Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewasili Kariakoo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujionea hali ya uokoaji inavyoendelea katika jengo la ghorofa liliporomoka leo Jumamosi Novemba 16, 2024 asubuhi...
Takwimu za Mimba za Utotoni na Ripoti za Matukio ya Ukatili Mkoani Katavi kwa Mwaka 2024
Muda: Januari – Oktoba 2024
Waliotoa taarifa za kufanyiwa ukatili
Wanawake - 2,740
Watoto (Wasichana) -...
Kwa sababu hofu ya Mungu imekuwa kubwa kwa watu wengi siku hizi wameanza kumtumia Mungu kisiasa.
Kunq mqma mmoja namkumbuka aliwahi kuomba hadi analia Mungu afanye miujiza ya kumpa pesa wakati...
Kuna mantiki gani Kiongozi wa Serikali kukaa Mbweni na kazi anafanya Posta?
Kwa mfano Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi wangekuwa wanatumia hata Chopa kama ile ya Chadema.
Kumekuwa na foleni sana...
Mgogoro wa kifamilia umefanya kijana huyu kutoka Mbeya kupoteza maisha kwa kufanya maamuzi ya kujinyonga hadi kufa.
Kwakweli mambo mengi ila muda ni mchache. Apumzike
==================
Kijana...
Karibuni Visiwani kwa ajili ya Bwejuu International Marathon itakayofanyika tarehe 09 Disemba 2024.
Pesa zitakazokusanywa zitapelekwa Nungwi kusaidia waathirika wa dawa za kulevya.
NB: Marathon...
Nimeamini kumbe wajinga ni wengi sana aisee na wala hauwezi kuona watu wanaojielewa wapo thread za kubishania dini na huu ndiyo mtaji mkubwa wa wanasiasa uchwara kwa sababu watu wanaojielewa wapo...
Kwa miaka kadhaa Sasa ufaulu unaongezeka tu; darasa la nne, la saba, kidato Cha pili, kidato Cha nne Hadi kidato Cha sita ni mwendo wa kufurahia ongezeko tu la ufaulu.
Watu wanapiga kazi mpaka...
Kuna watu wanaweza kuuliza kwamba kwa nini Israel kwenye vita huwa hawachagui kuua watoto ama wanawake, wao wanapiga yeyote tu.
Kwenye kupitapita kwangu nikakutana na vitu viwili, cha kwanza...
Ni nini tafsiri ya kuumwa kwa nge katika ndoto
Tafsiri ya ndoto kuhusu kuumwa kwa nge Inachukuliwa kuwa moja ya ndoto zinazosumbua sana kwa mwonaji, kwani ng'e ni mmoja wa wadudu ambao...
Wanajamvi kwema!
Naomba kujuzwa wakuu, eti inawezekana mtu akawa anaishi maisha ya kawaida kwa maana ya kuishi duniani, huku akiwa tayari ameshachukuliwa msukule? Hembu nijuzeni wakuu!
Eee Bwana ni usiku tena asante kwa neema hii. Tuliikabili siku kwa juhudi zetu huku tukiwa na tumaini ndani mwetu.
Yawezekana haikuwa vile tulivyotarajia yawezekana haikuwa fungu letu kesho...
Kuna muda namtafakari huyu mama ninapata uchungu sana,,, na wakati ninabaki ninamshangaa tu"simwelewi kabisaa",,hivyo nafurahi SASA Kwa yote yake.
.....turudi kwenye mada(soma neno?) je wewe hapo...
Kutoka vyanzo mbalimbali ikiwemo video zinazosambaa inaonesha Jengo halikuwa na underground.
Hivyo mmiliki akaamua kuchimba kuweka maduka chini.
Hii bila shaka haikuhusisha mamlaka na wataalamu...
Mchoro unaonyesha simulizi ya Kusikitisha ya Jamaa mmoja aliyekuwa anafahamika kwa Jina La John Jones, ambaye alikwama kichwa chini miguu Juu ndani ya pango kwa saa 28 kabla ya kufariki dunia...
Habari wakuu ni matumaini yangu wote ni wazima,Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24,naomba msaada natamani sana kwenda kufanya kazi ulaya, elimu yangu nimeishia four 4,pasport ninayo naomba...
Waziri Mkuu Mh.Kassim Majaliwa akikabidhi cheti cha tuzo ya udhamini mkuu wa mkutano wa kimataifa wa sekta ya madini kwa Meneja wa Barrick nchini, Melkiory Ngido.
Baadhi ya wafanyakazi wa...
Aliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Kwela, Daniel Naftal ambaye pia ni mwanachama wa CHADEMA ameoneshwa kuhuzunishwa na kifo cha aliyekuwa Rais huyo wa UDSM
Mathias Simon alikuwa Rais wa UDSM...
Naona vijana sasa wanakufa utadhani kuna mashindano wanayafanya.
Magonjwa ya ghafla
Ajali
Vifo vya usingizini n.k
Sababu hasa ya vifo hivi ni nini?
1. Zinaa na ulevi.
Mithali 6 : 32
Mtu aziniye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.