"Mama, mama, mama" Na sisi tuna mama zetu!

"Mama, mama, mama" Na sisi tuna mama zetu!

Forgotten

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
3,642
Reaction score
11,139
"Asante mama" "mama anaupiga mwingi" "mama yupo kazini" "goli la mama" "mama" "mama" "mama".

Ukiwasha TV "mama"
Ukiwasha redio "mama"
Ukifungua Instagram "mama"
Ukifungua X "mama"
Ukisoma gazeti "mama"

Aaah mama, tupumzishe basi!
 
downloadfile-32.jpg
 
Ni makosa kumuita rais Mama.
 
"Asante mama" "mama anaupiga mwingi" "mama yupo kazini" "goli la mama" "mama" "mama" "mama".

Ukiwasha TV "mama"
Ukiwasha redio "mama"
Ukifungua Instagram "mama"
Ukifungua X "mama"
Ukisoma gazeti "mama"

Aaah mama, tupumzishe basi!
JAMIIFORUMS napo mama, duh! Inachosha kimtindo.
 
hapo kwenye goli nahitaji ufafanuzi magoli yapo mengi unamaanisha goli lipi...?
mnanichanganya!
Mimi mwenyewe wananichanganya, ni goli analofungwa awapo kitandani au goli gani hebu watujuze bhana
 
"Asante mama" "mama anaupiga mwingi" "mama yupo kazini" "goli la mama" "mama" "mama" "mama".

Ukiwasha TV "mama"
Ukiwasha redio "mama"
Ukifungua Instagram "mama"
Ukifungua X "mama"
Ukisoma gazeti "mama"

Aaah mama, tupumzishe basi!
Ingia tu kwenye media za magharibi
 
Back
Top Bottom