Inasikitisha sana!
1. Mtu "anatekwa" Mchana kweupe huku watu wakishangaa mithili ya nyumbu wa Serengeti?
2. Mtu anapiga kelele za kuomba msaada lakini hakuna hata anayejaribu "kuigiza" kusaidia...
Kigamboni (sasa ni wilaya) ni sehemu ya jiji la Dar es Salaam ambayo tofauti na maeneo mengine ilichelewa kuendelezwa kimiundombinu mpaka kufika miaka ya 90. Watu walichelea kuishi huko kutokana...
Wadau hamjamboni nyote?
Chema chajiuza kibaya chajitembeza walinena wahenga
Kwaya ya Kanisa la Waadvetista Wasabato kurasini dar es salaam imejizolea umaarufu mkubwa kutokana na umahiri mkubwa...
Nashauri serikali iondowe kodi kwenye peds na pampasi na zigawiwe bure kwenye shule zote za serikali na binafsi,pia hata kwa wenye mahitaji maalum.
Kwa mfano kuna kijana wa kiume jirani yangu...
Sisi watu wa Kanda ya Ziwa, hili somo tunalifundishwa tangu utotoni.
Unatembea na simu nne, wallet, kipegi, pafyumu, kondomu — lakini huna hata kisu!
Kwa mwanaume, silaha ni lazima. Kujihami...
Ujira kwa watoto bado upo, na hii inasababishwa na hali duni ya familia zao ambapo inabidi waingie nao mtaani kujitafutia riziki wakale wao na famila zao.
====================
Baadhi ya wanafunzi...
SERIKALI SIKIVU YA Rais Samia Suluhu Hassan
"Tunaomba ianze kuitambua Elimu ya Shahada ya Pili kwenye Utumishi wa umma kwa kuiwekea Salary scale"
Africa pote Masters degree inatambulika kasoro...
Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe kuboresha utoaji huduma wa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya liweze kutenda...
MMOJA wa askari wa bandari, Cornell Kufahaizuru aliyeshiriki operesheni ya kuzuia jaribio la wizi wa shaba na mafuta Bandari ya Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita, juzi ametekwa na watu...
Ungelikua ni wewe mkuu ungeenda ipi? kati ya hizi mbili
Mimi binafsi ningeenda hiyo private company kwa sababu
Najiamini naweza kufanya biashara.
Mara kibao huwa naona zinatoka kazi kama hizi...
Siku ya leo Novemba 13, 2024 Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa tamko kufuatia kifo cha Christina Kibiki, aliyekuwa Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilolo, mkoani...
TAARIFA KWA UMMA
UFAFANUZI WA 'CRANE' YA NEW VICTORIA HAPA KAZI TU Mwanza, Tanzania.
Kuna taarifa iliyochapishwa na mtandao wa kijamii ikieleza kuharibika kwa mtambo wa kubebea mizigo (crane) wa...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeshtushwa na video zinazozunguka mtandaoni zikionyesha jaribio la utekaji dhidi ya Ndugu Deogratius Tarimo, mfanyabiashara na mkazi wa Kibaha, mkoani...
Unapokuwa na kampani ya watu katika mazungumzo yenu,endapo utapigiwa simu basi usiongee na simu kwa mda mrefu
Unapoenda kumtembelea mtu, baada ya kitambo kidogo ukisikia mwenyeji wako anasema...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa mwaka 2015, Tanzania iliunga mkono Ajenda ya Mpango wa Kimataifa wa Usalama wa Afya na kuharakisha utekelezaji wa Sheria za...
Nilipitia maumivu makali ya kimwili na kihisia mwaka huu. Nilishangaa sana "kwa nini mimi?" na "kwa nini mtu yeyote?" Ni vigumu sana kupata imani au upendo kwa ulimwengu huu wakati maumivu yasiyo...
Wakuu,
Kuna hii Video inayosambaa inamuonyesha Padre akimpiga konzi msaidizi wake aliyeshika Mic wakati akifungisha ndoa, jambo lililowaacha wageni midomo wazi.
Tukio hilo limezua mjadala kuhusu...
Habari wapendwa polen na majukum ya Kila siku.
Jaman Mimi kama mwana familia naomba msaada kidogo wa kujua aina za ultrasound machines na bei zake.
Kuna Uzi niliuona ukizungumzia kuhusu kufungua...
Nimekuwa nikiwaza kwa mda mwingi je inakuaje mtu unakufa, mbona huyu amekufa mapema, mbona huyu kachelewa kufa.
Sometimes unaweza kuona ni kama unakufuru au ninakufuru kumhusu Mungu ila kiukweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.