Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimekuwa nikiota ndoto nikiwa napaa na kuelea angani mara nyingi na kurudi chini, lakini katika mawazo yangu ningetamani niendelee kupaa tena, ni ndoto nzuri kuiota,lakini sijuwi inamaanisha nini...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna baadhi ya matajiri duniani mfano George Soros na Bill Gates huwa wanatuhumiwa sana kuwa puppet masters wakiwaendesha wanasiasa kama vikaragosi vyao na kuwafanya watimize zinazodaiwa kuwa na...
0 Reactions
0 Replies
382 Views
Leo, taifa letu limepigwa na pigo kubwa na tukio la kusikitisha la kuanguka kwa ghorofa katika eneo la Kariakoo, Dar es Salaam. Tukio hili baya limeacha alama ya majonzi na huzuni mioyoni mwetu...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Mmoja Kati ya vijana mashujaa katika uokoaji kwenye ajali ya ghorofa iliyoporomoka, Nassoro amesema jana kabla ya kuangukiwa na tofali mkononi ambalo lilikatisha harakati zake alifanikiwa kuokoa...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Hivi ni lazima ujilazimishe kuposti kitu Kila siku bwashee?
1 Reactions
12 Replies
528 Views
Suala la Watoto wadogo kukumbana na changamoto mbalimbali za kikatili kwenye taasisi za elimu limekuwa ni jambo ambalo linajitokeza mara kwa mara sehemu tofauti. Wadau wa sekta tofauti nao...
2 Reactions
2 Replies
501 Views
Mwanachama wa JamiiForums, aliandika kuhusu kinachondelea katika Shule ya Mandimu kuwa kuna Mwanafunzi ambaye anawadhalilisha Wanafunzi ikiwemo kuwapa adhabu kali kiasi cha kusababisha wengine...
2 Reactions
3 Replies
648 Views
HIvi karibuni katika hekaheka za kutafuta mashamba kwa ajili ya msimu ujao wa kilimo nilifika katika kijiji kimoja kinaitwa Mandimu kilichopo Kata ya Mungaa, Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida...
19 Reactions
114 Replies
7K Views
Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu \ Kidole kimoja hakivunji chawa JAMHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA (THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA) Huwa Najiuliza je, Muungano wetu TANZANIA ni kweli...
3 Reactions
2 Replies
323 Views
Waziri wa Maji na Mbunge wa Pangani, Jumaa Aweso, ameungana na waumini wa dini ya Kiislamu katika hafla ya Maulid ya Mtume iliyofanyika kijijini Kwa Mndolwa, wilayani Korogwe, mkoani Tanga. Hafla...
0 Reactions
3 Replies
431 Views
Nilipata nafasi ya kutembelea Soko la Makangarawe lililoko Buza, soko ambalo kwa nje linaonekana limejengwa kisasa, lakini hali ndani inasikitisha na kuzua maswali mengi. Soko la Kisasa, Lakini...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Hili ni jambo ambalo kama mimi ningekuwa kiongozi basi ningelivalia njuga na kulitatua haraka. Majanga yapo na iko siku yatatokea tu, Kujiandaa siyo Uchuro. Bajeti ya Nchi imeegemea sana kwenye...
17 Reactions
126 Replies
3K Views
Sijui inflation rates, sijui GDP, sijui unemployment rates, sijui exchange rates, hayo yote they mean katika uhalisia wa maisha ya ukweli yaliyopo mtaani. Mara nyingi hizi rates zinakuwa...
2 Reactions
4 Replies
336 Views
Siku nyingine jengo likianguka na watu kunaswa kwenye underground, njia rahisi ya kuwatoa kwa haraka ni kuchimba shimo pembeni ya jengo (barabarani), kisha lilishafika kina cha usawa wa...
12 Reactions
23 Replies
1K Views
Salaam, Shalom!! HAKIKA Donald Trump ni mtumishi wa Mungu aliye juu, Hivi Leo ametangaza vita na Taasisi zote zinazojuhusisha na kubadili JINSIA Kwa wamarekani akidai hii ni kinyume na mapenzi...
1 Reactions
2 Replies
534 Views
Ninasikitishwa sana na waandishi ambao hawana weledi..badala ya kuhabarisha umma wao wanatoa maoni yao. Unaposhauri kupelekwa kwa vyoo mjongeo eneo la kariakoo sisi wataalamu tunakuona ni kituko...
1 Reactions
3 Replies
380 Views
Nassor Athuman akizungumza kile alichokishuhudia baada ya kutoka eneo ambalo jengo limeanguka Kariakoo, Dar es Salaam. Nassor amesema ameshuhudia watu 10 hadi 15 akiwa chini bila ya kuweza...
1 Reactions
0 Replies
518 Views
WANAFUNZI WA KICHAWI WANAPOKUWA INTERNSHIP "FIELD" AU KWENYE MAFUNZO KWA VITENDO. Anaandika, Robert Heriel Baada ya kupokea kozi fupifupi au ndefu katika taaluma ya Uchawi na ulozi ni muhimu...
9 Reactions
46 Replies
5K Views
Maana mpaka saivi sijaona kiashiria cha uhakika kwamba .maisha yetu siyo ya kibahati bahati tu . Hamna kitu ambacho tuna uhakika nacho ( kuna vitu wanasemaga uhakika ila na vyenyewe ni bahati tu*
1 Reactions
5 Replies
395 Views
Back
Top Bottom