Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nilikuwa sina internet kwa muda mrefu, naomba kujuzwa kuhusu hawa vijana waliopotea mwanzo wa mwaka huu kama walipatikana? Pia, soma...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Ally Kiba Awasili Kariakoo @ Wasanii tujifunze kitu kwa huyu mkongwe kwenda kutoa msaada Na siyo Kutupigia Kelele kwenye mitandao😭 Ukiwa kwako Ukiomboleza Chumbani kwako😭 Tufanye Vitendo 😭😭😭
7 Reactions
53 Replies
2K Views
Hii ilinitokea kipindi napanga , nilikuwa nawasha taa moja usiku wa Saa nne Ila nilikuwa nalazimishwa kulipa bill sawa na wanaotumia TV, feni, radio pasi ya umeme na fridge na wengine walikuwa...
7 Reactions
47 Replies
2K Views
Watu wa magari au wenye uelewa na hizi namba za magari mtueleweshe kwanini hiyo herufi huwa haipo kwenye mtiririko wa usajili au plate number? Nimezoea kuona magari yenye namba za usajili kama T...
2 Reactions
7 Replies
846 Views
𝗦𝗜𝗥𝗜 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗜𝗦𝗛𝗔 Maisha yanaweza kubadilika kwa sekunde tu, kutoka kupambania rizki mpaka kupambania uhai yaani hakuna ajuaye nyakati hizi maana kila kitu ni ndani ya dakika tu kinachukua sura...
12 Reactions
31 Replies
2K Views
Maji haya yalifika kwa wingi mkoani kwetu Geita mwaka 2019. Sasa naomba kufahamu kwa matumizi ya kupikia yako salama kweli? 👉Na hayo mapovu meupe ni chemical gani ambayo imetumika? Maana...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Kumekuwepo utaratibu wa kusitisha uvuvi ziwa Victoria Kwa kipindi sasa. Kwamba wanasitisha uvuvi kwa muda kama kulipa likizo ziwa na samaki ili wazaliane Kwa kipindi hicho. Lakini tija ni ndogo...
5 Reactions
18 Replies
997 Views
Wakati nikibukua pale jalalani, ilitokea sintofahamu kwamba jengo la ghorofa la Hall Two, linainama/linatitia kwa kuelekea upande wa nyuma kwa taratibu sana. Unaweza kusoma UDSM hall 2 na 5 zenye...
16 Reactions
62 Replies
4K Views
BALOZI wa Ujerumani Nchini Tanzania, Thomas Terstegen anatarajia kushuhudia michezo jumuishi itakayoshirikisha vijana zaidi ya 45, michezo itakayofanyika Novemba 25, 2024 kwenye Viwanja vya...
0 Reactions
0 Replies
324 Views
Mosi; kabisa nasikitika kushindwa kugika eneo la tukio sababu sihusiki na sina kibali cha kuniruhusu kufika eneo la tukio. Pili; nimeshindwa kupiga picha yoyote maana nilifukuzwa kama haramia...
22 Reactions
21 Replies
2K Views
Mambo vp wakuu.. Nimekuwa nikifatilia nyuzi nyingi humu pia hata mitandao mingine. Watu wengi wamekuwa wakimlaumu sana Raisi wa nchi.. Lawama nyingi zikiwa ni kwanini Raisi asafiri wakati Kuna...
8 Reactions
54 Replies
3K Views
Waziri wa Ujenzi Mh. Innocent Bashungwa ameagiza kuongezwa kwa vivuko kuanzia kesho sambamba na kuongezwa kwa muda wa kutoa huduma ili kuweza kusafirisha abiria wengi zaidi wanaotumia vivuko vya...
0 Reactions
1 Replies
438 Views
Je, wananchi wanapaswa kutambua mounekano halisi wa vitambulisho vya jeshi la Polisi ili kuepuka hatari ya kutekwa na watu wasio julikana. Swali vitambulisho hivyo vinaonekanaje kwa mfano wa picha?
0 Reactions
0 Replies
242 Views
Katika siku ya pili ya mkutano #EARACGs, mjini Nairobi, Kamishna Mkuu TRA Bw. Yusuph Mwenda alishiriki pamoja na Makamishna Wakuu wenzake katika uzinduzi wa ripoti ya Utendaji wa Mamlaka za Mapato...
0 Reactions
0 Replies
328 Views
Maisha baada ya kuhitimu masomo ni kipindi ambacho wengi hukutana na uhalisia wa maisha. Kwa miaka mingi, wanafunzi hutumia muda wao darasani wakijitahidi kufaulu na kufikiria kuhusu maisha bora...
2 Reactions
3 Replies
866 Views
Mwandishi wa habari kutoka PPR Media, Pascal Mayalla ameiomba Serikali kuwapa posho waandishi wa habari pale wanapotekeleza majukumu yao kama ambavyo wabunge hulipwa posho kila wanapohudhuria...
11 Reactions
51 Replies
2K Views
"Afrika ukifanikiwa basi ndugu na jamaa wanadhani kupewa pesa ni haki yao" Osimhen 🎙Victor Osimhen: "Nilikuwa nikituma pesa rafiki yangu mmoja wa utotoni lakini siku moja aliniambia kuhusu...
16 Reactions
17 Replies
1K Views
Kuna jamaa yule mwenye jezi ya Yanga alivyotolewa nilitegemea watu wangelia machozi ya furaha lakini wapi,...watu walikuwa kama wanshangalia movie,hakuna hisia kwenye nyuso zao,walishangilia...
4 Reactions
6 Replies
513 Views
Ina maana sikulisoma hili shuleni ama lilinipita nimesikia kwamba baada ya tendo la ibada hii kuisha na hatimaye mwenge kuzimwa huwa unapelekwa mlima kilimanjaro unawekwa kule juu mpaka siku ya...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Back
Top Bottom