Sitokua na maneno mengi, ila pamoja heshima zenu kuzingatiwa , nitambue wana jf popote walipo kila mmoja kwa imani yake , Mungu akawe juu yenu.
Poleni na janga la ghorofa Kariakoo ambalo...
Jiji la Dodoma linaendeshwaje katika upande wa utunzaji wa mazingira.
Hali ilivyo naona kabisa kuna uwezekano wa kuibuka kwa magonjwa ya kuambukiza ikiwemo Kipindupindu kutokana na mfumo wa maji...
Nimegundua sasa ni kwanini watu wananunua viwanja kisha wanaendelea kutumia hati zenye majina ya watu wengine bila kubadilisha majina.
1.) Hivi inakuwaje mtu anunue kiwanja milioni 50 kisha...
Pimping - Kupata fedha kwa njia ya kuwadalalisha wanawake watumike kingono
Kumekuwa na michezo michafu inafanyika mabinti wa mikoa hiyo Songida, Manyara na Dodoma wanaitwa kuja kwenye majiji...
Katika eneo ambalo linaendana huduma masaa 24 basi Mbagala Zakhiem pale ni kiboko sijawahi kuona,
Nilishawahi kutokea Mtwara nikasimama pale saa 9 usiku, nikapata.mchicha fresh,samaki...
USHAURI KWA WATU WOTE WALIOAJIRIWA:
1. Jenga nyumba mapema. Iwe kijijini kwenu au mjini. Kujenga nyumba ukiwa na miaka 50 sio mafanikio. Usizoee nyumba za serikali. Faraja hii ni hatari sana...
Jamani tuacheni shobo (Ushauri na si kwa ubaya).
Kama tunakutwa na janga, acha tupambane nalo, tuone wapi tumekosea na tujirekebishe. Haya mambo mengine ya kutaka watu wakuposti, wala hayasaidii...
Yaani unapanda chuma hadi unasikia raha ndani kuna A/C, USB port, azam TV na bus zao kwa kweli nyingi au zote ni mpya na nzuri na safi.
Ukija kwenye jambo la mwisho zuri zaidi kwa sisi wenye...
Pumzika mpambanaji Honorath Godfrey Makoi ulikuwa na ndoto nyingi sana.
Msiba uko nyumbani kwake Swaswa.
Alikuwa mmiliki wa Bar tatu maarufu jijini Dodoma.
1. Chako ni Chako
2. GM Sport & Bar...
Nimepita katika pitapita zangu mitandaoni, pale mjini Instagram nakutana na page inayoitwa @samia.app nikawa natazama ajali ya kariakoo ambayo bwana Alikiba alikuwa anahojiwa na page hiyo ya...
Wakuu Bwana ni mwema!!
Maandiko yanatuambia ya kuwa👇👇Mwanzo 11:1-7 (KJV) Nchi yote ilikuwa na lugha moja na usemi mmoja.
Ikawa watu waliposafiri pande za mashariki waliona nchi tambarare katika...
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo anayeshughulikia Ushirika na Umwagiliaji, Dk. Suleiman Serera serikali haitamfumbia macho yeyote atakayechezea Sekta ya Mkonge kwa namna yoyote kwani sekta...
Idadi ya watu kuongezeka inapelekea kukutana na kashikashi zitokanazo na Joto la Dar kwa sababu linapunguza NGUVU za KIUME kwa maana ya kukosesha hamu ya kufanya mapenzi na hivyo kupelekea tendo...
Mazingira ya choo kwa ajili ya Abiria kwa Wanawake katika Kivuko upande wa Magogoni hayana privacy’ na pia kuna muda hakuna usalama kwa watumiaji hasa wakati wa Usiku.
Kero ya kwanza, wakati wa...
Moja ya vitu vya kijinga kabisa mwanaume anaweza kufanya, ni kutumia pesa ili kumvutia mwanamke.
Matumizi yako ni kiherehere kitakachosahaulika dakika chache baada ya senti zako kukauka. Badala...
Naweza kusema TANESCO hamna uzalendo kabisa kwanini mnakata UMEME kwenye tukio kubwa la kitaifa kama Hilo.
Meneja TANESCO SHINYANGA mbona hana uzalendo.
Ni aibu kubwa sana.
Mpaka mjirekebishe ndiyo nitaacha kuwasakama.
Halmashauri ya Jiji la Mbeya kama inawezekena badilisheni mfumo wa kukusanya taka au tafuteni kampuni nyingine ya kukusanya taka.
Hawa JKT wamefeli...
Palikuwepo Kanisa la TAG pale Msimbazi roundabout, sijajua lilikoishia ila Sasa Kuna Flemu za maduka
Labda ndio sababu Kariakoo Shetani anatamba tu kwa sababu Imeandikwa " Watu wangu wanaangamia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.