Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza ,sasa ni Rasmi mimi zero Iq nimeamua kufuta Twitter(X),Instagram,tik tok pamoja na facebook kwenye simu na kuamua kubaki na Jamii Forum kama ndio Main social...
17 Reactions
35 Replies
2K Views
Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje. Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora...
55 Reactions
703 Replies
28K Views
Ndugu zangu ama kweli bahati haiji mara mbili. Huu ni ushuhuda nilionao dhidi ya rafiki yangu kipenzi, rafiki yangu huyu baada tu ya kumaliza masomo yake. Mungu si Athumani ni bahati iliyoje...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Mheshimiwa Rais Magufuli, Asalaam Alaikum (Salama na Amani iwe juu yako). Tunafahamu kuwa wewe ni Rais wa wanyonge na ni mpenda haki usiyependa yeyote adhulumiwe. Sisi Waislam, mkoloni Mjerumani...
43 Reactions
1K Replies
89K Views
Hapa nimeweka mfano wa mwenzi mmoja.interest rate na ya mwaka mzima kwa mtaji wa milion 10
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Ni je?binadamu asipokula wala kunywa katika saa 72 anaweza kufa? Iwapo hawezi kufa,,,kwanini wataalamu wanasema baada ya hizo saa kinachofuatia ni kusafisha eneo la ajali. Kama ni hivyo...
5 Reactions
11 Replies
693 Views
"Asante mama" "mama anaupiga mwingi" "mama yupo kazini" "goli la mama" "mama" "mama" "mama". Ukiwasha TV "mama" Ukiwasha redio "mama" Ukifungua Instagram "mama" Ukifungua X "mama" Ukisoma gazeti...
3 Reactions
19 Replies
812 Views
Wadau najua wengi tunatumia sana Bodaboda,swali je unafahamuje kuwa boda boda niliyemchukua ni mharifu? Basi ungana na mimi kujua ni jinsi gani walivyo na endapo ukiona yupo hivi jua huyo ni...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Katika ukarasa wa X (Twitter) wa Zitto Kabwe ameripoti taarifa 👇 Jeshi la Polisi Wilaya ya Mkuranga limemzuia Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Dorothy Semu kwenda kufanya Mkutano wa...
1 Reactions
2 Replies
338 Views
Binafsi sintosahau safari ambayo nilipofika, dakika tano baadae katoto ka miaka saba kanakuja kuniuliza, "eti unaondoka lini?" Msosi wa jioni ulikuwa wali wenye washawasha na chai yenye pilipili...
31 Reactions
578 Replies
57K Views
Mimi ni mdau natokea Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu, naishi hapa makao makuu ya Wilaya, Mjini Mhanuzi. Sisi Wananchi wa makao makuu ya Wilaya hapa Meatu Mjini Mhanuzi, tunayo mashaka makubwa na...
0 Reactions
2 Replies
822 Views
Habari njema Matajiri Wawekezaji, Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza na kufanya uwekezaji kwa hatua ndogo ndogo na kujenga utajiri kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya kikao cha Wakuu wa Mamlaka za Mapato za Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki #EARACGs, mjini Nairobi, Kamishna Mkuu TRA Bw. Yusuph Mwenda ametembelea ubalozi wa Tanzania nchini...
0 Reactions
1 Replies
414 Views
Taasisi na Idara mbalimbali Mkoani Arusha zimeendelea kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoani humo katika kupambana na uhalifu ambapo Idara ya maji na Benki ya Crdb wametoa vifaa vya Tehama katika...
0 Reactions
4 Replies
429 Views
Tangu uhuru, Tanzania imekua na Viongozi wengi ambao si wajenzi wa taifa, ni wasuluhishaji wa MATATIZO ma mambo kisiasa na kuacha mianya kesho mwingine aje ale. Barabara zinajengwa hazimalizi...
2 Reactions
3 Replies
342 Views
Katika mkasa wa jengo la Kariakoo kuanguka nimewasikia watu wengi wanaotegemea watu kutolewa au ambao waliangukiwa na jengo wakiomba na kushukuru Mungu, Allah au Yesu katika mkasa huo mkasa. Kila...
27 Reactions
264 Replies
7K Views
Wakuu habari zenu Leo Niko hapa kuongelea kuhusu natural death VIFO ambavyo binadamu tulipaswa tufe ni kutokana na kuuzeeka au magonjwa Ila aina zingine za Vifo zinaletwa na ujuaji wetu Ujanja...
9 Reactions
29 Replies
1K Views
Mwanaume unawezaje kujenga kwa mkeo yaani kujenga nyumba nyumbani kwa mkeo wakati kwenu kunavuja? Unawezaje kuhudumia familia ya mkeo wakati wewe familia yako hakuna wakuhudumia? Unawezaje...
2 Reactions
11 Replies
771 Views
Kumekuwa na changamoto ya kununua LUKU kupitia mitandao ya simu. Ukinunua hupati token na wenye mitandao wanajua kuna shida kwasababu ukiwapigia wanakiri. Lakini bado unakatwa pesa! Kwa nini...
1 Reactions
0 Replies
527 Views
Anonymous
Uongozi wa chuo wajibikeni kwa hili au mamlaka husika wasaidieni watoto na wazazi walionza fika to wiki iliyoisha hakuna malazi kama vile mahali pa kupata chakula. Uongozi wa chuo wajibikeni au...
2 Reactions
13 Replies
691 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…