Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Haiingii Akilini unaenda kupata Tiba ya Kiroho kwa Mtumishi wa Mungu halafu Yeye badala ya Kukuonea Huruma kama alivyokuwa Yesu Kristo anaanza Kukuambia kuwa ili Akuombee na Upone tatizo lako...
3 Reactions
4 Replies
541 Views
Nashauri tu kutokana na mwenendo mbaya kisiasa nchini, na matukio ya utekaji kama utapanga mambo na watu usiowajua siku wakitaka miadi toka na silaha na pia andaa watu wa kukufuatilia. Ikitokea...
3 Reactions
3 Replies
347 Views
Mgonjwa Akiwa ICU Huhitaji maombi. Tusichoke kuwaombea wale wote wanaotamani kuwa wanasiasa. Mwanasiasa wa ukweli ana bidii ya kusoma ili kujua misingi ya nchi, kisha kwa imani yake kumuomba...
0 Reactions
1 Replies
392 Views
Hivi wakuu ni muhimu namna gani mtu kufanya mazoezi ya kujiweka fit kimwili na kiakili. Sasa kwanini imejengeka kifikra kuwa mazoezi mfano ya karate, judo, kuwa eti ni mazoezi ya kigaidi, kuna...
0 Reactions
0 Replies
283 Views
Tunadharau malalamiko ya mafukara walio wanyonge, kisha tunawekea watoa rushwa kupata vyeo na kulazimisha mafukara wacheke wakubali waovu kuwa viongozi wao. Kisha, tunatoka hadharani kusema ya...
0 Reactions
1 Replies
376 Views
Machawa taratibu wanaanza kupatiwa nguvu na baadhi ya viongozi wakubwa waovu. Baada ya muda, tutashuhudia machawa ikiropokwa hovyo bila kujali ilani, katiba ya nchi, katiba ya CCM, kanuni...
0 Reactions
0 Replies
282 Views
Wakuu, Jeshi la polisi mkoa wa Mwanza linawashikilia jumla ya watu 91 wakituhumiwa kuhusika katika matukio mbalimbali ya kihalifu yakiwemo ya ulawiti na ubakaji, wizi na wanawake wanaojihusisha...
0 Reactions
7 Replies
691 Views
SIYO DAWA ZOTE ZIPO KWENYE MADUKA YA MADAWA 🙋‍♀️🙋‍♀️ 1.Kufunga ni dawa nzuri. 2.Kufanya mazoezi ni dawa. 3.Kicheko ni dawa. 4.Kula vyakula vya asili ni dawa. 5.Mboga mboga na matunda ni dawa...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Wakuu naomba nijuzeni utaratibu wa kupata lipa namba ya biashara Jee ni ipi nzuri kati ya Lipa namba ya voda, tigo au airtel?Namaanisha ambayo ndo the best. Jee gharama za lipa ni shilingi...
3 Reactions
20 Replies
11K Views
Anaitwa NASSORO IDDY IGALAWA ni dereva amepatwa na umauti leo maeneo ya mbangamawe alikuwa na gari NOAH amby bado haijasajiliwa lakini documents zinaonyesha alikuwa anapeleka gari msumbiji...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Tuliowahi kupitia jandoni, tohara, mafunzo na changamoto zake tukumbushane enzi zako unakumbuka nini? Mimi ni mmoja wa vijana tulipotia jandoni nakumbuka enzi hizo Kilimanjaro hususan sisi...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Safari ya Maisha ya Bahati Katika kijiji kidogo cha Kijiji cha Amani, kulikuwa na msichana mdogo aitwaye Bahati. Bahati alizaliwa na ualbino, hali ambayo ilimfanya awe tofauti na watoto wengine...
2 Reactions
2 Replies
348 Views
Kufuatia sakata la Mfanyabiashara Deogratius Tarimo kunusurika kutekwa na watu wasiojulikana, Wakili wa kujitegemea, Jebra Kambole ameutumia ukurasa wake wa X kuukumbusha umma wa Watanzania sheria...
3 Reactions
10 Replies
809 Views
Mimi ni Mkazi wa Arusha, nimekuwa Mdau wa muda mrefu wa platform yetu hii ya JamiiForums kwa muda mrefu, kero yangu mimi ni kuhusu Daladala kukatisha ruti na kuongeza nauli kinyume cha Sheria...
0 Reactions
3 Replies
870 Views
Changamoto ya upatikanaji wa maji katika Kijiji cha Oltepes kilichopo Kata ya Orbomba, wilayani Longido huwalazimu wasichana na wanawake wa eneo hilo kutumia siagi ya ng’ombe ili kudhibiti damu ya...
3 Reactions
42 Replies
2K Views
Moderator: naomba Uzi huu sio wa uache uwe huru na ujitegemee wenyewe lengo ni kujifunza Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Kisiasa, kiuchumi, kijamii Karibuni Muwe na...
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Kuna wasiaminini , walisema Mungu haonekani, hasikilikani, hupati hisia ya harufu yake, wala hisia ya aina yoyote ya uwepo waje . Kwa hivyo hakuna Mungu. Jibu alilojibiwa Jee hayupo au humjui...
0 Reactions
0 Replies
431 Views
Vita si jambo la kushabikia sana, lakini nchi kama Urusi, Iran, Korea Kaskazini, na China zinaonekana kushabikia vita. Wanafikiri pengine ni wao pekee wenye nguvu kubwa za kijeshi na silaha za...
2 Reactions
10 Replies
695 Views
Wanabodi Japo hili ni Jukwaa la Siasa, unapozumgumzia mambo ya fedha, wengi wanadhani fedha ni uchumi tuu, kumbe sio kweli, fedha ni siasa, fedha ni uchumi, fedha ni jamii, fedha ndio kila kitu...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
Mabinti wengi sasa wanejiajiri kutingisha makalio TikTok na Instagram huku wakionyesha sehemu za kwa vinguo vyao vya uchiuchi. Yote hii ni effects of poverty. Umaskini wa kichwani plus umaskini...
6 Reactions
20 Replies
980 Views
Back
Top Bottom