Tujikumbushe miaka ya zamani kidogo

Tujikumbushe miaka ya zamani kidogo

Bolotoba

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
4,545
Reaction score
10,426
Wakati tunakua wazazi wetu walikuwa haswa wakanimama walikuwa wanapenda kubandika vibango fulani

Utakuta vimjvinasomeka
1. "Yote utakayoyakuta kwenye nyumba hii yaache hapa hapa"

2. Kuacha kazi sio kazi kazi ni kupata kazi

3. Baba ni kichwa cha familia mama ni shingo ya familia

4. Mgeni njoo mwenyeji apone

5. "Mtoto mwerevu ni furaha kwa babaye lakini mtoto mdokozi mzigo wa mamaye"

6. Mwanamke ukipigwa kofi na mmeo Sema "asante"🤣

7."Kuchapiwa ni siri ya ndani"

8. "Utakula Jeuri yako"🤣usipokaza utakaziwa na usipojituma utatumwa

9. "Zitunze hela unazopata leo ipo siku zitakutunza"

Misemo mingine wahenga.
 
Misemo hiyo mingi ilipatikana kwenye kanga wavaazo akina mama,mikeka ya kukalia na kawa za kufunikia vyakula.Naamini akina mama wanaikumbuka mingi zaidi.
 
Yes nilikua natafta hii ilo Jina "kawa za kufunikia chakula" nilisahau nyumbani nivtunze hivi vtu vya zamani cha makumbusho kwa ajili ya wanangu na wajukuu "Kuna zile chemli, jiko la kerosene stove,, Pasi za mkaa, baiskeli Phoenix ili angalau wanangu wapate kushuhudia live Bila kusimuliwa

Jambo jema hilo.
 
Wakati tunakua wazazi wetu walikuwa haswa wakanimama walikuwa wanapenda kubandika vibango fulani

Utakuta vimjvinasomeka
1. "Yote utakayoyakuta kwenye nyumba hii yaache hapa hapa"

2. Kuacha kazi sio kazi kazi ni kupata kazi

3. Baba ni kichwa cha familia mama ni shingo ya familia

4. Mgeni njoo mwenyeji apone

5. "Mtoto mwerevu ni furaha kwa babaye lakini mtoto mdokozi mzigo wa mamaye"

6. Mwanamke ukipigwa kofi na mmeo Sema "asante"🤣

7."Kuchapiwa ni siri ya ndani"

8. "Utakula Jeuri yako"🤣usipokaza utakaziwa na usipojituma utatumwa

9. "Zitunze hela unazopata leo ipo siku zitakutunza"

Misemo mingine wahenga.
Piga hodi *2
 
Out of topic : Kuna rafiki yangu mmoja alikua anaitwa philomena,waharibu majina tulikua tunamuita filomena.
 
Wakati tunakua wazazi wetu walikuwa haswa wakanimama walikuwa wanapenda kubandika vibango fulani

Utakuta vimjvinasomeka
1. "Yote utakayoyakuta kwenye nyumba hii yaache hapa hapa"

2. Kuacha kazi sio kazi kazi ni kupata kazi

3. Baba ni kichwa cha familia mama ni shingo ya familia

4. Mgeni njoo mwenyeji apone

5. "Mtoto mwerevu ni furaha kwa babaye lakini mtoto mdokozi mzigo wa mamaye"

6. Mwanamke ukipigwa kofi na mmeo Sema "asante"🤣

7."Kuchapiwa ni siri ya ndani"

8. "Utakula Jeuri yako"🤣usipokaza utakaziwa na usipojituma utatumwa

9. "Zitunze hela unazopata leo ipo siku zitakutunza"

Misemo mingine wahenga.
hiyo namba 7 sio msemo wa wahenga ni msemo wa Dayamondi

Namba 8 haipo katika misemo ya wahenga
 
Back
Top Bottom