambatana na wadada wengine ambao nao sio wageni pamoja na watoto wakiume wawili...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeendelea kujadili taarifa za Wizara ya Ardhi ambapo imepokea na kujadili taarifa ya Utendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya...
Wakuu, kuna kaproject naenda kufanya hivi karibuni huko Morogoro, nahitaji kujua ni maeneo gani yenye utulivu na usalama kwa mtu mwenye familia kuishi na yaliyo na maendeleo kwa maana ya makazi na...
Kampuni ya OYA inayotoa huduma za ukopeshaji wa fedha wamekuwa wakitenda uovu na udhalimu mwingi katika operation zake za kudai madeni.
Miingoni mwa udhalimu wanaoufanya, ni pamoja na kupiga...
Watu wengi wanaamini kwamba maisha yetu ya baadaye yapo mikononi mwa watoto wetu. Ndoto zao zitajenga dunia ambayo tutaishi kesho, na matendo yao, mawazo yao, na maadili yao yatajenga mwelekeo wa...
Ukisoma mada nyingi humu wanaume wengi wanalalamika kuhusu ndoa zao
Msije mkadhani wanawake ni wabaya lah
Wanawake wengi wanasulubika vibaya mno sema hatulalamiki.
Tumeumbwa kuvumilia
Pia...
Kuna hii mbinu ya kuwafuata wananchi majumbani kuwaandikisha kupiga kura kwenye chaguzi za serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 2024.
Ninajiuliza tu, kuandikisha wanafuatwa nyumbani. Siku ya...
Kuna mambo madogo tu yanatushinda kuyatatua, sio kwamba hatuwezi, hapana. Ila kuna dhana tofauti tulizonazo zinatujenga na zinaendelea kutujenga hivi tulivyo. Nikwambie tu, hebu futa maneno uoga...
Mnashindwa wapi kusoma saikolojia za watu.Yani kunapokuwa na matukio ya komunyo ya kwanza au kupaimara mnawakamua waumini michango hadi wanachukia dini.
Halafu siku ya tukio la komunyo bado tena...
Tulikabidhiwa jezi ya huu mchezo unaoitwa maisha, kabla hata hatujawa tayari kuingia uwanjani.
Wala hatukuwa na uhakika wa kwenda kubadilisha matokeo.
Ghafla tu, tukaambiwa baba amechoka, Mama...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kagera Nazir Karamagi amefikishwa katika baraza la ardhi la wilaya kwa kupora ardhi ya mwananchi katika kijiji cha Itahwa na kupanda mazao ya parachichi...
Juzi nimeagiza tshirts 6 za size za VVV (hizi sio size halisia)
Nikamwambia muuzaji hakikisha zote zinakuwa vile vile kama nilivyoelekeza, jamaa "ooh usijali boss kuwa na amani"
Kupokea mzigo...
Kwa dunia ya sasa haina haja ya kusubiri aje mwekezaji mkubwa kutoka nje ya nchi aje atuletee maendeleo tutabaki kuwa watumwa katika nchi yetu kila muwekezaji anakuja kwa lengo la kuchuma nazani...
Kwenye Maisha ni hatari sana kuamini wewe tu ndio uko sahihi.
Kuna muda sheria kali za dini zinakosesha watu kufurahia na kuishi kwa amani.
Wasabato mbali na kwamba wanatumia biblia ile ile ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.