Kwa upande wa Usafiri wa Mabasi nitajikita zaidi Nyanda za Juu Kusini ambako Nina uzoefu Nako na nimeona Kuna uhitaji wa usafiri.
(A).Routes Kutoka Mbeya
1.Mbeya-Bukoba via Kahama...
Wakuu, kuna kisa nimekikumbuka kwamwe sitokisahau nikaone niweke hapa jukwaani ili tuweze kushare safari kutoka mkoa kwa mkoa ambayo huwezi isahau. Nakumbuka kipindi nipo chuo mwaka wa pili...
Kupitia jukwaa hili naomba, kuifahamisha Serikali...na isijifanye hailioni hili...
BAKWATA ni dhehebu la TWARIQA, miongoni mwa madhehebu tu kama vile lilivyo, HIZB TAHRIIR, TABLIIGH, SALAFY...
Kamishna wa Kodi za ndani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Alfred Mregi (aliyemwakilisha Kamishna Mkuu wa TRA, Yussuph Mwenda), akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Mwaka wa Kodi wa Kampuni...
Kwa mtu ambaye tayari ni muajiriwa, na anataka kusoma degree nyingine, je aanze na uhasibu then CPA ndio afanyiwe recategorization, au haiwezekani kusoma CPA bila kua na degree ya uhasibu? Kama...
Ni pale unapo kua masikini ndo utaubiliwa kwamba lazime uwe na mke mojo na hakuna kutengana hadi kifo, kwasbabu mmekua mwili moja Mungu amewaunganisha hamna wakuwatengenisha isipo kua kifo tu...
Wakuu kuna mahali nadai senti zangu sasa asubuhi nilitaarifiwa kwamba wametuma muamala kutoka akaunti yao ya CRDB kuja akaunti yangu ya NBC. Nimepita mchana kwa wakala pesa haijaingia. Nikapiga...
Binafsi mimi siyo mhaya wala mchaga ila nimeona nyuzi nyingi sana wanakosoana na kutaniana. Jambo la kushangaza zaidi hata kama uzi unahusu mambo mengine akitangulia mhaya kutoa maoni yake ujue...
WAZIRI MHAGAMA: TUTAENDELEA KUSHIRIKIANA KATIKA SEKTA YA AFYA
Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama Novemba 13, 2024 amekutana na Mwakilishi mkazi wa Shirika la Afya Duniani (World Health...
Yeeeerrrrreeeeh!
Yani inasikitisha sana hii trend siku hizi wanaume tumebaki wachache sana.
Mwanaume unatakiwa kudhibiti hisia na uwoga.
Unakuwa Imara na thabiti kwa kila aina ya changamoto...
ARUSHA
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana(Mb) ameipongeza Menejimenti na Watumishi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA),kwa kazi nzuri ya uhifadhi pamoja na...
Wanao ahidi kukuamsha watakuchelewesha makusudi halafu waseme walipitiwa😊
1. Jifunze kuamka bila kushikwa mkono
2. Jifunze kutembea hata kama una usafiri.
3. Jifunze kukaa chini hata kama una...
Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wameandaa tuzo za umahiri kwa waandishi wa habari Watanzania zinazojulikana kwa jina la...
Mtandano wa vikundi vya wakulima na Wafugaji Mkoa wa Arusha (MVIWAARUSHA), Waandaa tuzo za waandishi wa habari kwenye mfumo endelevu wa chakula na kilimo ikolojia, zenye lengo la kutambua na...
Shalom,
Jukwaa mnisamehe na fuatilia kwa wana kilwa masoko mtapata ukweli wote.
Ndugu wanajamii na watanzania kwa ujumla, kipekee wana kilwa masoko, ujumbe umfikie Madam Lilian wa Kilwa Beach...
Habari Wanajamii,
Natafuta kampuni nzuri nataka kusafirisha kiparcel changu kije Tanzania nataka kampuni iliyonyooka isiyo na longolongo, maana Kuna kampuni mbili nlikwishatumia zilinilet down...
Wakubwa, moja ya malengo ya kurijenga bwawa ni ili tupateamo umeme wa bei nafuu na ahadi irikua ni umeme kushuka.
Mradi ushaanza kazi vipi tutalajie umeme kushuka lin? Kiukweri kuna haja ili...
Kwa mujibu wa SGR kutoka Dar kwenda Mwanza na kigoma ni saa 7 tu
Kwa mujibu wa reli yetu kwenda Mwanza na kigoma itagharimu saa 7 tu au saa 8 kizidi sana masaa 9
Maana treni si rinatembea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.