Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Biashara huwa zinarithishwa kwa watoto hasa wa kiume wanaoendeleza kizazi lakini kwa wakristo hali ni tofauti, Baba akifa nusu ya mali zinaenda kwa mke ambae anaweza akawa hajui chochote kuhusu...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Licha ya kuwa Viongozi wengi wa Kiserikali wamekuwa mstari wa mbele katika kusisitiza usafi kwenye mazingira ya ofisini na hata kwenye makazi ya watu lakini upande mwingine wapo ambao huwa...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inaendelea kutekeleza wa Mpango mkakati wa miaka mitano 2024/25 – 2029/30 wa Anga za juu utakaoiwezesha Tanzania kurusha satelaiti. Amesema kuwa...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Kaka naomba unisaidie kunielezea matatizo yangu kwenye ule mtandao wenu wa jamii forums ulionisaodia kipindi kile, wakati huu nahitaji msaada sana Haya ni maneno ya binti ambaye anaitwa Rahma...
38 Reactions
143 Replies
10K Views
Ni kweli ukiwa na matatizo unakuwa na hali ya kitanga tanga sana ili upate msaada. Bawasili ni uvimbe unaotokea ktk njia za haja kubwa kutokana na kuvimba kwa mirija ya damu inaopeleka damu...
2 Reactions
8 Replies
619 Views
BIBLE'S CONSPIRACIES 1. MAMBO USIYOYAJUA KUHUSU BIBLIA ambayo yatakushangaza hata kama umekuwa Mkristo uliyapata kipaimara na kubatizwa. Namba 6 itakushangaza! Tafadhari USISOME kama hukupitia...
11 Reactions
82 Replies
5K Views
Ukiona watu wanasema million ni ngumu kuikamata huku wengine wanaidaka kwa mkupuo Yani like simple hivi. Waulize migodini, mabaharia, wazee wa kago, sema duh kuna watu wanapiga ela wewe na viten...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Hivi karibu baada ya kusambaa kwa video fupi mtandaoni ikimuonyesha sheikh aliekuwa akinadi mafuta na akidai kuwa ni mafuta ya upako. Hatimae mhadhiri wa kimataifa SHEIKH NUDREEN KISHK, amekuja...
8 Reactions
35 Replies
2K Views
Maisha ni sanaa na kuishi ni maigizo tu. Dunia hii tunapita nyie mlioko maofisini kama mnaweza saidieni watu wanaoomba Msaada kwenu.Ilikuwa hivi jamaa nilikutana nae miaka mitatu nyuma mwaka 2022...
22 Reactions
38 Replies
2K Views
Kwa kua sasa hivi kuna idadi kubwa ya id mfano kitambulisho cha NIDA, Kura, Passport, Leseni n.k na taarifa tunazotoa kwenye hizi taasisi zinafanana kila kitu yaani copy and paste hadi ukiwa na...
1 Reactions
5 Replies
469 Views
Takribani miaka 6 Sita Sasa tangu uangalizi wangu kwa binti wa majirani zetu, nampenda yule binti nayeye pia ananipenda pia kwao walizaliwa 6 lakini wa kiume mmoja binti Huyo Alifunga kizazi na...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Hivi Kwa utajiri wa Hawa jamaa wanawezaje kuishi Tanzania yaani mipesa kibao na umri umeshaenda baada watafute sehemu ya kuishi American au Europe wao kila siku wanakula vumbi la Tanzania na...
22 Reactions
236 Replies
6K Views
Leo kabinti kangu ka darasa la pili kamerudi kutoka shule. Akaniambia kwamba mwalimu amesema tumrekodi video akiwa anasimulia story kwa kiingereza halafu mwalimu atumiwe hiyo video. Akikosea...
17 Reactions
51 Replies
1K Views
Hakika ni jambo la aibu,dhihaka,ujinga na kukosa ustaarabu na wakati huo huo tukijiona jamii yenye ustaarabu na Elimu. Maeneo yenye mkusanyiko mkubwa wa watu,wenye kutafuta huduma au kupatiwa...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Hii tetesi itazaa taharuki kubwa sana, kwa vyanzo vya uhakika vitakapo sema ndio itakuwa taarifa rasmi. Iko hivi 👇 Ndizi Mbichi zikiwasili DSM zikiwa mikononi mwa wawekezaji wa biashara hio...
20 Reactions
126 Replies
7K Views
Kila Dakika system ina unatuma Sms Ya Uchaguzi Imekua kero. Mbona kama Hamjiamini Mshasema Watu Wame elewa. Wanaotaka watakuja na wasiotaka mtaona kimya wanaendelea na shughuli zao. Note...
4 Reactions
11 Replies
611 Views
Mimi Bibi Yenu, licha ya kuwa pensioner lakini najihangaisha kwa KAZI za mikono na talanta alizonipa Maanani. Bidhaa zangu nauzia mtanfaoni, hivyo huwa nabahatika kukutana na vimbwanga vya huko...
12 Reactions
30 Replies
2K Views
Kamishina wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi Nchini CP Awadhi Haji amesema kuwa mtazamo wa kudhani kwamba Jeshi la Polisi linakandamiza baadhi ya vyama vya siasa sio wakweli. "Wakati...
0 Reactions
8 Replies
869 Views
Kama umewahi kujiuliza ukifa unaenda wapi au inakuaje, hili ni swali ambalo linakosa majibu rasmi lakini wanasayansi wamejaribu kulifuatilia kwa ukaribu na kulifanyia utafiti kwa miaka mingi...
3 Reactions
3 Replies
576 Views
Back
Top Bottom