RC mkoa wa Dar es Salaam na wahariri wa vyombo vya habari wanazungumza muda huu.
Tukio limetokea na amekiri kuwa ni kweli limetokea lakini dhana wakati linatokea haikuwa kama ilivyochukuliwa...
1. Heshimu na Mthamini kila Mtu Bila Upendeleo
Tunaona namna gani Tukio la kariakoo lilipotokea waliosaidia wenzao ni wale watu wa kawaida kabisa wa maisha ya kawaida na wala si matajiri au watu...
Ni kupitia Apps za mikopo mtandaoni.
Nimekuja na strategies maalum sana kwa hizi kausha damu za Online
Mbinu nitakazotumia
1. Nimesajili Simcard Ya Vodacom maalum kwa ajili ya kukopea tu.
2...
Kama kila siku unafanya Kitu Fulani na nafsi inakuwa very smart kukifanya Kitu hiko
Basi siku ukiona nafsi IPO tofauti na matakwa yako jifunze kutiii
Mungu hawezi kushuka akakwambia Leo sehemu...
Rais Samia amesikitishwa na ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa Kariakoo, Mkoani wa Dar es Salaam iliyotokea asubuhi ya leo Novemba 16.
Pia, Soma: Ghorofa limeporomoka Kariakoo asubuhi ya...
Naandika uzi huu kwasababu naona watu wakilipukwa kwa furaha kujiandaa kutumia Starlink, internet yenye kasi, isiyo na kikomo, gharama ndogo na inashika mpaka maporini kama kingamuzi cha dstv /...
Ukomavu ni pale ambapo hauwalazimishi watu kukuchagua wewe
Kupanda ngazi moja katika mafanikio ni bora kuliko kutofanikiwa kabisa
Weka mkazo kwenye mchakato wa mafanikio na sio mafanio yenyewe...
Kiukweli kilichotekea jana kariakoo msukumo wangu wa uongozi umeongezeka mara dufu nahisi au ndiyo ukweli viongozi wengi wa Afrika wapo kwa ajili ya maisha yao na si Ku dedicated maisha yao kwa...
Pole kwa waathirika.
Moja kwa moja kwenye hoja.
Mwaka 1986 pale Urusi kulitokea janga kubwa la kinu cha nyuklia cha Chernobyl kulipuka.
Kutokana na uhaba wa wataaalamu na nguvu kazi wachimbaji...
Kuna umuhimu mkubwa wa kuhusisha kampuni kama Barrick Gold au nyingine za uchimbaji madini ambazo zina vifaa vya kisasa na utaalam wa kushughulikia shughuli za kufukua vifusi kwa haraka na kwa...
Trump amemchagua afisa habari wa ikulu ya Marekani kwa muhula mpya unaokuja. Ni afisa kijana na siyo mara ya kwanza kwa nafasi yake!
Angalia umri wake pamoja na elimu yake, hatishi sana kielimu...
Habari wadau, wamiliki, watumiaji na wasimamizi wote katika sekta ya ujenzi.
Kwanza nitoe pole kwa wahanga waliokutwa na jambo zito la kuangukiwa na ghorofa kariakoo!
Naomba kutoa machache...
Huyu mmiliki wa hilo jengo lililoporomoka hapo kariakoo ni nani mpaka anafichwa hivyo?
Naambiwa na mtu mzito (kigogo)
Tamaa yake ya kutaka kuongeza eneo chini ya ghorofa imekula maisha ya watu...
Kila Novemba 17, Siku ya Mtoto Njiti huadhimishwa Duniani ili kuongeza uelewa na kupaza sauti kuhusu changamoto zinazohusiana na suala hilo
Mtoto njiti huzaliwa kabla ya wiki 37 za Ujauzito...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Deogratius Ndejembi amewaomba wahitimu wa Chuo Kikuu Katoliki Mbeya (CUoM) kuitumia vema elimu walioipata kwa maslahi yao na Taifa kwa ujumla...
Kutokana na kuwa jengo kwa ujumla lipo katika hali ya hatari sana, hasa kutokana na uwezekano wa kuweza kuporomoka na kuleta maafa, Nawashauri waje nje kwenye mlango mkuu wa jengo, wachimbe Tundu...
Leo hayati Mafuru aliagwa rasmi na kiongozi wa kuaga alikuwa Rais Samia Suluhu Hassan.
Ukigeuka huku kuna Joseph Kusaga, ukitazama kule kuna GSM, ukishangaa shangaa kuna Mawaziri, ukiinuka kidogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.