Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

NA. MWANDISHI WETU – BAKU, AZERBAIJAN. TANZANIA imeendelea kutolewa mfano wa kuwa na Kituo cha Taifa cha Operesheni na Mawasiliano ya Dharura (National Emergency Operation and Communication...
0 Reactions
2 Replies
337 Views
Tofauti ya Matoleo na Sadaka na Utoaji Wake Kumekuwa na mijadala mbalimbali kuhusu neno sadaka. Wapo wanaoita sadaka na wapo wanaotumia neno matoleo. Matoleo ni neno la ujumla, linalomaanisha...
1 Reactions
0 Replies
714 Views
Wanamuziki waliofungwa kwa kosa la kubaka watoto na kisha kusamehewa na rais Magufuli, Nguza Viking (Babu Seya) na Mwanaye Johnson Nguza (Papii Kocha) wamesema wanatarajia kurudi nchini kwao Kongo...
2 Reactions
77 Replies
11K Views
Habari ndugu zangu, namalizia malizia msiba soon nitarejea tena ukumbini tuendelee kuhabarishana na kuelimishana apa na pale🙏🏽 Shukran sana 🙏🏽 Kwa wale wote mlio kua pamoja NAMI katika kipindi...
1 Reactions
3 Replies
374 Views
Habari wadau ni utaratibu upi unatumika kuwapata Hawa watu( maafisa usalama katika ngazi mbalimbali) Naihitaji hii kazi kwa namna yoyote ile na najua nitaitendea kazi kisawasawa Mwenye kujua...
1 Reactions
11 Replies
982 Views
Kwa wakristo angalau watakuwa na kazi nyepesi kuliko waislam katika hili. Mungu ni Mungu wa binadamu wote. Ili umuelewe vizuri na umfaidi inabidi utoe uarabu na uzungu kwenye Biblia na Quran ndio...
4 Reactions
8 Replies
646 Views
Sativa alipotekwa, "alipelekwa" kwanza kituo cha Polisi Osterbay na kisha baadaye kupatikana "mikoani" Watekaji waliojaribu kumteka Deogratius Tarimo, walidai wao ni Askari kutoka Osterbay! Kwa...
6 Reactions
8 Replies
519 Views
Huyu binti anayejiita Catherine Kahabi ni nani? Ametoka wapi? Nimemuona mara kadhaa akiwa na Harrison Mwakyembe na anaonekana ni mtu mwenye jazba sana, anafoka na kutetema kwa fujo. Mpaka sasa...
5 Reactions
34 Replies
4K Views
Anonymous
Wilaya ya Kasulu Vijijini, Kata ya Rungwe mpya, Vijana waliopewa jukumu la kufanya survey na wanaofunga Umeme wanatengeneza mazingira ya Rushwa Nilifanyiwa usajili wa Meter, taarifa zangu...
0 Reactions
1 Replies
545 Views
Anonymous
Kumekuwa na ukiukwaji wa sheria za Mipango Mji katika mji mdogo wa Bomang'ombe Wilaya ya Hai, mkoa wa kilimanjaro. Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Mazingira wakishirikiana na ofisi ya biashara na...
0 Reactions
2 Replies
319 Views
Nikiangalia ratiba ya mazishi ya poti Mafuru, inaonyesha atazikiwa Dar. Kwa kumbukumbu zangu huyu ni mtu wa mkoa wa Mara huko, na kawaida ya watu wa Mara huwa hawazikiwi nje ya mkoa wao. Sasa...
3 Reactions
72 Replies
8K Views
naona ccm wilaya washampa mtu kipande hapo biafra kinondoni mtu awake yard Kiwanja ndiyo kinaondoka hivyo... hivi nyie serikali+ccm mnataka watu,watoto wakacheze na wakampumzike wapi maana maeneo...
4 Reactions
4 Replies
710 Views
Ndugu wanajamvi leo asubuhi ya tarehe 5 nikiwa nimesindikiza abiria wangu anaesafiri kwenda Dar kwa kutumia basi la Dar Lux toka Mwanza nimeshuhudia mabasi yote mawili yakiwa na kasoro ambazo...
18 Reactions
669 Replies
104K Views
Habari za mchana, Maisha ya uswahili sio poa poa kama hujayazoea unaweza pata shida sana. Kuna kipindi nilienda kwa Azizi Ally kumsalimia mtu huko sasa kufika pale tunapiga story gafla kaingia...
30 Reactions
288 Replies
28K Views
Nilikuwa nikifikiri pingu zinapatikana Polisi tu, lakini kumbe hata "watu wengine" wanaweza kuwa nazo! "Watekaji" waliomteka marehemu Ally Kibao na hatimaye "kumpoteza", walikuwa na pingu. Lakini...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) Ramadhani Bukini leo ametembelea Ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Comoro ambapo amefanya mazungumzo na Maafisa Ubalozini hapo wakiongozwa...
0 Reactions
0 Replies
319 Views
Wakuu kuna jamaa anaitwa amos nyanda ni nani hasa? Jamaa ana madini sana aisee na kati vijana ambao miaka kadhaa watafika mbali sana. Mshikaji yupo vizuri sana kule X anatoa madini sana ya...
0 Reactions
6 Replies
693 Views
Huku kuna vibaka na wahuni aisee! Ukiwa mgeni hujulikani unaweza ukakabwa hata mbele ya wamama wakaanga sambusa na wakabaji wasifanywe kitu chochote. Kuna sehemu ya kuizidi Kiwalani kwa vibaka...
5 Reactions
8 Replies
725 Views
Kwa upande wa Usafiri wa Mabasi nitajikita zaidi Nyanda za Juu Kusini ambako Nina uzoefu Nako na nimeona Kuna uhitaji wa usafiri. (A).Routes Kutoka Mbeya 1.Mbeya-Bukoba via Kahama...
7 Reactions
57 Replies
4K Views
Wakuu, kuna kisa nimekikumbuka kwamwe sitokisahau nikaone niweke hapa jukwaani ili tuweze kushare safari kutoka mkoa kwa mkoa ambayo huwezi isahau. Nakumbuka kipindi nipo chuo mwaka wa pili...
6 Reactions
170 Replies
25K Views
Back
Top Bottom