Hii barabara ya Kilwa kipande cha kushuka hapa Kokoto kuja daraja la Mzinga mpaka Kongowe imeshakuwa kero kubwa sana kwa wakazi wa huku maana foleni haziishi sababu barabara ni nyembamba kiasi...
WANU H. AMEIR - KUPATA ELIMU YA AFYA NI JAMBO MOJA, LAKINI MUHIMU SANA NI KUPIMA KUJUA AFYA YAKO
"Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) tunaunga mkono Serikali zote mbili, Serikali ya Mapinduzi...
Mbunge Edward Ole Lekaita Kisau, Mbunge wa Jimbo la Kiteto amesema kabla ya kutekelezwa kwa miradi aliyoileta Dkt. Samia Suluhu Hassan Kiteto kina mama walikuwa wakitoka nje kuchota maji saa 8...
1. Uza dawa za meno zenye fluoride, kuua jicho la maono.
2. Fanya sukari na junks food zipatikane kila mahali, wawe vibonge na wapumbavu
3. Wape burudani za bure na pombe ziwepo, kizazi cha...
Kesi inayomkabili 'Afande' Fatma Kigondo, anayeshtakiwa kwa kuratibu ubakaji na ulawiti wa kundi dhidi ya binti wa Yombo, Dovya jijini Dar es Salaam, imeendelea Oktoba 18, 2024, katika Mahakama ya...
Wakati tunakua wazazi wetu walikuwa haswa wakanimama walikuwa wanapenda kubandika vibango fulani
Utakuta vimjvinasomeka
1. "Yote utakayoyakuta kwenye nyumba hii yaache hapa hapa"
2. Kuacha kazi...
Kitabu cha mwanzo kinasema "si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanya nae".
Kwa maelezo hayo machache tu inaonesha ni kwa namna gani Mungu aliona mwanaume si chochote bila...
Binafsi nilipokuwa miaka 10 nilikuwa na wenzangu tunacheza mpira wa makaratasi na washkaji, pembeni ya ule uwanja kulikuwa na mwembe wenye matunda machache tu basi kuna jamaa alikwea juu ya ule...
Kiufupi hawa wapangaji wengine ni wajinga kupitiliza wasio heshimu imani za watu.
Nipo mkoani huko mjini kwenu dasilamu nimeacha kimjengo changu na kina wapangaji.
Masharti yangu ni kuwa...
Watu wengi wanajenga nyumba lakini hawafaidi. Nyumba inakuwa ya moto inabidi ashinde bar aje amechelewa.
Wengine tangu wajenge hawajawahi kuingia ndani ya hizo nyumba.
Mwingine anamaliza kujenga...
Salama?
Dah kila siku najifunza hapa duniani. NIMEAMINI MJINI NJOO NA AKILI TU, HATA USIPOBEBA NGUO UKIWA NA AKILI UTAZIPATIA MJINI.
Sasa basi kuna mzee mmoja niliunganishwa nae anisaidie ishu...
Ni ijumaa! Nzuri maridadi kabisa Mungu nasi tena
kumekuwa na Kasumba ya kuwapa fedha nyingi wanawake na watoto wetu kimsingi ikiwa tunatumia lile neno "hutaki wateseke kama wewe kwa hussle...
Kampuni ya META imewafukuza Wafanyakazi zaidi ya 24 ambao walibainika kutumia Fedha ziliwekwa kwenye Kuponi za Chakula wakiwa kazini na kununua Mahitaji mengine zikiwemo Sabuni za Kufulia na Dawa...
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 kuliwahi kuandaliwa shindano la wenye sura mbaya Tanzania kwa upande wa wanaume. Wanawake walikataa hivyo likaandaliwa la wanaume tu.
Washiriki walikuwa wengi lakini...
Inavyoonekana kunamadafa wamekaa mda mrefu sehemu moja hizi ofisi ushauri tu muwe mnawabadilisha vituo wawe na akili
Niliwahi.lalamika mwakajana hapa unakuta moo foleni anakuja mtu.mmija ama...
Kwanza namshukuru sana Mungu kwa neema yake nimekuwa miongoni mwa binadamu ambao wameanza maisha rasmi,kwa ile maana maisha yanaanza ukiwa na miaka 40,kwani niko katika 40's
Nimegundua au...
Bob Marley tangu afariki imepita miaka zaidi ya 40 lakini familia yake bado wanakula bata kupitia loyarities na JIna la baba yao. Michael Jackson family, Tupac family, Kennedy family pia ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.