Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakili Edwin Mugambila, Mtendaji Mkuu wa Mtandao wa Kitaifa wa Kupinga Usafirishaji Haramu wa Binadamu, amesema: "Kwanini huyu Afande anayehusika kwanini hajashtakiwa? Tumefanya vikao sana na...
2 Reactions
42 Replies
3K Views
Najiuliza hasa ni nini kipo nyuma ya sayansi ya pesa na umri, naangalia na Kuona na naendelea kujiuliza Nini kipo nyuma hasa ya kupata mafanikio na umri. Vijana wengi Huwa wanaanza kutafuta pesa...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
KYELA. Mwalimu wa shule ya msingi Ngeleka iliyopo Halmashauri ya Busokelo mkoani Mbeya Juma Venance Mhanga, amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 30 jela, kulipa faini ya shilingi laki tano...
8 Reactions
67 Replies
4K Views
Mwalimu wa Shule ya Sekondari Naputa iliyopo Wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara, aliyetambulika kwa jina moja, Said, amehukumiwa kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na...
22 Reactions
189 Replies
30K Views
Hii sio good news ever. Labda huelewi. Kifungo cha maisha/Life sentence (L.S) haitawafundisha kitu hawa vijana. Kwanini nasema hivi. 1. L.S hawafanyi adhabu nje ya ngome ambazo ndio ngumu...
28 Reactions
218 Replies
9K Views
Habari wanajukwaa Lengo la uzi ni kutaka kila mwanajukwaa kufunguka kile kigumu anachopitia ili apate Suluhusho iwe Ugonjwa,mahusiano,changamoto ya kiuchumi,Elimu na jambo lolote ambalo unahis...
7 Reactions
57 Replies
4K Views
Jeshi la Polisi nchini, linawashikilia walimu 4 na mfanyabiashara mmoja, kwa tuhuma za kuwatapeli wananchi kwa kuwadanganya kuwekeza katika sarafu za kimtandao (cryptocurrency) na matokeo yake...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Shirika la Afya Duniani (WHO) limechapisha ripoti mpya kuhusu hali ya Kifua Kikuu (TB) ikifichua kwamba takriban watu milioni 8.2 waligunduliwa hivi karibuni kuwa TB mwaka wa 2023 - idadi ambayo...
0 Reactions
0 Replies
418 Views
Timu maalumu ya kupambana na makosa ya mtandao kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha pamoja na Mamlaka ya Mawasiliano TCRA wamefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 20 wakiwemo raia 04 wa...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
1. Ripoti za CAG zinasema kuna ubadhilifu katika mifuko hiyo, kujiingiza katika miradi ambayo ni non productive. 2. Kibaya zaidi wafanyakazi wanajikopesha mabilioni bila riba na hawarudishi. 3...
4 Reactions
3 Replies
738 Views
Zaidi ya mwaka sasa umepita, Tangu uwanja wa Mkapa ulipoanza kufungiwa mara kwa mara kwa ajili ya marekebisho na kupelekea baadhi ya mechi muhimu kuahirishwa kwa zaidi ya mwaka sasa. Kwa kipindi...
1 Reactions
7 Replies
529 Views
Kauli ya Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, inayoeleza umuhimu wa ushirikiano na serikali katika utoaji wa huduma za msaada wa kisheria, inathibitisha nafasi kubwa...
0 Reactions
4 Replies
847 Views
Taaluma ya sheria ni moja ya taaluma zenye hadhi ya juu sana na zenye umuhimu mkubwa sana katika jamii. Sasa hivi kuna hii kamata kamata ya madada poa ambao kiukweli wamezagaa sana mtaani na...
1 Reactions
6 Replies
593 Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi amesema hivi karibuni kuwa hakunakitazuia serikali ya mama Samia kufikisha watalii watalii milioni 5 ifikapo mwaka 2025. Soma...
0 Reactions
0 Replies
290 Views
Mtu kuchelewa ndege ni jambo la kawaida Afrika, kuchelewa kwenye Interview ni kitu cha kawaida, kuchelewa kazini pia. Lakini pia kuchelewa kupata huduma muhimu pia ni jambo la kawaida. Hili ni...
4 Reactions
17 Replies
711 Views
EBigambo Byaba Bingi Muno hahaaaa Masenior wenzangu, Nilikua kwenye pita pita zangu hapa Kaliua Eneo maarufu kama Isawima nikakutana na Malalamiko ya wananchi ambao wanalalamikia wanafunzi...
0 Reactions
2 Replies
310 Views
Siku hizi mnatangaza taarifa ya habari saa 12 asb,sio mbaya,ila msiwape kutangaza taarifa hizo watu wasiosomea kazi ya utangazaji,kwani wanaharibu hizo taarifa ya habari,wanameza mate...
0 Reactions
3 Replies
429 Views
Wanawake Wana mbinu nyingi sana za kukutesa. Akiwa na mimba tumelala vizuri kabisa bila changamoto yoyote Ile. Nashituka kutoka usingizini nashangaa kuona mwenzangu analia bila sababu. Nauliza...
21 Reactions
115 Replies
5K Views
Siku chache zilizopita rafiki yangu alinipigia simu akitaka nimshauri kama abaki dar au aende mkoani. Alikuwa njia panda kwa sababu amepata kazi dar na pia amepata kazi mkoani, kazi zote zina...
4 Reactions
32 Replies
6K Views
Back
Top Bottom