Hii kitaalam huwa imekaaje?

Hii kitaalam huwa imekaaje?

real hustler

Senior Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
155
Reaction score
246
Nawasalimu popote mlipo
Tuje kwenye hoja
Nimejaribu kutafakari kitu

Mnaweza kuwa na watu mnafahamiana katika hizi harakati zetu za kusanga tonge🫰, gafla ikitokea mwana kutusua unaanza kuona kajieka karibu na usomaji wa vitabu ila mwanzoni hiyo lifestyle hakuwa nayo. Na sio mmoja au wawili.

Ni wengi, akitoboa (Hali ya kuacha kupiga story za ntakula nini Leo) Tu unaanza kumuona na vitabu pembeni.
Wakuu kuna siri gani hapo
 
Mafanikio mengi yapo kwenye maandishi mkuu
 
Back
Top Bottom